RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(32)
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY
Contact…+255718 862176
AGE…(18+)
ILIPOISHIA
“Baby”
Siku hiyo Nickson akamuita Gloria wakiwa chumbani.
“Yes Darling”
“Hivi hujawahi kufanya utafiti juu ya huyu Rukia kuhusu mimba yake,mshaongea lolote kuhusiana na hiyo Mimba yake?”
Nickson alipima maji.Badala ya Gloria kujibu alimkata jicho kali la hasira.
SONGA NAYO.

Jicho la Gloria lilimtisha Nickson akajua teyari mambo yameharibika,lakini hakutaka kulipa jambo hilo kipaumbele akajikausha kama hajui linaloendelea.
“Nickson”
“Naaam”
Gloria alimtizama Mume wake na kushusha pumzi ya uchovu na kuendelea kuongea.
“Unajua kuwa mimi siyo mtoto mdogo”
“Ndio najua Mke wangu”
“Unanipenda?”
“Sana tu”
“Sasa nachokuomba,Rukia sitaki kumuona hapa nyumbani kuanzia kesho,kama kweli unanipenda au kama kweli mimi ni mkeo”
“Rukia anatusaidia sana hapa nyu….”
“Nyamaza Nickson,mimi sio mjinga kiasi hicho,najua hiyo mimba ni yako hilo nalielewa sana kaniambia kila kitu, tafadhali sitaki kumuona hapa nyumbani maana nitamuuwa”
Gloria alitibuka kama kiboko Mtoni,akanyanyuka kwa hasira na kutoka nje.Damu ya Nickson ilimwenda mbio ikasukumiza mapigo yake ya moyo kwa nguvu,akashindwa kuelewa ni kitu gani akifanye kwa wakati huo.Alichoongea Gloria ni kweli alikimaanisha, aliingia chumbani kwa Rukia kwa hasira.
“wewe malaya naomba unisikilize kwa makini,kesho naomba uondoke hapa ndani kabla sijafanya kitu kingine kibaya,kwa usalama wako”
Nickson akawa amefika yupo nyuma ya Gloria anajitahidi kumvuta atoke nje waongee.
“Gloria njoo tuongee”
“Uongee nini sasa namimi?Utaongea nini Nickson?ishatokea maji yashamwagika huwezi kuyazoa,sitaki kumuona Rukia.FULL STOP”
“Gloria”
“SHUT UP NICKSON”
Gloria alizidi kufoka huku akitetemeka kwa hasira kifua chake kikapanda juu na kushuka hakuna siku aliyojaa wivu kama siku hiyo,hakutaka kuelewa chochote alichotaka ni Rukia aondoke mara moja,msimamo wake ukabaki kuwa ivyo ivyo.
Kama masihara, kesho yake Rukia alikuta vitu vyake vipo nje kuanzia nguo mpaka viatu, Gloria alidhamiria kumfukuza kabisa kabisa,hakutaka kuishi na mwanamke mwenye mimba ya Mume wake.
“Unachofanya sio vizuri Gloria”
“Sio vizuri nini?atoke hapa,Rukia ondoka sasa hivi,kama unataka uhai”
Mifuko ya nguo ilizidi kurushwa nje na Gloria,Nickson hakuwa na la kufanya jambo alilolifanya mke wake aliliona ni sawa kabisa,ni kweli alitenda kosa.Hakutaka kuhesabu mangapi aliyofanyiwa na Gloria sababu walishaamua kufungua ukurasa mpya wa mapenzi yao hakutaka kukumbuka lolote lile.
Huo ndiyo ukawa mwisho wa Rukia kufanya kazi kwa Nickson, akaokota mifuko yake huku akilia machozi, akatembea mpaka barabarani ili kutafuta dalaladala, kwa senti mbili tatu za mshahara alizokuwa nazo aliweza kupata usafiri na aliamini kwamba zingemfikisha mkoani kwao, akamzae mtoto wake na kumlea,hakutaka kuitoa mimba hiyo hata kidogo!
***
Maisha ya Gloria na Nickson yakazidi kusonga mbele.Hatimaye Nickson akaamua kuokoka kabisa akaongeza upendo mara dufu kwa mke wake,Miaka ilisogea huku Sonia akizidi kuwa mkubwa,mpaka hapo uzuri wa Sonia ukaonekana machoni mwa Watu,kila mwanamke aliyemuona Sonia alitamani mtoto huyo awe wake,Japo kuwa alikuwa mtoto mdogo lakini alitishia kwa uzuri.Akazidi kuwa mweupe kupindukia,rangi za wazazi wake zilimkaa vizuri.Uzuri wa Gloria na sura nzuri ya Nickson vikachanganyika ndani ya mtoto huyu akawa tetemesho, kila mtu alikuwa anasema yake.
“Mama Shayo,huyu mtoto wako ni mzuri khaaaa,kweli vya kuridhi vinazidi…Macho kachukua kwako Midomo ya Baba yake aisee hii combination nimeikubali,kama mmemuumba nyie”
Muumini mmoja wa Kanisa la Mchungaji Patrick alikuwa akiongea na kumsifia Sonia baada ya kumuona.
“Ni Mungu tu”
Gloria akajibu huku akitabasamu hata yeye alijivunia kuwa na mtoyo mzuri kama huyo,japokuwa yeye vilevile alikuwa keshazaa lakini uzuri wake ulitulia na ndiyo kwanza uliongezeka,kutokana na vipodozi alivyokuwa akivitumia.
Siku hiyo Nickson hakuongozana naye kanisani alikuwepo peke yake,akaingia ndani ya Landcruiser V8 na kumuweka Sonia vizuri kwenye viti vya Nyuma!
“Mamiiiiiiiii…chodaa nataka choooda na aichikrimu”
Sonia alisema na mama yake akatoka Nje kumtafutia mwanaye anachokitaka.
“Mama Shayo”
Sauti hiyo ikamshtua,akageuka nyuma.
“Mtumishi,bwana asifiwe”
“Amina ,Amina”
Muumini mwenzake aliyeitwa MTUMISHI alikuwa pia ni kiongozi wa kwaya kuu ya kanisani hapo.
“Nina maongezi nawewe”
“Sasa hivi?”
“Hapana,nadhani hata baadaye kidogo sio mbaya”
“sawa wacha nikamnunulie mtoto soda,tutazungumza, namba yangu si unayo?”
“Ndio ninayo”
“Aya”
