mfianchi Platinum Member Jul 1, 2009 11,855 8,253 Jun 12, 2013 #1 Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi? Attachments images.jpg 4.4 KB · Views: 268
Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi?
BONGOLALA JF-Expert Member Sep 14, 2009 16,507 11,883 Jun 12, 2013 #2 sh 85,000-100,000 inategemea made in tanzania,kenya au china.urefu 15m. unataka ngapi? ni Pm nikuletee mpaka site
sh 85,000-100,000 inategemea made in tanzania,kenya au china.urefu 15m. unataka ngapi? ni Pm nikuletee mpaka site