Role Model wako ni nani ndani ya Jf?

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Najua kila mmoja ana role model wake ndani ya jf.

Mimi binafsi role model wangu ni ritz.

Je! Wewe role model wako ni nani?.
 
wangu Lizzy,,,! napenda sana hiyo Avatar yake',,,,😛oa
 
Mimi sina, mimi natumia mawazo yangu. Na sifuati mawazo ya mtu.
 
I have so many role models.kuna wa siasa, kuna wa mapenzi, kuna ambaye ana a strong heart and I look up to him/her for strengh. Kuna ambaye yuko very intelligent, ama very spiritual. Kuna wajeuri ambao they can stand uo for what the blv in. Kuna wenye a big hearty sense of humor. There is something to learn and pick from @one around,why have one role model?
 
Napenda sana poetry na role model yangu HAPA JF ni Mzee Mwanakijiji... I love his style!
 


My exact thot......
 
kuna watu wengine hawanaga role model ujue mkuu. Wako wenyewe wenyewe tu kama wachawi.
 
Salam dadangu, nategemea unaendelea salama na shughuli zako za kila siku.

Mungu akujalie na akutimizie yote unayopanga.


Arsene Wenger mie mzima hua tu nikikuona nafurahi sababu wee mtu adimu saana hapa bana. Mambo yanasemaje... Alafu yale magoli ya Manchester... where you affected positively or negatively??
 
Ngoja nitafute kamusi
 
AshaDii
Rose1982,
TheBoss,
Bujibuji,
Facebuku.
Mamamdogo
ni kwa mwezi huu wa kumi na huko mbele nitaongeza.
 
Jf hamna role model yoyote ni matatizo matupu yanajadiliwa huku!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…