RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

RIWAYA: Mtumwa wa Ngono

SEX(sex slave)…….(28)
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY
Contact…+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
“Gloriaaaaa,njooo basi mpenzi panda kitandaani tulaleee”
Nickson aliongea huku akimtimza Msichana huyu wa kazi aliyekuwa mremo mbele ya macho yake,akamvuta kama umeme kitandani kwake! Katika hali ya kutokutegemea akampandia kwa juu ya kuanza kulana denda,Nickson akili zake zilimtuma kuwa huyu ndiyo Gloria mke wake na hapo walipokuwa ni chumbani kwao.
SONGA NAYO.

Mambo yaliyokuwa yanaendelea hayakuwa sinema ya ngono ya kuigiza bali yalikuwa ni ukweli mtupu,Kitandani alilala Rukia na Nickson, kwa waliyokuwa wanayafanya usingebisha ungeambiwa kwamba wanacheza filamu ya X.Rukia alikuwa juu ya Nickson, hakutofautishwa na kungwi mcheza ngono maarufu duniani aliyeitwa Pretty Diego.Wakati Nickson akiwa chali yeye alikuwa juu yake, tena kapiga magoti kashika koni ya Nickson anailamba, hakutaka kufanya makosa,alielewa kuwa tendo hilo hakulifanya siku nyingi,kwake ilikuwa kama embe kudondoka chini ya mchungwa,alielewa kwamba kuna uwezekano mkubwa asubuhi ya kesho yake angefukuzwa kazi, ndiyo maana alitaka kufanya kila jitihada mfaidi bosi wake ambaye yeye mwenyewe aliingia kwenye anga zake.
“Mhhhh”
Nickson alitoa miguno baada ya Rukia kuzidi kunyonya koni tena akiwa amejaza mate mdomoni mwake,alikuwa akiichua taratibu mno na kuilamba kiufundi,alimuendea Nickson kifuani na kuanza kumnyonya kifua akaenda mpaka shingoni mwake na kuanza kumnyonya shingo,akapitisha ulimi wake mpaka ndani ya masikio ya Nickson,kila Nickson alipotaka kujiinua, Rukia alimrudisha hakutaka kumpa hata nafasi ya kujitetea hata kidogo na ivyo ndivyo ilivyotokea.Akazidi kumlamba kifua, macho na kushuka chini kwenye tumbo akashuka tena mpaka kwenye mkongojo,akaanza kuunyonya, tena kwa madoido,akashuka mpaka kwenye goroli akafanya ivyo ivyo pia.Raha alizosikia Nickson hakuwahi kuzisikia tangu azaliwe, aliishia kuhema juu juu kama bata mzinga,huku akitoa miguno ya puani,alikishika kichwa cha Rukia vizuri na kuanza kukikandamiza vizuri kabisa kwenye koni yake huku akiwa ameyafumba macho yake.
“Ahhh Ivy..o ivy…o.”
Nickson alisema huku macho yake yakiwa yamefungwa,Rukia alishajua nini maana yake alichofanya ni kujitoa kimahaba.Ilibidi Nickson ayafumbue macho yake sababu utamu ulikuwa umekatika ghafla,kama chui Rukia akamrukia Nickson Mdomoni wakaanza kulana denda,mambo yalikuwa mazuri kwa Nickson pombe taratibu zikaanza kumwisha,mapigo yake ya moyo yalikuwa yakimwenda kwa kasi huku Jogoo wake akiwa wima amesimama imara,Rukia alishuka na kumlamba lamba tena huku akijishika maziwa yake,nia yake ilikuwa ayatoe madini kidogo kwenye ikulu yake,jambo hilo lilivyokamilika akapanua miguu yake akaikalia Karoti ya Nickson nayo ikapita bila wasiwasi kutokana na mgodi ulikuwa tayari umelowa,Rukia alikizungusha kiuoni chake na kukinyonga kisawasawa huku akiwa juu ameinama anampiga Denda Nickson, aliyekuwa ameyafumba macho yake kama mtu anayejichokonoa masikio na pamba ‘stick’.Rukia alizidisha madoido, akajichomoa na kujiweka upande wa chini yaani alikuwa akiitizama miguu ya Nickson,akaanza kujiinua na kukaa huku akiwa ameiweka mikono ya Nickson kwenye kiuno chake,alizungusha kiuno chake pande zote za dunia,akazidi kumpagawisha bosi wake,kadri sekunde zilivyozidi kwenda mbele ndipo Rukia alizidi kukinyonga kiuno chake vilivyo, Nickson ndiye akazidi kuchanganya, nayeye akijitahidi Rukia ndiyo akaweka gia namba tano,

kilichosikika hapo zilikuwa ni kelele za chaga,kila mtu alifanya juhudi.
“Aaaaaaah aaaaaaaaaah mmmhhhh”
Nickson ndiyo alikuwa akitoa mguno mzito wa ki utu uzima,huku akimvuta Rukia mdomoni wakaanza kulana denda na Rukia naye akamng’ang’ania ikawa wote kwa pamoja wamevunja yai la bata.Rukia hakuogopa alilala juu ya Kifua cha Nickson,kutokana na wote kuwa na uchovu walijikuta wamepitiwa na usingizi!
*****
Hakuna siku aliyoamka akiwa mwenye haya na aibu kama siku hiyo asubuhi,sio kwamba hakuweza kukumbuka yaliyotokea usiku wa jana bali alishindwa kuelewa atamuangalia vipi Rukia mfanyakazi wake wa ndani,alijikuta anazilaumu pombe kupita kiasi,kichwa kilimuuma sana siku hiyo alivyomka na kujikuta yupo chumbani kwa Rukia tena bila nguo zozote mwilini.
“Sijui itakuwaje,au nimfukuze ili nitoe hii aibu”
Nickson alijiuliza na kujijibu mwenyewe akainuka kivivu na kuvaa nguo zake harakaharaka bila kuangalia nyuma akapita mpaka chumbani kwake.Akajitupa kitandani akazama kwenye mawazo.
Hata kwa Rukia ivyo ndivyo ilivyokuwa, hakuelewa sura yake ataificha wapi,dalili za kufukuzwa kazi zilikuwa waziwazi hakutaka kuonana na Bosi wake,alitamani ardhi ipasuke aingie ndani ili aikimbie aibu!
“Bora hata niondoke zangu kuliko kusubiri kufukuzwa kazi,nishaharibu,sijui kwanini nilifanya vile jamani”
Aliwaza Rukia, akashika kikombe na semosi ya chai ili kuweka mezani kwa ajili ya bosi wake apate kifungua kinywa,akawa anatetemeka mno kitendo cha kushika vikombe akajikuta vimem-teleza na kudondoka chini vyote vikapasuka hapohapo.
Nickson aliyekuwa chumbani alitoka haraka na kufika mpaka seblen.
“Vipi?”
Lilikuwa ni swali kutoka kwa Nickson,lakini Rukia hakuweza kugeuka nyuma.
“Hakuna kitu bosi”
Alijibu bila kugeuka.
“Hujaumia?”
“Hapana sijaumia”
“Sonia amekunywa uji?”
Kwa Nickson hilo lilikuwa swali la kijinga ama jibu lake lilikuwa wazi kabisa,alijikuta anauliza bila kutegemea, sababu alimuacha Sonia chumbani kwake.
“Hapana bosi,kwani keshaamka?”
Hapo ndipo Nickson akageuza na kwenda chumbani kwake kisha kumbeba Sonia mpaka seblen akamkabidhi Rukia,Picha ya usiku wake wa jana ilikuwa ikipita kichwani kwake na kuonekana kama sinema ya kuigiza akajiona alivyokuwa na Rukia kitandani,wanafanya ngono zilikuwa ni raha ambazo alikuwa akizikumbuka,tena alivyogusisha mikono yake kwenye mwili wa Rukia akahisi kama amepigwa na shoti ya umeme wa Transfoma! akabaki anamtizama Rukia ambaye alikuwa anaangalia chini kwa aibu.
“Mpe maziwa ya kutosha”
“Sawa Bosi”
Nickson akarudi chumbani kwake kupumzika.
****
“Unamuulizia nani?”
“Nyagogo”
“Nyagogo?”
“Ndio!Nyagogo hapa ndiyo kwake?”
“Hapa ndiyo kwake,wewe ni nani?”
“Mimi ni mchumba wake”
“Tangu lini?”
“Haaa,mbona una maswali ivyo kama polisi?embu nipishe nipite basi nikapumzike”
“wewe mwanamke umetumwa au?”
“Nyagogo yupo au hayupo?”
“Subiri nikuitie,subiri hapo hapo”
“Ndio nasubiri”
Gloria alikuwa amevimba kwa hasira,yupo nje ya jumba kubwa la Nyagogo.Alimsubiri kwa hamu sana.Hakuna kitu kilichomuuma kama kuachwa Hotelini kwa muda wa siku kumi na moja wakiwa washarejea wapo Mkoani Mwanza, wakitokea moja kwa moja nchini China,Wahudumu wa Hotel iliyokuwa Kilumba walishachukua simu yake kutokana na kudaiwa pesa za kulala,alivyompigia Nyagogo simu hakumpata hewani na wakati mwingine ilivyoita haikupokelewa,hapo ndipo alipoamua kumtafuta nyumba kwa nyumba akimuulizia.Nyagogo alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa ndiyo maana ilikuwa rahisi kuoneshwa nyumbani kwake.
Alikuwa amechanganyikiwa zaidi baada ya kufunguliwa geti na mwanamke mtu mzima.
“Huyu mwanamke ananijibu nyodo?hajui kuwa mimi hapa Nyagogo ndiyo kafunga breki,nikiingia humo ndani kwanza nitamfukuza ndani.Hawezi kunijibu shombo”
Hayo aliwaza Gloria akiwa nje ya geti,baada ya dakika moja akasikia sauti ya Mwanamke aliyekuwa amemfungulia geti na baadaye akasikia sauti nzito,haikuchukua muda sana kuitambua kuwa ilikuwa ya Nyagogo,akatulia na geti likafunguliwa sura ya Nyagogo ikatokeza na mwanamke mtu mzima.
“Baba Irene,leo utanieleza huyu ni nani”
“Yupi?”
Siyo kwamba Nyagogo hakumuona Gloria bali alijifanya kuuliza swali.
“Yupi eeeh?huyu mwanamke ni nani?”
“Mimi?huyu?mimi simjui”
Nyagogo akamkana Gloria kama Petro alivyomkana Yesu!
“Nyagogo hunijui mimi leo?kweli?”
“Dada mimi sikujui,naomba usitake kuniharibia ndoa yangu kabisa.Ujue mke wangu hawa wanafunzi wa vyuo vya Sauti,wanakuwa wana shobo sana,nakumbuka hata Yule rafiki yangu Loso,alikumbwa na balaa hili hili akagombana na mke wake”
“Nyagogo,leo unaniambia mimi ivyo?kumbe una mke?umeniacha hotelini simu yangu imechukuliwa kisa we…..”
“Wewe dada,wewe dada….embu nitokee mbele yangu,toa lisura lako hapa sasa hivi.potea”
Nyagogo akaongea kwa ukali na kutaka kufunga geti lakini likazuiwa na mke wake.
“Baba Irene,usijifanye kuniletea vimaigizo vyako hapa,naona umenisahau,haiwezekani huyu mtoto atoke huko kooooooooote aje hapa,embu ongea ukweli,usiniletee za kuleta”
Mama Irene akawa amepandisha hasira ajabu,akawa amemkwida shati mume wake, yote yalikuwa yanatokea mbele ya Gloria.
“Niambie ukweli huyu mwanamke ni nani,baba Irene”
Kabla ya Nyagogo kujibu lolote alipokea ukofi mkali wa shavu akapigwa na kingine.Siku zote Nyagogo alimuogopa sana Mke wake,alikuwa amemuoa mwanamke wa Kikurya,alikuwa akifanya kosa kidogo lazima achezee misumbwi.
“Nawewe Malaya,bado upo?”
