Riwaya: Siri

Wasiliana tu na Patrick. Kwasasa tunasubiria season six (6) natumaini ipo njiani sana.
mtunzi ni jini kama sio shetani maana hii kitu imefikia mpaka nimehau huduma ya ndoa ila poa wife yupo ila hili story wacha niende nalo sombetini kwa machalii wanipe ushauri maana nimelikubari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka yako isiyo na makosa,hii ni riwaya tu,hata movie ni uongo mtupu,ukitaka movie ya ukweli angalia za porn (x),halafu sidhani kama umelazimishwa kuifuatilia,kama unaona siyo pita kushoto,achana nayo, tuwekee mambo tuburudike kiongozi!
we jamaa hzo xxx hatubusu huku ndio sahihi kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitarudi.
 
nitarudi.
Baki huko huko
hahahaha mkuu...NITARUDI.
 
Mzee tunaweza kuongea kwa what's up 0658328596

Nahitaji kuweka stories zangu pia
 
Do
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…