CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
ooh, my comrade MUHOZI KAINERUGABA,. long time no see
Katika mpango mzima wa kurithishana madaraka siyo?
alikuwepo husein mubark na watoto wake..leo yupo wapi..? Sembuse riz moja? Bado miaka minne..!
Hayo mambo wanayaweza Waarabu tu, wakikuchoka wanahakikisha mpaka unatoka, wewe utabaki kubwabwaja domo tu,maneno meeeeeeeeengi.
nothing u can do. ngozi nyeusi tumelaaniwa.
Hukumbuki kuwa ana jiwe la sheria la kujitegemea pamoja na usharobaro wake kama wa dingiake??bora huyu anaweza akabebeka.... huyu wa kwetu sijapata wa kumlinganisha naye... bonge la kilaza.... shwain
Hukumbuki kuwa ana jiwe la sheria la kujitegemea pamoja na usharobaro wake kama wa dingiake??
Of course no, thats why myself am fearing that hata jiwe lenyewe kalichukua hivohivo tu.So what? is he the one in the world to hold that?