Mama Irene aliuliza kwa ukali huku akimgeukia Gloria.Kwa picha alioiona hapo Gloria alitimua mbio ndefu breki ya kwanza alipanda daladala na hakujua ni wapi anaenda,kutokana na hofu kumtanda.
****
SIKU ZOTE MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA! Kwa mara ya Kwanza Gloria alijua nini maana ya njaa,alikuwa hajaweka kitu chochote mdomoni tangu asubuhi mpaka usiku unaingia, mdomo ulimkauka alitanga tanga huku na kule,mwisho akaenda kukaa katikakati ya uwanja wa CCM kilumba,alikuwa ana mawazo mengi mno,dunia ilimpa kisogo,akajikuta anajuta kupita kiasi,hakuamini kuwa kulala na kuamka ametengwa kiasi hicho, wakati mwingine alidhani yupo ndotoni anaota ndoto ya kutisha.
Ghafla sura ya mume wake Nickson ikamjia kichwani akakumbuka mapendo na mema yote aliyokuwa amemfanyia,akaona ni lazima hiyo ilikuwa ni laana ya Nickson.
“Itabidi nimuombe msamahaa Nickson wangu,tukamlee Sonia,Mungu naomba unisamehee,Najua Nickson ananipenda sana nina imani atanisamehee tu”
Asilimia tisini na tatu zilikuwa kwake zote,msamaha ulikuwa teyari umetolewa, hilo Gloria alilijua kabisa,akajipa moyo akasimama na kujifuta michaga,akatembea mpaka barabarani ili kuomba msaada wa simu.Namba ya Nickson siku zote hakuweza kuisahau hata mara moja.
“Kaka habari”
Gloria akamsalimia mvulana muuza duka.
“Salama dada karibu sana”
“Ahsante,mimi mwenzako nina shida”
“Shida gani tena?nieleze”
“Nina shida na simu,nataka kupiga tafadhali naomba unisaidie”
“Duuu!simu yangu hapa dada haina pesa alafu ina deni,lakini ngoja nikuombee”
Kijana wa dukani akatoka nje,baada ya kama dakika moja akarudi na simu akamkabidhi Gloria,kwa haraka akaanza kubonyeza namba Fulani kisha akaweka simu sikioni.
“Halloooo,Nickson….Mimi Gloria mke wako”
Gloria aliongea harakaharaka.
“Gloriaaaaaaaaa!”
Nickson akashtuka simuni.
“Nickson naomba unisamehe mume wangu,nipo chini ya miguu yako najua nimekukosea sana mume wangu,ni shetani tu,nina matatizo makubwa Sana,niamini kwamba nitabadilika,nipo Mwanza,naomba uje kunichukua Baba Sonia,vipi Sonia hajambo?”
Gloria alikuwa akiongea lakini upande wa pili wa simu ulikuwa kimnya kabisa!Nickson hakujibu chochote.
“Nickson unanisikia Mume wangu?”
Gloria akauliza tena.
“Kwahiyo?embu nisikilize kwa umakini wewe Malaya mchafu,naomba uniache na maisha yangu nimekupa uhuru fanya unavyojisikia,ukiamua kuolewa na wanaume wengine sawa, nimekupa ruksa,usinitafute tusitafutane”
Nickson aliongea kwa sauti ya hasira kupita kiasi.
“Nickson Mume wangu samahani….tititiiiiii”
Nickson akamkatia simu Gloria,hakutaka kumsikiliza tena!
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
(kwa hadithi nyingine nyingi za kusisimua fuata hii link www.facebook.com/STORYZAKWAY.)
 
RIWAYA: SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(29)
MTUNZI….EMMANUEL F.KWAY
Contact…+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
“Kwahiyo?embu nisikilize kwa umakini wewe Malaya mchafu,naomba uniache na maisha yangu nimekupa uhuru fanya unavyojisikia,ukiamua kuolewa na wanaume wengine sawa, nimekupa ruksa,usinitafute tusitafutane”
Nickson aliongea kwa sauti ya hasira kupita kiasi.
“Nickson Mume wangu samahani….tititiiiiii”
Nickson akamkatia simu Gloria,hakutaka kumsikiliza tena!
