Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

Hivi huyu jamaa bado yupo?
Namuonea huruma sana nikikumbuka barua zake lukuki na matamko yake kule Twitter ambayo mpaka sasa sijaona impact yake.
 
Huu ni upumbafu mkubwaaaa ndo kusema huyo Amstarderm ana huruma sana na wananchi wa Tanzania, aende zake awaonee huruma nchi yake ambao janga hili pia limeua maelfu ya watu. Tanzania ni nchi huru ina misimmamo yake na wala haiwezi ingiliwa
Mpumbavu ni nyie CCM yaani kweli na vifo vyote hivi bado huoni umuhimu wa kilichoandikwa!Kisa tu Magu anakupeleka chooni
 
Huyo atakuwa hajalipwa na Tundu Lisu so njaa inamuuma!
IMG_20210218_174254_207.jpg
 
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''View attachment 1707444View attachment 1707448View attachment 1707446
View attachment 1707449
Huyo hana akiri anatafuta wanaume tanzania.
Amekiwa msemaji wa watanzania?
Kwa hiyo huko aliko watu kwa sasa hawafi na corona au ni umbea wake tu.
 
Sas serikari ikishajua kuwa hali ni mbaya itafanya nini?
Huko ulaya serikati zinazojua kuwa hali ni mbaya ugonjwa umeisha na watu hawafi?
 
Hiyo kaandika Tundu Lissu. Afu nchi ni yetu siyo ya Amsterdam. Pumbafu kabisa.natamani niende msituni nipambane na mashetani haya.mbwa kabisa
 
This guy is not behaving like other “learned brothers and sisters”.

Hawa Common Wealth hawawezi kufanya lolote kusaidia the so called “health and humanitarian emergency” in Tanzania. As much as the health emergency is concerned, Nchi zao zipo hoi zaidi

EU imetoa ngapi Kwa Corona relief sio tu Tanzania bali nchi nyingine za Afrika?
 
sisi tunao ishi ndani ya Tanzania ndio tunajua mambo makubwa ya kimaendeleo aliyo yafanya kwa ajili ya watanzania.
hayo mengine ni maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa.
Itakuwa unetekwa kiakili ndiyo maana huyaoni
 
Kuna siku Tanzania itashitakiwa kusambaza virus vya Coron Duniani..

Chanjo mmegoma
Barakoa hamvai
Kuweka umbali kati yenu mmegoma
Kupima mmegoma
Kutoa record za Corona mmegoma

Yaani sisi ji kama kuishi na jirani mkorofi.
 
Kuna watu hawana akili kabisa. Kwani nani amesema Tanzania hakuna corona? Kila muda Rais anasema watu wachukue tahadhali,sasa anatoka mbwa mmoja hata hakai Tanzania anaanza kuharisha harisha kama Malaya. Period
Amsterdam ni sawa na Mbwa wa stesheni hang'ati....
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom