SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)…….(26)
MTUNZI…EMMANUEL F. KWAY
Contact…+255718 86217
AGE…(18+)
ILIPOISHIA.
Alichofanya Nyagogo ni kumchukua Gloria na
kumlaza juu ya kitanda ,haraka akavua nguo zake
kwa kasi ya umeme akaanza kumvua nguo Gloria
moja baada ya nyingine.Weupe wa Gloria ukazidi
kumchanganya akili,hatimaye akamvua nguo zote
akaipanua miguu ya Gloria na kujiingiza katikati
yake.
SONGA NAYO.
Alikuwa ni kama yupo ndotoni,hakuamini kwamba
Gloria yupo naye kitandani, tena kamvua nguo
zake zote akawa kama mtoto aliyetoka kwenye
tumbo la mama yake,jambo hilo lilikuwa ni usaliti
wa hali ya juu, lakini yeye aliona ni
sawa,alishaamua kumsaliti Nickson kwa kulala na
Mke wake akifanya naye ngono,tayari
alishamlewesha madawa ya Kulevya,akaipanua
miguu ya Gloria huku na kule kisha kuitumbukiza
karoti yake katikati ya Shimo,akawa anajiburudisha
mwenyewe,Gloria alikuwa katika usingizi mzito,
hakuelewa ni kitu gani kinaendelea kitandani,Nyago
go alizidi kutoa mihemo huku akipeleka majeshi
majeshi kwa mwanamke huyu asiyekuwa na
fahamu,asingejua ni jinsi gani angemueleza endapo
atazinduka na kukuta ameingiliwa kimwili.
Nyagogo alimaliza Round ya kwanza bila kuamini
akamtizama Gloria tena jinsi alivyokuwa mweupe
mno,Jogoo wake akapanda tena Mtungi,safari hii
akamgeuza kisha kumpandia kwa juu na kuzidi
kufanya mashambulizi hayo,
dawa aliyompa Gloria ilikuwa ni kali,ilikuwa ina
uwezo wa kumfanya mtu alale kwa masaa
kumi,alivyomaliza alimuingilia tena na tena.
Alivyohitimisha adhma yake alimnawisha vizuri na
kumpangusa akamlaza kitandani nayeye kutoka
nje.
****
“Mhhhhh”
Gloria aliguna baada ya kuzinduka kitandani
asubuhi ya saa tano akiwa hoi bin taaban,akarajibu
kuvuta kumbukumbu zake nyuma ilikuwaje akafika
kitandani zikagoma kabisa,mara ya mwisho
alikumbuka alikuwa anakunywa chai kisha kuanzia
hapo hakuelewa ni kitu gani kiliendelea.
Akagutuka na kufungua shuka akajikuta yu uchi wa
mnyama hana nguo hata moja,alivyozigusa
sehemu zake za siri zilikuwa salama,hakukumbuka
kabisa kama aliingiliwa kimwili usiku uliopita japo
alihisi hali ya utofauti,
Kilichomsumbua zaidi zilikuwa ni nguo zake
kuzikuta chini.Picha ya Nyagogo ikamjia na akili
yake ikamtuma kuwa wenda ndiye yeye alifanya
hayo,lakini hakutaka kuyapa majibu hayo asilimia
mia moja.
“Au itakuwa nimezivua mwenyewe nimesahau,lakin
i sidhani….”
Gloria alijiuliza na kujijibu mwenyewe mpaka
alipopigiwa simu na muhudumu kuwa muda wa
kifungua kinywa umefika,akasimama kivivu akiwa
na shuka mpaka bafuni ambapo alikifikia
kioo,alijishanga bado jinsi alivyokuwa mzuri wa
kuvutia,hakuelewa amshukuru vipi Nickson Mume
wake,akatamani apae siku hiyo hiyo akampige
mabusu mengi mume wake kama shukrani,Mapenz
i aliyokuwa nayo Nickson kwake hata shetani
aliyaogopa hilo alilijua dhahiri.
Huko bafuni akapiga mswaki akanawa na kurudi
kuvaa nguo zake,nguo alizovaa zilianza kumbana
kimtindo!
akagundua kuwa ameongezeka kiasi, alivyopiga
jicho nyuma ya kalio lake akajua kuna mabadiliko
yalifanyika ya kimaumbile,akazidi kuchanganyikiwa
alivyokuwa anayaona makalio yake yamezidi
akakumbuka ule msemo’Mwanamke shepu sura
hata mbuzi anayo’akatabasamu mwenyewe!
Hakukaaa sana mlango wake ukagongwa na
Nyagogo akaingia, lakini uso wake ulionekana ni
kama mtu anayeona haya,sababu mara nyingi
alikuwa akiangalia chini ni dhairi kuwa aliona aibu
kwa kitendo alichokifanya usiku wake wa jana.
“Vipi Shemeji?”
Gloria ndiye akawa wa kwanza kuvunja ukimnya.
