Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

Huyo Kisena asijifanye ye ndo mmiliki wa UDA.
Tamko la serikali la May 2014 lililotolewa na Naibu Waziri Malima Bungeni hili hapa;
UDA ''bado inamilikiwa na serikali kwa asilimia 49 na Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam asilimia 51''
Bunge laingilia kati suala la UDA
Hana chake,na wala asing'ang'anie mali ya umma.

Msajili wa Hazina Mr. Mafuru... tunaomba tamko,ukweli ni upi..
 
Huu ni mwanya kwa serikali kulimiliki ili shirika kwa asilimia 100.
 
mkuu shark kampuni zinatakiwa zifanye self assessment hivyo tax is always assessed labda useme ifanyike jeopardy assessment
Sawa Mkuu,
But kama assessment ya Kodi haijafanyika maana yake hiyo kodi sio DUE
 
Ndiyo maana nimesema Serikali Makini!

PDF]The Bankruptcy Act - RITA
38. Priority of debts
(1) In the distribution of the property of a bankrupt there shall be paid in priority to all other debts–
(a) All Government taxes and local rates due from the bankrupt at the date of the receiving order, and having become due and
payable within twelve months next before that date not exceeding in the whole one year's assessment
; and
(b) All Government rents not more than five years in arrear; and
.....................
.................
Hapo kwenye undelined ndio mwanya wenyewe wa ukwepaji uko hapo kaka!!
 
Yaani nguvu zimeniishia kabisa baada ya kusikia upumbavu huu....

Hivi jamani hili linakwenda wapi...mbona kama ni linchi la wendawazimu......

Yaani kila siku yanazuka mapya...

Nasemaje wakwepa kodi na wahujumu uchumi wote wachinjwe hadharani tena wachinjwe kwa msumeno....

ndio dawa pekee
 
Wasiwasi wangu ni kuwa watu washapiga dili kwenye 1. MiKOPO 2. Ujenzi wa barabara 3. Price inflation kwenye manunuzi mengineyo yakiwemo ya magari.
Shughuri imekwisha na sasa wanajiweka pembeni ili watumie walichojikusanyia. Shikamoooo tz

na hili ndo haswa linaendelea wasi wasi wako una mashiko .............
 
Kwa Nchi Makini Kisena na Washiriki wake wa Msoga wangekuwa Ndani nyuma ya nondo.
Mkuu nitakuwa nimekosea nikisema kuwa hili ni taifa la malofa na wapumbavu.........yaani viongozi wanafanya wanavyojisikia kana kwamba hakuna umma...........watanzania tutaacha lini kulalamika na kuchukua hatua kuipigania nchi yetu inayotafunwa kila kukichwa na kupe wasioshiba........yaani kiongozi wa umma anaongea kwa nyodo na dharau mbele ya WATANZANIA zaidi ya milioni 50 huku wakimtazama.......

Yaani watu huko bungeni wanafanya teuzi za kipuuzi katika masuala nyeti na muhimu kwa taifa watu bado tumelala.....??

INAUMA SANA MKUU........
 
Huyo Kisena asijifanye ye ndo mmiliki wa UDA.
Tamko la serikali la May 2014 lililotolewa na Naibu Waziri Malima Bungeni hili hapa;
UDA ''bado inamilikiwa na serikali kwa asilimia 49 na Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam asilimia 51''
Bunge laingilia kati suala la UDA
Hana chake,na wala asing'ang'anie mali ya umma.

Msajili wa Hazina Mr. Mafuru... tunaomba tamko,ukweli ni upi..
Yaani huyo Kisena ukimtazama kwa makini kwenye matamshi yake utakuja kugundua kuwa anawawakilisha watu Fulani wazito sana nchini waliopo nyuma yake.......
 
Swali rahisi kwa wana bodi!!!!
Hivi Procedure za kutangaza kuwa kampuni imefilisika hapa Tanzania ni rahisi kiasi hicho? Je kwa kampuni yenye assets na liabilities kubwa kama UDA ni nani anayetakiwa kutangaza kwamba kampuni mefilisika? Hivi si mpaka itafutwe kampuni ya ukaguzi ambayo intergrity yake haina wasiwasi wakague mali na madeni, wakishamaliza wawasilishe hesabu hizo kwenye bodi na bodi iridhike kisha mwanasheria wa kampuni atangazie uma kwa utaratibu uliowekwa?
kweli kabisa huo ndio utaratibu sahihi...sio mtu anakurupuka tu na kuita media ..ooh kampuni yangu mufilisi.
 
Baada ya kujibebesha zigo kuwa ya UDA aulizwe yeye, kaamua kuitangaza muflisi kwa kuogopa kuwajibishwa?Wenzake wanamtumia kama mbwa wa polisi, wao wako nyuma wakimuacha anuse nuse yanayojiri. Magufuli ashuhulike na hawa jamaa.

Hawa watakuwa wanaanda mazingira ya kuliuza ili shirika.

Lakini, kigezo kikubwa cha kumtafuta mwekezaji ni uwezo hasa kwenye mtaji. Hapa aidha kwa upande wa serikali mtu akufanya kazi yake vizuri au Simon group walidanganya uwezo wao. Either way, ni wakati Tanzania kutoendelea kuwa "kichwa cha mwendawazimu", mchawi atafutwe na kama ni Simon Group wanyanganywe UDA kwa kutotimiza masharti ya uwekezaji.
 
Kama ni kweli Bwana Kisena ametangaza kufilisika, na kwa kuwa serikali nayo ina hisa zake kweye kampuni hio na kwa kuwa UDA iliendeshwa kwa ubia kati yake Bwana Kisena na Serikali basi walitaka kuendelea kuchota fedha kutoka hazina ili ziendelee kufidia gharama za uendeshaji.

Kwa kuwa alikwenda benki kuomba mkopo zaidi na kwa kuwa benki wameona hawawezi kuendelea kutoa fedha Zaidi ya mkopo kwa vile kampuni ya bwana Kisena ina deni kubwa kuliko mali halisi inayomiliki, basi benki wamekataa kutoa mkopo zaidi.

Yaani benki wamemfanyia bwana Kisena "risk assessment" na credit rating yake hairidhishi.

Kwa kuwa bwana Kisena alikwenda kuwaataarifu wahusika wakuu wa huo UFISADI wa kutumia UDA kuhujumu uchumi wa nchi, wahusika wamesita kuendeleza ushirikiano wa kuendelea kuiibia nchi kupitia huo Mradi.

Kwa kifupi ni kwamba pesa ya walipa kodi ndio ingeendelea kutumia kufadhili haya makampuni ya aina ya UDA na mengine.

Kikwazo ni raisi wetu mpya JPM na serikali yake ya awamu ya tano.

Ewe Mungu mlinde raisi wetu JPM aendelee kutumbua haya majipu hata kwa kutumia king'amuzi au "remote control" maana majipu mengine yashaanza kujitumbua yenyewe.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Magufuliwaga oil chafu mchwa watoke, Hapa Kazi Tu!
Amalinze, post: 15172859, member: 84889"]Habari wadau,

Mmiliki wa UDA Ndugu Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA kutokana na Madeni makubwa anayodaiwa ambayo inazidi fedha zilizomo kwenye account ya UDA.

Kampuni hiyo ambayo amesema ina magari kwa sasa 50 ambayo ni spana mkononi.

Madeni hayo ni bilioni 2 alizokwepa mwaka 2012 alipoingiza mabasi nchini na kutopeleka Michango ya NSSF na PAYE za wafanyakazi.

Chanzo: Dira[/QUOTE]
Magufuli
 
Kwa kawaida huwezi kuamka asubuhi tu ukajitangaza kuwa umefirisika , lazima mchakato wa kufilisika ufanyike. Kwanza ni kitu gani kimefanya ufilisike? Umepata janga gani linalokufanya ushindwe kufanya biashara yako na hivyo kufirisika? Kuna mtu alishawahi kuchoma kiwanda lakini ilikuwa ni baada ya kuwa na madeni ambayo hayalipiki kwa sababu alikuwa anahamisha fedha ya biashara hiyo kuipeleka kwenye biashara nyingine.
Kama kungekuwa na serious auditing report lazima angekamatwa. Hivyo Simon aeleze amepataje hasara? Write yake wakati anaomba kununua UDA inasemaje? Amefanya nini hadi apate hasara. Vinginevyo afilisiwe Mali zake zingine kufidia hasara alizosababishia UDA.
 
SIMON GROUP CO.LTD inayojitambulisha kununua shirika la usafiri Dar es Salaam ni wawakilishi wa viongozi wa Tanzania katika kufisadi mali za Umma.

Anae jitambulisha kama Robert Simon Kisena ambae alisoma Nsumba Sekondari School akijulikana kwa jina JOKALA KISEANA na kumaliza Kidato cha Nne mwaka 1991 baada ya hapo alijiunga na Kidato cha Tano Shule ya Sekondari Mirambo Tabora mwaka 1992, hapa alifukuzwa akiwa Kaka Mkuu baada ya kuwasaliti wanafunzi wenzake aliokuwa kiwachongea kwa mwalimu mkuu na wanafunzi kuungana na kusababisha kusimamishwa, baada ya hapa JOKALA KISENA ambae leo anajulikana kwa majina ya Robert kisena bila kutoa sababu za kubadilisha jina lake la awali alikuwan akikaa na rafiki yake uku akifanya kazi NCU Ushirika kanda ya ziwa-Nyanza,walikosana na rafiki yake aliyekuwa anakaa kwake baada ya kumpa mimba dada wa rafiki yake aliyekuwa akikaa kwake.

Katika Uchaguzi mkuu wa 1995 Kisena alichukuliwa na John Cheyo wakati huo Cheyo akiwa mgombea urais na kumuweka kuwa kama masidizi wa kusimamia mali zake Shinyanga,hapa ndio kisena alipata pesa kidogo isiyoweza kununua UDA.kisena katika kusimamia mali za cheo alifanikiwa kujenga nyumba Tatu zote zipo Nyegezi mwanza eneo lijulikanalo kwa jina la CALIFONIA.

Baada ya hapo ndio akaanzisha SIMON Agency iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa spare za magari kwa muda na baadae akajiunga na Profesa Juma Kapuya akiwa waziri ambapo walifanikiwa kuanzisha kampunin iliyofahamika kwa jina la ROBASIKA-Robert Simon Kapuya na kufanikiwa kuchota bilioni 13 za wananchi kupitia Benki ya NMB mwanza kwa ushawishi wa kapuya na kuanzisha ginery ya pamba katika jimbo la kapuya .

Ndio maana ukifuatilia pesa zilizolipwa kwenye account ya Iddy Simba imelipwa na Robasika kwa niamba ya Simon Group ili wafanikiwe kuchukua UDA na Kapuya akiwamo uku Simon Group wakidai kuwa ni malipo iliyokuwa ikidaiwa na Simon Group kutoka kwa Robasika kutokana na mkataba kati ya Simon Group na Robasika wa kusafirisha mizigo.Robet kisena ni chambo tu katika kuwafanikishia watu maalum kazi.

Watanzania hapa kuna ujambazi wa mchana, tunaibiwa, Juma Kapuya, Iddy Simba, Didas Masaburi wanahujumu watanzania kupitia UDA.

hapa patamu sana
 
Back
Top Bottom