Roho inaniuma balaa, nimekumbuka hela zangu DECI

Hahahahah kumbe nawe walikushika masikio eeeeeh pole weye
Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma
 
siamini kama nawewe walikuingiza mkenge tehtehteh sasa hivi mbegu ingejenga Mkapa Tower.
 
hela hazioti hata siku moja.....hata mm nilifanya makosa kupanda ile mbegu aise......
tupande miembe tu huko chanika!
 
hela hazioti hata siku moja.....hata mm nilifanya makosa kupanda ile mbegu aise......
tupande miembe tu huko chanika!

nimejifunza mkuu BAGAH nimejifunza aisee
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh kumbe DECI wali KUDIS..............!!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
siamini kama nawewe walikuingiza mkenge tehtehteh sasa hivi mbegu ingejenga Mkapa Tower.

Asnam yaani we acha tu, nilivyoona ni wachungaji nikawaamini kumbe,! Yaani balaa
 
Last edited by a moderator:
Baba V pole zako, lakini subiri zinaweza zikaota, mbona hata wale walikuwa wanaomba ili mtu afufuke ilibidi wafanye subira, naye kuwa mpole uone mwisho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom