Roll ya wire mesh kama hii inauzwaje na je ina ukubwa gani

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,855
8,253
Wadau nataka kuweka uzio kwa kutumia waya hizi ,je bei yake kwa roll zima ni kiasi gani na hiyo roll moja urefu wake ni meter ngapi?
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    4.4 KB · Views: 268
sh 85,000-100,000 inategemea made in tanzania,kenya au china.urefu 15m. unataka ngapi? ni Pm nikuletee mpaka site
 
Back
Top Bottom