Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma
ndugu yangu Wajad na wewe ni muhanga mwenzangu nini!????