RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

atakua alikua anaficha makucha, naye amemisi mambo matamu maana alivyochangamkia tenda mmh
Daah hata mie nimeshtuka sio kwa kuchangamkia ishu hivyo utafikiri alikua anamlia timing boss
 
Rukia alikuwa anasubiria fursa ss imejileta,,,kama.naona atakavyo fanywa kitoweo
 
Kama namuona mchaga atavyojifanya ni pombe[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
yessssssss hapo ndipo nilipokuwa napataka sasa!huhuhuhuuuuuuuu yani rahaaaa
 
Hahaaaa mbona rukia alikua ana adabu sijui kimempata nini jamani

Ndio adabu yenyewe hiyo, bosi anataka bosi anapewa kama ilivyo kwa msosi vile. Nimependa adabu ya Rukia kiukweria kweria
 
Wakuu samahani kama nimeingilia kati kuchezesha ngoma zisizonihusu, ila najua adha ya kusubiri, hii story ninayo hadi sehemu ya 50, naweka kama tatu hivi, kama mtaridhia nitazimwaga zote. Sorry mkuu Vin
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…