Yanatuhusu sana..Hayatuhusu, yakwetu yanatushinda, tunaanza kutolea macho ya marekani
Haita tokea hata siku moja, Rais wa America atabakia kuwa wa America tu sio wa dunia nzima.Yanatuhusu sana..
Rais wa Marekani = Rais wa Dunia
..........Obama atashinda Ingawa si kwa kishindo
Natabiri :confused2:
..........
Ha! ha! ha! ... FirstLady1 Unanikumbusha jamaa mmoja marehemu Sheikh fulani aliekuwa rafiki na JK aliyemtabiria kuwa atashinda uchaguzi kwa kishindo!
Maana kila anapomaliza kusema yake ... anamalizia kwa kusema
"Natabiri!"
Ndo maana yake na mie naanza kuwa mtabiri sasa
Hayatuhusu, yakwetu yanatushinda, tunaanza kutolea macho ya marekani