Kitendo cha Gloria kuanza kutembea,kilimfanya Mtumishi aanze kumsindikiza kwa Macho ya kuibia huku akitembea mbele,alikuwa akigeuza shingo yake nyuma mara kwa mara ili amshuhudie Gloria anavyotingisha kwa nyuma,udenda ulimtoka katika hali ya kushangaza akagongana kikumbo na Mchungaji Patrick aliyekuwa mbele yake.
“Bwana asifiwe mchungaji.Nina mawazo mengi sana ala….”
“ULIKUWA ukiongea nini na Mama shayo?”
“Nilimwambia tuonane baadaye,kuhusiana na mambo ya Kwaya,nataka awe mwana kwaya”
“Naomba uje ofisini kwangu”
***
Sonia alizidi kutingisha kwa uzuri kupita kiasi,uzuri wake haukuweza kuelezeka kiwepesi wengi walimtabiria anaweza akawa miss Dunia miaka ya baadaye,nywele zake za singasinga ndiyo ikamfanya azidi kung’aa zaidi na zaidi,alikuwa ana umri wa miaka nane lakini alishaanza kuwa mrembo,hakuna mtu aliyeweza kuamini kuwa kuna watoto kama hao duniani,kila aliyemuona alimbeba.Baba yake alimpenda kupita kiasi, akamgharamia kumtafutia mwalimu atakayekuja kumfundisha mtoto wake nyumbani kwake.
“Mama Sonia,wiki ijayo tunahamia kwenye nyumba yetu ishaisha tayari”
“Ndio nilitaka nikuulize sasa hivi umeniwahi”
“Ndiyo ivyo wiki ijayo,anza kujiandaa”
Hivyo ndivyo ilivyokuwa, wiki moja ilivyokatika wakawa wamehama kwenye nyumba ya kampuni.Ikawa furaha kubwa sana kwa Nickson.Akatoa kanisani fungu la kumi kumshukuru Mungu wake kwa jambo alilomfanyia, aliamini kuwa bila MUNGU asingefanikiwa.Nyumba ikawa imeongezeka kuwa na furaha wote wakafunga macho na kusali.
SIKU ZOTE MCHUNGAJI PATRICK ndani ya moyo wake alitamani vibaya sana kuwa na Gloria kimapenzi na aliamini kwamba muda huo kwake ulikuwa muafaka,haraka akampa cheo kanisani ili iwe rahisi kwake kusafiri naye atakavyo,ivyo ndivyo ilivyokuwa, ghafla akawa kiongozi wa wana kwaya.Mipango ya safari ikaandaliwa na Gloria akateuliwa kwenda kutoa neno katika la kanisa kipentekonste Mkoani Iringa.Mambo yakafanyika haraka, kanisa likatoa shilingi milioni sabini kwa ajili tu ya safari.
“sawa sina neno Mke wangu.Ni kazi za Mungu hizo uzidi kutuombea tu”
“Amen Mume wangu nitafanya ivyo,kila siku ninaiombea familia hii”
Nickson alikuwa nyuma ya kila kitu,hakuelewa jambo lolote na mipango ilivyokwenda, alimuamini mke wake pia na Mchungaji Patrick akamruhusu Mke wake na kumpa kiasi cha shilingi laki tatu kama matumzi ya huko atakapokwenda.
Kesho yake Gloria akawa njiani kuelekea Iringa wakiwa kwenye msafara wa magari ya kanisa.Jioni ya siku hiyo wakafikia katika wilaya ya Kilolo,hapo walipokelewa kwa kuwa walijua ujio wao.WALIPIGA MAOMBI na kumshukuru Mungu kwa kuwa fikisha salama,wakatafuta nyumba za wageni kila mtu akatafuta chumba chake,kulikuwa kuna baridi mno hazikupita hata dakika tano mvua kubwa ikaanza kunyesha.Mchungaji Patrick akazinduka usiku mnene akasimama akagonga mlango wa Gloria.
“Nani?”
“Mchungaji Patrick”
Gloria hakuwa na tatizo akafungua mlango Mchungaji Patrick akazama ndani,japo alishindwa kuelewa ujio huo wa usiku ulikuwa una maana gani,hakutaka kuweka mashaka yoyote sababu alimuamini sana mtumishi huyu wa Mungu.
“Inabidi tuombe,kuna vitu nimeviota vibaya sana,Mungu naona anajaribu kunionesha kitu”
“Sawa tusali”
Hilo ndilo likawa kosa kubwa la Gloria kuyafumba macho yake,Mchungaji Patrick akatoa kitambaa chake alichokinyunyizia madawa makali mno ya usingizi, akampiga nacho Gloria puani huku akijifanya kusali,Kizunguzungu kikali kikamkamata Gloria,kabla ya kudondoka chini akadakwa na Mchungaji Patrick,akamuweka kitandani taratibu akaenda kuufunga mlango vizuri na ufunguo, hakuamini kama teyari yupo Chumba kimoja na Gloria tena wakiwa wawili tu,
kama umeme akaanza kuvua mkanda wake, akatoa nguo zake zote mwilini.Akamvua Gloria nguo zake kisha akapanda kitandani na kuanza kufanya tendo baya na mke wa muumini wake.
****
“Asshss ahhsss ahaaa na..ku..pen..da sana”
Hizo ndizo kelele alizokuwa akipiga Gloria baada ya kuwekwa Mbuzi kagoma, akiwa ameshika moja ya pembe ya kitanda,mchungaji Patrick tayari aliweza kumlanghai na pesa za kanisa,Gloria alivaa vitenge vya Wax vya bei mbaya kutoka Nigeria, akazidi kuwa mzuri akalewa na sifa za kila mtu,
hakukuwa na mtu hata mmoja aliyewawekea mashaka Mchungaji Patrick na Gloria,jambo hilo lilikuwa siri na mara nyingi walisafiri pamoja.Gloria alikuwa amelala kifudifudi Mchungaji Patrick yupo juu yake akavuta mto akauweka chini ya Tumbo la Gloria akawa amebinuka kwa nyuma kama bajaji za india,mambo yakazidi kuendelea huku Gloria akizidi kutoa miguno ya huba,ghafla akabinuliwa na kuwekwa kifo cha mende mguu wake mmoja ukawekwa mabegani mwa Mchungaji Patrick akazidi kukizungusha kiuoni kama sio yeye huku akitoa miguno ya ki utu uzima.