“Safi tu,naona ushapendeza twende tukapate
kidogo chai chini”
“Oooh! sawa”
Wote wakatoka Gloria akapita mbele,Nyagogo
akawa ana kazi ya kuviangalia vimlima kibo na
Mawenzi,bado moyoni aliendelea kuapia kwamba
Nickson hana chake.Walishuka chini wakaenda
kunywa chai na vitu ambavyo Gloria hakuvielewa.
“Hivyo vidude vitamu”
“Vi nini?”
“Hivyo tulivyokunywa na chai”
“Unajua ni vitu gani?”
“Hapana,ni vitu gani?”
“Nyoka wale”
“Niniiiiiiiiii?”
Gloria alishtuka na kuhisi kichefuchefu cha ghafla.
“Nakutania,sio nyoka”
“Sema ukweli shemeji”
“Haki ya Mungu tena, sio nyoka,ni vikababu
vimechanganywa na nyama za kusaga”
“Ulinitisha”
“Nataka leo nikupeleke mahali Fulani utaenjoy
sana”
“Wapi hapo tena?”
“We utaona mwenyewe,sitaki kuongea maneno
mengi”
Baadaya kulipia kila kitu wakainuka na Nyagogo
akaita moja ya Taxi zilizokuwa hapo karibu
yao,ikatembea mpaka katikati ya jiji la Beijing,
huko wakatafuta Treni ya umeme,mambo yote
yaliyokuwa yanamtokea Gloria yalikuwa mageni
mbele ya macho yake,treni za umeme alizisikia na
leo hii yupo Ndani yake anazungushwa kwa
kasi,mara treni ikasimama wakashuka.
“Hii ndiyo treni ya umeme?”
Gloria aliuliza, japo jibu lilikuwa wazi!
“Ndiyo,ndiyo hili! China wameendelea sana”
Wakatembea kidogo na kupanda mabasi
makubwa,Gloria alishangazwa na wachina jinsi
walivyokuwa wakiishi asili yao kiujumla,wote
walifanana, isingekuwa wanawake kuwa na nywele
ndefu basi asingeweza kujua lipi tui na kipi ni
maziwa!
Wakaingia ndani ya uwanja mkubwa ambapo
kulikuwa kuna maonyesho ya wachina kuvaa ngozi
za wanyama huku ngoma zikiwa zinapigwa,mambo
aliyokuwa akiyaona mbele yake hakuyatofautisha
na sinema ya TAI CHI iliyochezwa na Jet lii.
Wachina waliruka huku na kule hewani,Gloria
akawa anashtuka sana.Nia ya Nyagogo ilikuwa ni
kumpumbaza Gloria, amleweshe kwa starehe
asikumbuke tena Nchini Tanzania,amchukue
kiulaini.
walivyotoka hapo wakaelekea sehemu nyingine
ambapo wachina walikuwa wakipigana.Na kulikuwa
kuna michezo mbalimbali,Usiku ukawa mzito
Gloria akawa amenogewa kabisa,Nyagogo alilijua
hilo na kesho yake ikawa ivyoivyo, akampeleka
sehemu nyingine,hapo ndiyo Gloria akajiona yeye
ndiye yeye.
“Kaaa hapa juu ya farasi,upo kwenye
mashindano,hii kamba ishikilie, ukimuona Yule
kule kaweka kitambaa chekundu basi vuta
kamba,nakuaminia ukishinda hapa nakupa zawadi”
Nyagogo alitoa maelekezo huku Gloria akiwa juu
ya farasi, anatetemeka kwa hofu kwani ndiyo
ilikuwa mara yake ya kwanza kupanda mnyama
huyo.Pembeni yake kulikuwa kuna watu wengine
wakiwa wanashindana kama yeye.
“Naogopa shemeji”
“Usiogope wala nini,hakuna anayejua hapa”
“Kwahiyo nitashinda?”
“Ndiyo maana yake”
Baada ya kutoa maelekezo hayo, Nyagogo akatoka
pembeni akimuacha Gloria akiwa pembeni akisubiri
kitambaa chekundu,kilivyooneshwa akavuta kamba
farasi akainua miguu ya mbele juu huku akipiga
kelele na kuanza kutoka kwa kasi huku akitimua
mavumbi!
****
Kutokupatikana kwa Nyagogo na Mke wake Gloria
kulizidi kumtia wasiwasi sana Nickson, hakuelewa
ni kitu gani akifanye,mara ya mwisho kuwasiliana
na watu hao ilikuwa ni siku sita zilizopita nyuma
na mawasiliano yalikatwa ghafla bila taarifa
yoyote,kilichompa moyo zaidi ni kwasababu mara
ya mwisho aliongea na mke wake vizuri simuni.
Mawazo ya upande wa pili yakamjia wenda Gloria
amerudia kwenye tabia yake tena, akifanya usaliti
na rafiki yake Nyagogo.
“Ha! Haa! Haaa! Haaaaaa,Mimi mjinga sana,huu
wivu utaniua shetani ushindwe,Nyagogo hawezi
kunifanyia mambo ya ajabu kama haya itakuwa tu
ni mitandao ya kule,usikute wanataka kunifanyia
surprise wakirudi”
Nickson alijifariji na maneno yake na kujipa moyo
kuwa hakuna kitu chochote kilichoenda vibaya
kabisa,sasa akawa ana amani angalau,ulikuwa ni
usiku wa saa mbili baada ya kutia maguu
nyumbani kwake na kumbeba Sonia mikononi
mwake,alikuwa akiangalia tamthilia.
