Huu ni usanii mwingine katika harakati za kukwepa rungu la JPM.Achekiwe kuhakikisha kama alilipa kodi zetu ipasavyo vinginevyo mali zake zikamatwe,tena fast kwa kuwa anaweza kuanza kuziuza..
Habari wadau,
Mmiliki wa UDA Ndugu Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA kutokana na Madeni makubwa anayodaiwa ambayo inazidi fedha zilizomo kwenye account ya UDA.
Kampuni hiyo ambayo amesema ina magari kwa sasa 50 ambayo ni spana mkononi.
Madeni hayo ni bilioni 2 alizokwepa mwaka 2012 alipoingiza mabasi nchini na kutopeleka Michango ya NSSF na PAYE za wafanyakazi.
Chanzo: Dira