Riz1 wa Uganda!!!

Riz1 wa Uganda!!!

CAMARADERIE

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
4,419
Reaction score
1,929
muhoozi.jpg
 
hapo sasa unatupeleka wapi mkuu 🙂 ....lakini huyu dogo wa UG yeye amepiga kwata ya kutosha, nahisi anaweza kubebeka japo upinzani mkubwa. Huyu RZ1 wetu sisi ni pesa pesa tu!
 
Katika mpango mzima wa kurithishana madaraka siyo?
 
Ukitaka kujua Africa kuna udikteta basi huyu mtoto nahisi anaandaliwa!
 
wezi hawa wanaogopa wkitoka
madarakani wasisumbuliwe
ndo maana wanawaandaa
hata kagame anamuandaa wa kwake!
 
alikuwepo husein mubark na watoto wake..leo yupo wapi..? Sembuse riz moja? Bado miaka minne..!

Hayo mambo wanayaweza Waarabu tu, wakikuchoka wanahakikisha mpaka unatoka, wewe utabaki kubwabwaja domo tu,maneno meeeeeeeeengi.
nothing u can do. ngozi nyeusi tumelaaniwa.
 
Hayo mambo wanayaweza Waarabu tu, wakikuchoka wanahakikisha mpaka unatoka, wewe utabaki kubwabwaja domo tu,maneno meeeeeeeeengi.
nothing u can do. ngozi nyeusi tumelaaniwa.

hiki ni kizazi kingine ...! dotcom generation..! kwani wakenya ni waarabu..??
 
bora huyu anaweza akabebeka.... huyu wa kwetu sijapata wa kumlinganisha naye... bonge la kilaza.... shwain
Hukumbuki kuwa ana jiwe la sheria la kujitegemea pamoja na usharobaro wake kama wa dingiake??
 
hakuna dora inayodumu milele. before your eyes they will fall down.
 
hakuna cha hirizi 1 wala nini hao wanamuandaa
huyo jamaa akitoka m7 anakuja mwanawe lool
uchu tu wa madaraka hawana lolote
 
Kota pin ya baiskeli inaingizwa kwa nyundo na inatolewa kwa nyundo basi.
 
Back
Top Bottom