Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,318
- Thread starter
- #21
Waweze kuona mchango wako ambao ni very positive.KISA CHA HII CC YAKO NINI???????
View attachment 319111 View attachment 319111 NAONA UMECC WAKAMANDA

Waweze kuona mchango wako ambao ni very positive.
Kujitangaza kufilisika ni njia ingine ya kukwepa kulipa madeni ikiwemo kodi za serikali.Habari wadau,
Mmiliki wa UDA Ndugu Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA kutokana na Madeni makubwa anayodaiwa ambayo inazidi fedha zilizomo kwenye account ya UDA.
Kampuni hiyo ambayo amesema ina magari kwa sasa 50 ambayo ni spana mkononi.
Madeni hayo ni bilioni 2 alizokwepa mwaka 2012 alipoingiza mabasi nchini na kutopeleka Michango ya NSSF na PAYE za wafanyakazi.
Chanzo: Dira
MPOTO AMA?Familia ya Mrisho ni hatari sana.
Wanacho fanya hawa jamaa ni kucheza na akili za wa Watanzania hapo wanabadilisha jina LA kampuni tuHii itakuwa kampuni ya ngapi vile katika kipindi cha miezi chini ya minne kutangaza kufilisika!?
Kama October hivi si na Home Shopping Centre walitangaza kufilisika!?
Cha ajabu mbona hizi zote zinahusishwa na watu fulani!
HAHA KAPUYA TENA HIVI YUKO PANDE GANI HUYU MUZEESIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.
Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.
Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .
Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.
Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.
haisse! kweli hapa pana wajuvi kweli kweli/HA
HAHA KAPUYA TENA HIVI YUKO PANDE GANI HUYU MUZEE
YEAH WATU WANAJUA KILA KITUhaisse! kweli hapa pana wajuvi kweli kweli/
Nayakumbuka maneno ya Membe kuwa hawa wafanyabiashara ni wa kwenda nao taratibu. Bila ya kuwa waanagalifu, wengi watafunga biashara zao na kusababisha matatizo mengine kama vile ukosefu wa ajira na upungufu wa makusanyo ya serikali.Wajanja kweli hawa..wanataka wapewe muda tena waku-restructure bile kufilisiwa. Serikali ingekamata hizo basi zote zifanywe school bus shule za kata
Hii kitu imeshiba na imekwenda shuleSIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.
Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.
Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.
Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .
Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.
Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.

hivi simon group ni wafanyabishara hawa ? Muombe Mungu wako akusamehe .Nayakumbuka maneno ya Membe kuwa hawa wafanyabiashara ni wa kwenda nao taratibu. Bila ya kuwa waanagalifu, wengi watafunga biashara zao na kusababisha matatizo mengine kama vile ukosefu wa ajira na upungufu wa makusanyo ya serikali.
Wabanwe ili waweze kulipa kodi lakini kwa werevu badala ya kuwaendea kama maadui wa Taifa. Wengi wao hawana shida kama wengi tunavyofikiria, na wanaweza kwenda mahali pengine popote na mitaji yao.
Lile gazeti lililoandika juu ya UDA na kukiihusisha na kiongozi mkuu mstaafu lilieleza kuwa kampuni ya ukaguzi wa hesabu (siikumbuki jina) iliweka wazi kuwa kampuni hii haikuwa na uzoefu wa masuala ya usafirishaji. Pia lilieleza kuwa kwa mmiezi miwili ya maisha ya kampuni iliweza kutengeneza faida ya Sh billion 1 huku ikiwa haijalipa kodi stahiki za serikali.Na mradi wa mabasi ya mwendo kasi almaarufu DART anaonataka ahusike atauendeshaje?
Ni lini tutakuwa makini?