Ghafla usingizi ukampitia akiwa juu ya kochi.
“Baaabaaa,Baaabaaa,Mbu wana kuuuma nenda
kalale chumbani”
Ni Rukia ndiye alikuwa akimtingisha bosi wake.
“Aisee kumbe nililala,usiku mwema”
Nickson akatembea mpaka chumbani kwake akiwa
na mtoto wake mikononi mwake,akaenda
akamuweka vizuri juu ya kitanda chake kidogo
kisha kumpiga busu la Usoni.
“Usiku Mwema Sonia,baba anakupenda sana”
Nickson alisema na kujitupa kitandani.
*****
“Ahhhh shsssss aaaaaah mmmmmh Nya……go…go
haaaaaaaa.pooooo haaaaaapo aaasssh ssssss”
Gloria alitolea sauti puani,hakukua na haja ya
kuuliza kwamba kulikuwa kuna nini ndani ya
chumba hicho,nguo zao zote zilikuwa chini,hiyo
ilidhihirisha kwamba hakuna hata mmoja wapo
aliyekuwa na nguo mwilini,
Ulimi wa Nyagogo ulikuwa chumvini unadeki
bahari, hapo ndipo Gloria akawa anatoa sauti yake
puani huku mkono wake mmoja ukiwa juu ya
kichwa cha mwanaume huyu akimkandamizia
kabisa kwa ndani,miguno aliyokuwa anatoa Gloria
ilimfanya Nyagogo azidi kupandisha midadi,kwa
Gloria hiyo ndiyo ilikuwa mara yake ya kwanza
kufanyiwa kitendo cha namna hiyo tena kwa
ufasaha zaidi,Nyagogo aliweza kuupitisha ulimi
wake ukiwa na mate mdomoni na kuugusisha
kabisa kwenye ikulu.
Raha alizohisi Gloria hazikuweza kuelezeka
kiwepesi, alikuwa katikati ya raha za ajabu.Raha na
sterehe alizopewa na Nyagogo wakiwa nchini
humo zikaubadili tena msimamo wake,Gloria
akawa ameingia kwenye mikono ya mwanaume
mwingine kisa starehe,akawa ametema big G’ kwa
karanga za kuonjeshwa!
Pesa ikawa imebadili tena akili ya Gloria.
Mpaka anajipindua kitandani na kukinyonga kiuno
hakuwa anaelewa kuwa anatoa sauti za
huba,Nyagogo akampindua huku na kule na
baadaye kuanza kumuingiza nyoka wake kisha
kuanza kufanya ngono.
***
“NICKSON NAOMBA TU NIKUOMBE MSAMAHA KWA
YOTE AU KWA KUKUPOTEZEA WAKATI
WAKO,SWALA NI KWAMBA HUTONIONA
TENA,SITORUDI TENA HUKO TANZANIA,KWANZA
NCHI YENYEWE MASKINI SANA,MIMI NAWEWE IBAKI
KUWA HISTORIA NIKO ZANGU CHINA NINA KULA
MAISHA,RAHA MUSTAREHE KABISA.’SHEN SHEN’
NAJUA UMESHINDWA KUELEWA HAPO HIKO NI
KICHINA MAANA YAKE NI AHSANTE…..NI MIMI
GLORIA MCHINA”
Nickson ndiye alikuwa akisoma meseji hiyo juu ya
kioo cha simu yake,ikiwa ni asubuhi, anaendesha
gari kuelekea kazini,hakutaka kuyaamini macho
yake kuwa maneno hayo yaliandikwa na
Gloria,moyo ulimuuma hakutaka kuimalizia lakini
aliendelea kuisoma akidhani wenda mwisho Gloria
angesema kuwa anamtania.Moyo wake ukamuenda
mbio akawa anairudia rudia meseji,macho yake
yakawa juu ya simu,jasho linamtoka.
“Kuuuuuu”
Huo ndiyo mlio uliomshtua, alikuwa teyari
keshagonga gari la mbele yake bila
kutegemea,bado alikuwa katika hali ya
kuchanganyikiwa na mawazo, akamshuhudia
Mwanamke mtu mzima aliyekuwa anashuka ndani
ya gari aina ya ‘Jaguar,akiwa kaukunja uso
wake,akatembea mpaka kwenye kioo upande wa
Nickson na kukigonga, kikafunguliwa.
“Kaka hukuniona au?huku niona? naomba ushuke
tafadhali tuelewane,jamani mbona ivyo asubuhi
asubuhi kutafutiana mabalaaa,shuka kaka,shuka
upesi kwa usalama wako.Tena naomba ushuke
upesi usinipotezee muda”
(BILA KUSAHAU KWAMBA HADITHI HII
INAPATIKANA YOTE WATSAP NA INBOX KWA
MALIPO YA TSHS 3000/- KWA MWEZI,mawasiliano
namba +255718 862176
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway
insta@storyzakway
ITAENDELEA.