Roho inaniuma balaa, nimekumbuka hela zangu DECI

Roho inaniuma balaa, nimekumbuka hela zangu DECI

Ingekuwa siyo kweli basi hata hizo mbegu usingejua zikoje na zinapandwa wapi................!!:becky::becky::becky::becky:

Sizijui na ndo mana naziuliza.
Bado uko pale Kinondoni nije?
 
Huko kwenye madecorder hawakunipata, mie mshamba sana kwenye mambo ya dijitali

Unawakumbuka walikuwa Wanaitwaje vile kama ma -GLOBAL TV vile duh waliacha watu wamening'iniza midish na juu ya mapaa ya nyumba zao .....wakafunga ofisi wakatokomea zao...........!:becky::becky::becky::becky:
 
Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma

Hongera kwa kupanda kwenye mwamba, ndege walidonoa. Siku nyingine upande kwenye udongo wenye rutuba, hapo hapo TBL (kwenye hisa lakini) sio kwenye vyupa.
 
Baba v pole sana then tafuta ml 4 zingine leta kwetu "ABUNUWAS FUND GROWERS"
Kwetu hakuna mashaka itazaa tu!
Watiaji mimba wetu tumewatrain German, Chaina, United States na S.Africa.
Warmly welcome.

Hao waliokuwa trained China ni balaaa zaidi ya balaa lenyewe..................!
 
Unawakumbuka walikuwa Wanaitwaje vile kama ma -GLOBAL TV vile duh waliacha watu wamening'iniza midish na juu ya mapaa ya nyumba zao .....wakafunga ofisi wakatokomea zao...........!:becky::becky::becky::becky:

Wawe na imani kama mimi, hao jamaa watarudi tu siku moja, watunze vizuri hizo decorder
 
Hongera kwa kupanda kwenye mwamba, ndege walidonoa. Siku nyingine upande kwenye udongo wenye rutuba, hapo hapo TBL (kwenye hisa lakini) sio kwenye vyupa.

Hakyanani tena, bora hata ningepanda kwenye vyupa
 
Wawe na imani kama mimi, hao jamaa watarudi tu siku moja, watunze vizuri hizo decorder

Aaagh mie nimewaamini wa China kidogo nina king'amuzi cha nyotamida kinang'amua tu...............!
 
Si walisema kesi iko mahahakamani, subirini mtarudishiwa mbegu zenu? Au walikuwa wanawaingiza tu mjini?
 
Aaagh mie nimewaamini wa China kidogo nina king'amuzi cha nyotamida kinang'amua tu...............!

Nacho kuna kipindi kilikuwa kinazingua labda sasa kimetulia jumla
 
Si walisema kesi iko mahahakamani, subirini mtarudishiwa mbegu zenu? Au walikuwa wanawaingiza tu mjini?

Hadi Mizengo Pinda alisema wataturudishia lakini naona hata updates za kesi kimya, sijui wanataka tusahau afu watuzime mazima??
 
Baba V ulishawahi kuona Pesa inapandwa????????? Ha ha ha ha kweli mliliwa kihalali kabisa DECI oyeeeeeeeeeeeeeeeee

Yaani watu wanapanda mahindi na karanga nyie mwaenda panda Pesa mabwaku haya
 
Last edited by a moderator:
Baba V ulishawahi kuona Pesa inapandwa????????? Ha ha ha ha kweli mliliwa kihalali kabisa DECI oyeeeeeeeeeeeeeeeee

Yaani watu wanapanda mahindi na karanga nyie mwaenda panda Pesa mabwaku haya

Dena Amsi we acha tu, ukishkwa akili ni vibaya, nilijua ndo tunapanda shambani mwa bwana
 
Last edited by a moderator:
Sina haja ya kukupa pole.Hiyo ni sawa sawa kukipigia chama fulani kura ya Urais wakati unajua hakita shinda
 
Ucjar mkubwa mwakani wanakuja na mavuno so jiandae kuzipeleka tena ili uvune mara kumi zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom