Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

abudist

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
850
780
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''

1613828842083.png
1613829007531.png
1613828949662.png

1613829094069.png
 
Huu ni upumbafu mkubwaaaa ndo kusema huyo Amstarderm ana huruma sana na wananchi wa Tanzania, aende zake awaonee huruma nchi yake ambao janga hili pia limeua maelfu ya watu. Tanzania ni nchi huru ina misimmamo yake na wala haiwezi ingiliwa
Usiwe na hasira ndivo walivo wazungu,unakumbuka Mkapa na Basili Mramba waliponunuwa Rada? Ni wao waingereza waliandamana kuishinikiza serikali yao,iturudishie pesa zetu.
Mifano mi mingi tu rafiki angalia milipuko ya Ebora wao hujitolea kwenda na sisi tukiufyata na kuangalia kwenye vyombo vya habari ambovo pia ni vya. Sio kila jambo Lao ni haya ccm mwenzangu.
 
hivi kuna mtu au kiongozi mwengine anaye tujali sisi watanzania zaidi ya Rais wetu Magufuli?!!

wewe ni nani haswa unaye jifanya eti unawapenda watanzania na unatuonea huruma?!
wacheni unafiki.

Rais wetu kamwe hayumbiswhi tuko pamoja nae.

marekani watu wanakufa kwa korona pamoja na kupatikana kwa chanjo.

watanzania tunaendelea kujikinga kwa dawa zetu asili na kwa kumuomba Mungu.
 
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''View attachment 1707444View attachment 1707448View attachment 1707446
View attachment 1707449
The fox of no orientation is always troubled by hallucination and illusion of Magufuli regime; when he is sleeping, seated, walking or driving he dreams Magufuli haunting him and his allies.

He will continue lodging millions of drama complaints with consequential unresolved frustrations
 
This guy is not behaving like other “learned brothers and sisters”.

Hawa Common Wealth hawawezi kufanya lolote kusaidia the so called “health and humanitarian emergency” in Tanzania. As much as the health emergency is concerned, Nchi zao zipo hoi zaidi
 
Aisee JPM anawasumbua sana hawa jamaa, walikuwa wanafaidi hii nchi bana wacheni tu. JPM piga kazi hawatakusahau daima na vitukuu vyao vitakuongelea sana. Jemedari ambaye anaangalia maslahi ya Watanzania. Yaani kuanzia News Week, Bloomberg, Times, telegraph etc you name it JPM yupo pale. Kumbe ni kweli Tanzania ni matajiri sio bure, huu upendo unaoonyeshwa na manyang'au sio bure. Wacha waoshwe.
 
embu atulie maana hii phase 2 inatutosha..asije akafanya beberu akatuma PHASE3 iliyochanganywa na ebola na kipindupindu
 
Back
Top Bottom