Hayo ndiyo yalikuwa maisha yao kila siku.Kuanzia hapo michango ya kanisani haikuisha waumini walichanga na pesa hizo zilitumiwa na Mchungaji Patrick pamoja na Gloria wakifanya starehe.Mara ghafla akaanza tena kuleta kiburi kwa mume wake, tabia zake zikabadilika, Mchungaji Patrick alimpa bichwa!
“Mke wangu mbona siku hizi sikuelewi?”
“Hunielewi kivipi tena?”
“SASA hivi unatoka wapi?”
“Kanisani”
“Kanisaniiiii?”
“Ndio,Kanisani”
Nickson akatupa macho yake juu ya saa ya ukutani ilikuwa ni saa nane ya usiku.
“Kanisa gani hilo usiku?”
“Wewe jua ivyo,naomba nipite nimechoka tafadhali”
Nickson hakutaka kuhoji tena.Kitu kilichomchanganya akili zaidi usiku huo Nickson, ni baada ya kunyimwa Unyumba, jambo hilo ndilo likamvuruga kabisa,alivyokuwa akimgusa Gloria kiuno, mkono wake ulitupwa mbali.
“Mke wangu”
“Nini?Nimechoka naomba nilale pleaseee niache”
“Mimi nina hamu sana,ni siku nyingi sana ujue tangu uondoke umekuwa bize mno,naomba haki yangu nimezidiwa”
“Nenda kapige puchu chooni leo”
Jibu hilo likamchanganya sana Nickson,alibaki akitetemeka, karoti yake ilikuwa imesimama na kweli alikuwa ana hamu na mke wake kupita kiasi na jinsi alivyokuwa amevalia nguo ya kulalia mishipa ya karoti yake ikawa imekakamaa kupita kiasi akitamani tendo la ndoa,kila alipojaribu kumshika mke wake alikaripiwa!
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
(kwa hadithi nyingi za kusisimua fuata hii link www.facebook.com/STORYZAKWAY.)
hata kama ni hadithi sio kwa kuweka hivi hadi inaboa maana story ile ile inajirudia sasa fundisho lio wapi hapa
 
1079532
huge concentration
 
Hili jamaa Nickson lilikua ni fala sana we matukio yote hayo bado unang'ang'ania mwanamke tu
 
Back
Top Bottom