Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,300
Habari wadau,
Mmiliki wa UDA Ndugu Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA kutokana na Madeni makubwa anayodaiwa ambayo inazidi fedha zilizomo kwenye account ya UDA.
Kampuni hiyo ambayo amesema ina magari kwa sasa 50 ambayo ni spana mkononi.
Madeni hayo ni bilioni 2 alizokwepa mwaka 2012 alipoingiza mabasi nchini na kutopeleka Michango ya NSSF na PAYE za wafanyakazi.
Chanzo: Dira
Updates:
Habari hii imekanushwa na UDA kwenye hii thread=>UDA: Hatujafilisika na hatuna dalili za kufilisika,