aisee babaangu hapo wamenila kweli, ila bado nina kaimani kidogo
poyeee!!!
Hiyo ndo inaitwa pata potea..................!:becky::becky::becky::becky:
aisee babaangu hapo wamenila kweli, ila bado nina kaimani kidogo
We mwenyewe ulipanda,basi tu unajikaza kisabuni.
Hahaha Madame B mie napanda mbegu za kiukweli wewe si unazijua halafu mie sina sabuni bhana................!:becky::becky::becky::becky:
Teh teh teh imani ya kwamba DECI watafufuka ghafla........!
Wale wa madecoder ya tv hawakukunywa.....! Walikuja ghafla nao wakatokomea wakiwaacha watu na madish yao ya tv na decoder .................!
Sitaki uchonganishi,hzo mbegu nazijulia wapi mie vrgn girl?
Unituwee
Teh teh teh imani ya kwamba DECI watafufuka ghafla........!
Wale wa madecoder ya tv hawakukunywa.....! Walikuja ghafla nao wakatokomea wakiwaacha watu na madish yao ya tv na decoder .................!
Hee! mmeshafika huko!!!!?
Baba v pole sana then tafuta ml 4 zingine leta kwetu "ABUNUWAS FUND GROWERS"
Kwetu hakuna mashaka itazaa tu!
Watiaji mimba wetu tumewatrain German, Chaina, United States na S.Africa.
Warmly welcome.