Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

Siamini kufilisika kwa uda, itakuwa usanii tupu, kampuni ilikuwa inaendeshwa kwa faida kubwa, walifanya kusudi kuhujumu kampuni zote na kukamata barabara zote muhimu za jiji, hawa ni wakwepa kodi tu hakuna zaidi
 
Siamini kufilisika kwa uda, itakuwa usanii tupu, kampuni ilikuwa inaendeshwa kwa faida kubwa, walifanya kusudi kuhujumu kampuni zote na kukamata barabara zote muhimu za jiji, hawa ni wakwepa kodi tu hakuna zaidi
UDA ilibaki Mnazi mmoja feri.
 
Wana JF,

Tayari baada ya simtomfahamu ya siku nyingi kati ya UDA na serikali, sasa uDA imefilisika rasmi, wananchi kwa ujumla tumefurahi kwani zilikuwa hazina msaada wowote richa ya kuwa sehemu ilidhaniwa kuwa ni mali ya serikali kumbe tushapigwa changa la macho na watu kujichukulia kwa fedha kiduchu, baada ya hapo wakaanziasha ruti fupi fupi kudhurumu watu, ndipo mkono wa Mungu ukaingilia kati na UDA kufilisika.

Hata hivyo ni janja ya kukwepa kodi, inabidi walipe tu wakishindwa wakauziwe nyumba zao.
Juzi Kusenha. anayesemekana ndiye mmiliki waaa UDA, amesema wamewekeza Zaidi ya bilioni 90!
Sasa wapi na wapi?
 
Baada ya kugundulika Khalfan Kikwete ni mmoja wa wamiliki ndio inafilisika!, Hapa napo patumbuliwe ndio tutaamini wamedhamiria uondoa uchafu nchi hii.
 
hawa jamaa walikuwa wakikopa benki wanakimbia hawalipi ng'ooo...na walikuwa na kiburi balaa

sasaivi mabenki yote wanawaogopa ...hawawapi mikopo
 
Baada ya kujibebesha zigo kuwa ya UDA aulizwe yeye, kaamua kuitangaza muflisi kwa kuogopa kuwajibishwa?Wenzake wanamtumia kama mbwa wa polisi, wao wako nyuma wakimuacha anuse nuse yanayojiri. Magufuli ashuhulike na hawa jamaa.
 
Lakini pia mkuu tuna sheria nyepesi sana za kupambana na ufisadi...rejea hukumu ya wale mawaziri wawili waliosababisha hasara kwa serikali zaidi ya bilionj tatu lakini hukumu waliyokutana nayo ni kichekesho kitupu....
Yaani hukumu ya jamaa aliyefuga fisi wenye thamani ya shs 4.8 million (uwezekano mkubwa wameachiwa na kurudi porini) ni kubwa mno (miaka 10) kuliko ya hawa jamaa wawili ambao wamefungwa miaka mitatu kwa kusababishia serikali hasara ya zaidi ya shs bilion 11. Such justice😵😵
 
Mkuu,
Kufilisika in Accounting Term means Mali unazozimiliki (Assets) ni Chache kuliko Madeni Unayodaiwa (Liabilities). Yaani ukiuza mali zako ZOTE hazitoweza kulipia madeni unayodaiwa. Kwahiyo sio wote watakaolipwa madeni yao 100%.

Sasa basi although kodi za serikali ni priority katika ulipaji wa madeni lakini inategemea kama hiyo kodi ishakadiriwa na kupitishwa (assessed and due). Kama haiko assessed au/na due basi imekula kwa serikali hiyo.

Ndiyo maana nimesema Serikali Makini!


PDF]The Bankruptcy Act - RITA
38. Priority of debts
(1) In the distribution of the property of a bankrupt there shall be paid in priority to all other debts–
(a) All Government taxes and local rates due from the bankrupt at the date of the receiving order, and having become due and
payable within twelve months next before that date not exceeding in the whole one year's assessment; and
(b) All Government rents not more than five years in arrear; and
.....................
.................
 
Nadhani anataka hapo kwenye....''Hakupeleka hata senti 10 ya kijerumani ya michango ya wafanyakazi (Madereva) NSSF''....paangaliwe kwa macho makali ya kisheria na hao makamanda, kuna harufu ya uvunjaji wa sheria hapo.
NDIO NILIVYOSIKIA KWENYE MAGAZETI KUWA ALIDANGANYA ANAWAKATA MISHAHARA ANAWAPELEKEA NSSF KUMBE HOLAAAA KIBAKA SASA SIJUI NANI ATAWALIPA HIZO PESA ZAO?

NA KAMA KUNA MABASI YALIKUWA NA HUDUMA HOVYO NI UDA WANAKATISHA ROOT WANAVYOJISKIA WANALIPISHA NAULI WANAVYOTAKA KUDAAAADEKI
 
Mkuu,
Kufilisika in Accounting Term means Mali unazozimiliki (Assets) ni Chache kuliko Madeni Unayodaiwa (Liabilities). Yaani ukiuza mali zako ZOTE hazitoweza kulipia madeni unayodaiwa. Kwahiyo sio wote watakaolipwa madeni yao 100%.

Sasa basi although kodi za serikali ni priority katika ulipaji wa madeni lakini inategemea kama hiyo kodi ishakadiriwa na kupitishwa (assessed and due). Kama haiko assessed au/na due basi imekula kwa serikali hiyo.
mkuu shark kampuni zinatakiwa zifanye self assessment hivyo tax is always assessed labda useme ifanyike jeopardy assessment
 
Nayakumbuka maneno ya Membe kuwa hawa wafanyabiashara ni wa kwenda nao taratibu. Bila ya kuwa waanagalifu, wengi watafunga biashara zao na kusababisha matatizo mengine kama vile ukosefu wa ajira na upungufu wa makusanyo ya serikali.

Wabanwe ili waweze kulipa kodi lakini kwa werevu badala ya kuwaendea kama maadui wa Taifa. Wengi wao hawana shida kama wengi tunavyofikiria, na wanaweza kwenda mahali pengine popote na mitaji yao.
Kuna sheria inayoelekeza mkwepa kodi abembelezwe mkuu??
 
hakuna kilichokuwa kinakera na ufisadi kama kumonopolize kule feri,yani hakuna basi linaloenda kule zaidi ya wao...kwa kigezo kipi sijui!
 
Hivi, huyu DG wa UDA wa kujipa anatuonaje wenyenchi. Usijekuta yeye na aliojia-attach Mao wanatuona mpopoma ya sheria za biashara! Au Dogo Ritz1 anamdanganya kuwa kwa kujitangaza muflisi tutakaa kimya tu. Wajipange Sana ila safari hii mameya wetu hawatakubali ujinga na lazima zijulikane zilizo mbichi na mbivu.
 
amejifilisi au amehamisha, alete mapato na matumizi, afadhali ifilisike tubaki na ya zamani kwani haya msaada na line za kariakoo to feri zitarudi MUNGU amesikia kilio chetu sie wanyonge
Wasiwasi wangu ni kuwa watu washapiga dili kwenye 1. MiKOPO 2. Ujenzi wa barabara 3. Price inflation kwenye manunuzi mengineyo yakiwemo ya magari.
Shughuri imekwisha na sasa wanajiweka pembeni ili watumie walichojikusanyia. Shikamoooo tz
 
Update record zako mkuu. Simon Group anamiliki 76% ya share baada ya kununua share za jiji na serikali (hazina) bado inamiliki 23%, hivyo technically inatuhusu.
hisa za serikali zilikuwa asilimia 49 lini tene alinunua kwani serikali haijawahi kuuza hisa zake bali jiji
 
Back
Top Bottom