Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma

we mjinga kweli umeshaona wapi pesa ina mbegu
aisee babaangu Mkuu rombo ,nilivyoona benki zina matawi nikajua kweli hela inaota aisee