SONGA NAYO.
Ilikuwa ni shangwe kubwa Kwa Tito aliyekuwa pembeni karibu na Nickson, simu aliyoipokea na kila kitu alichoongea Nickson Tito alikisikia lakini badala ya kusikitika yeye alinyoosha mikono yake hewani utadhani alikuwa mpirani ameona timu yake imeshinda,kwake ilikuwa ni ushindi mkubwa,siku zote alimuonea huruma rafiki yake na sasa aliona ameutua mzigo.
“Dadaaaaaaa,weka kreti la bia hapa tufanye sherehe”
Tito aliongea akiwa mwenye furaha huku akimpiga piga Nickson mgongoni.
“Jembee hilo,hayo ndiyo maamuzi ya kiume,piga chini mwanaume siku zote halii hata kidogo,Siku zote mwanaume ni kama simba,akikosa nyama yeye hula hata majani”
Nickson alikuwa kimnya mapigo yake ya moyo yalikuwa yakimwenda kwa kasi sana huku jasho lilkimtoka kupindukia,hakuamini kuwa ni yeye ndiye ameyatoa majibu hayo kwa mwanamke aliyempenda kuliko wanawake wote ulimwenguni,alibaki akimuangalia Tito na kushusha pumzi za ndani kwa ndani, wala hakufurahi kwa alichokiropoka dakika moja iliyopita.
“Tito,naomba nikalale kichwa kinaniuma”
“Aaaah Nickson za wapi hizo?”
“Kesho kazini,sijisikii poa”
Nickosn wala hakutania,alisimama na kuingia ndani ya gari lake akatimua mbio huku akiwa mwenye mawazo chungu mzima,Bado alihisi kumpenda Gloria moyo ulimuuma,akashindwa ni kitu gani akifanye.Usiku ulikuwa mwingi tayari, baada ya dakika sitini na tano akawa tayari anaegesha gari lake nje ya uwanja nyumbani kwake, akashuka na kuingia ndani ambapo tayari alikuta chakula kipo mezani!
“Rukiaaaa”
“Abee Baba”
“Embu njoo”
Rukia akafika karibu na Nickson akasimama mbele yake huku kichwa chake kikiwa chini akiona aibu.
“Sonia alikunywa maziwa?”
“Ndio Baba”
“Yuko wapi?”
“Amelala”
“Ameshiba lakini?”
“Ameshiba ndio”
“Wewe umekula?”
“Hapana Baba”
“Aya,kaa hapo mezani ule”
“Nitakula tu”
“Kaa hapo,ule”
Kwa uso uliyojaa aibu Rukia akavuta kiti kwa nyuma na kukaa na wote kuanza kula kwa pamoja.Mpaka wanamaliza kula hakuna hata mmoja wapo aliye diriki kumuongelesha mwenzake ni milio ya kijiko na sahani ndivyo vilivyosikika vikigongana.
Nickson akawa wa kwanza kumaliza kula akasimama na kutembea mpaka Seblen, akamchukua Sonia na kuondoka naye mpaka chumbani kwake kisha kumuweka kitandani nayeye akajitupa kitandani.
Hakukaa sana kitandani picha ya Rukia ikamjia kichwani tena kwa ghafla,akakumbuka mambo yaliyokuwa yametokea siku iliyopita, hapo ndipo taratibu nyoka wake akaanza kusimama wima akitaka angalau kutulizwa,alijitahidi kuzuia jambo hilo lakini haikuwezekana.Hakuelewa ni jinsi gani atamuingia Rukia ambaye alikuwa ni mfanyakazi wake wa ndani,akatafakari kwa kama sekunde tano nzima kisha akavaa taulo na kufungua mlango akatembea mpaka mlangoni kwa Rukia akawa amesimama akiwa anajishauri ni kitu gani akifanye.
“Ngo ngo ngooo”
Nickson aligonga Mlango wa Rukia huku akisikilizia kwa umakini,akasikia kitanda kinacheza kisha baadaye mlio wa funguo unachezeshwa na mlango ukafunguliwa.Nickson akahisi amepigwa na ganzi mwili wake mzima,Rukia alitoka akiwa na kanga peke yake,Nickson alikiangalia kifua cha msichana huyu na kuanza kumshusha mpaka chini ambapo alikumbana na nyama zilizosambaa kwa pembeni yaani ‘hips’kanga ilikuwa imeishia kidogo juu ya magoti na mapaja yake manene yakaonekana, akashusha macho yake chini na kukumbana na mguu mnene uliojaa supu.Akahisi kama mwili wake umekaushwa na umeme na damu yake imeacha kutembea.
“Hi..vi..Hivi ulizima taa za jikoni?”
Swali hilo lilimtoka Nickson bila ya kutegemea.
“Ndio nilizima baba”
“Na na na naaaaa mlango mkubwa ta ta ta yari umefungwa au? Umeuacha wazi ujuwe kuna majambazi siku hi…zi,watatuvamia,watatuuwa”
“Hapo,sina uhakika ngoja nikaangalie”
Mashetani yalizidi kumpanda Nickson baada ya mtoto huyu mdogo kupita mbele yake na kanga,Nickson akashindwa kujizuia akamshika mkono,kama umeme akamvuta upande wake mpaka mdomoni,akashika kichwa cha Rukia na kukisogeza kwake, midomo yaa ikakutana,Mpaka hapo Rukia alishaelewa Bosi wake hakuwa na lolote bali alitaka penzi lake,nayeye akajiongeza akazidisha njonjo,kwa ufundi akaudaka ulimi wa Nickson na kuuingiza vizuri mdomoni mwake,wakaanza kubadilishana ndimi kama njiwa wakiwa bado wamesimama wima kwenye korido,wakaanza kupiga hatua za asteaste mpaka seblen ambapo walijitupa juu ya masofa, Nickson akawa yupo Chini Rukia juu yake,kama chui akalitupa taulo la bosi wake chini akautoa mshidede na kuutumbukiza mdomoni na kuubugia,aliulamba taratibu sana,hapo ndipo Nickson alipoanza kutokwa na kijasho chembamba.
Msichana huyu aliweza kucheza na filimbi kisawasawa,akamfanya Nickson atoe miguno ya ndani kwa ndani,hekaheka zilianza Nickson jinsi alivyowekwa akashindwa hata kujipindua, Rukia alikuwa amembana, hakutofautishwa na kuku aliyewekewa mguu shingoni tayari kwa kupitishiwa kisu shingoni!
“Ahhhh”
Nickson aliishia kuguna huku akiwa ameshikwa mikono yake na Rukia na kwa wakati huo alikuwa anakula maiki taratibu,Nickson alihisi roho yake inaacha mwili,hakujitofautisha na mtu aliyekuwa peponi kwa jinsi alivyokuwa akihisi burudani,Rukia hakuishia hapo alipanda juu na kumuendea mpaka shingoni na kuanza kumnyonya Shingo,akapanda mpaka juu kidogo akaingiza ulimi wake ndani ya sikio la Nicckson,hapo ndipo Nickson akahisi shoti ya umeme imemuingia mwilini,alikuwa ni kama alipigwa sindano ya kistapeni, mgongo wote alihisi umepalalaizi,Rukia alishika koki na taratibu akawa anaichua tena taratibu mno,akarudisha mkono wake mdomoni na kutema mate juu ya kiganja chake kisha kuendelea na zoezi la kuchua koki huku akizidi kutumbukiza ulimi wake mdomoni mwa Nickson,kila alipotaka kujiinua alisukumwa chini akarudi kama alivyokuwa awali,hapo hapo mchezo huo mchafu uliendelea wakiwa juu ya Sofa.
Madenda yaliendelea kumiminika kwa wingi, kama masofa yangekuwa na uhai basi yangeongea kutokana na mambo yaliyokuwa yakifanyika.Rukia akamalizia kuitoa boxa ya Nickson akaweka mguu wake mmoja juu na mwingine kwa chini akaweka vizuri mgodi wake akaakaa vizuri juu ya Nickson na hapo ndipo filimbi ilipoanza kupigwa,mechi ilianza kuchezwa dakika hiyo hiyo.
“Asshhh I l..ove you Ni…ck aaaash mmmh aaaaah sssh aaaah Nic..kso…n na..kupe..n..d..a ivy..o ivyo..ivy..o”
Rukia alitoa miguno ya puani huku akizidisha kasi ya kukinyonga kiuno chake ni dhahiri kuwa raha alizosikia zilipenya mpaka kwenye uti wake wa mgongo, akahisi vitu vinakuja akazidi kukatika naye Nickson ikawa ivyo ivyo, alikuwa akijitahidi sana asiwahi kumaliza,Nickson akawahi kumaliza, kabla mashine haijapoa hapohapo Rukia nayeye akafika mshindo!
***
Maisha ya Nickson yalizidi kuwa ya raha mustarehe akajikuta anamsahau Gloria taratibu,raha alizokuwa akipewa na Rukia zilimfutisha kumbukumbu zote za nyuma, jinsi Rukia alivyokuwa akimpenda Sonia ni dhahiri ungesema kuwa ndiye mama yake wa kumzaa hii ilimfanya Nickson ampende zaidi na Zaidi.Wakawa wanaishi kama mume na mke japo ndoa haikuhalalishwa!
“Rukiaaaa”
Siku hiyo Nickson aliporejea jioni alimuita Rukia
“Abee babaa”
“Usiniiite Baba,mbona ivyo”
“Aya,abee mpenzi”
“Nimekuletea zawadi hapa”
“Zawadi gani?”
“Angalia mwenyewe”
Rukia hakuyaamini macho yake,kwanza akampokea mizigo Nickson kisha akafungua mfuko ambao aliambiwa kuwa kuna zawadi zake,mikono yake ikatoa gauni zuri la kuwaka waka pamoja na viatu na mikufu.
Kwa furaha akamrukia Nickson wakaanza kulana denda!
“Ahsante mpenzi wangu”
“Usijali sana”
“Alafu nimesahau,pole na kazi dia”
“Nishapoa”
“Kaoge,kisha tuje mezani tule,Sonia keshalala tayari,najua utaniuliza habari zake,kashakunywa maziwa tayari”
Njiani Nickson alivyokuwa akitembea alikuwa akifanyiwa utundu wa kila aina mara Rukia amtekenye amrukie amvute ampige denda ili mradi alifanya mambo yote ya kimahaba.
“Dia mdudu huyooo”
Rukia alipiga ukelele.
“Yuko wapi?”
“Huyo,juu ya kola ya shati”
“Mtoe basi jamani,asije akaning’ata”
Rukia alisogea karibu na kumnyonya Nickson shingo,hakukuwa na mdudu yalikuwa ni mahaba.
“Kumbe muoga Mpenzi”
“Mimi sio mwonga,nilikuwa najua sana unachotaka kufanya,ndio maana nikatulia kama komando”
“Mhh kwenda zako”
“Twenzetu tukaoge”
Kabla ya Rukia kwenda bafuni alipita kitandani kwa Sonia na kumbusu juu ya paji la uso,jambo hilo lilimuuma sana Nickson alitamani huyo ndiye angekuwa mama wa mtoto,akabaki anamtizama Rukia kwa simanzi.Wote waliingia kuoga na kuanza kunyonyana midomo yao kwa fujo na kufungulia bomba la Mvua.Rukia akapiga magoti akashika filimbi ya Nickson, kama kawaida akaiweka mdomoni na kuanza kuilamba kama koni.
***
“Halloo Nickson,bwana Yesu asifiwe”
“Amen Mchungaji”
“Nakuomba uje kanisani leo jioni,ukitoka kazini naomba usiache kuja”
Simu ya Mchungaji Patrick ilimshtua Nickson,alitafakari kwa muda akiwa anafikiria hiyo ni siku gani akatizama kalenda iliyokuwa mbele yake ukutani, akajua ilikuwa ni Jumatano,akashindwa kuelewa mchungaji Patrick anamuitia nini wakati haikuwa Jumapili.
“Mchungaji kuna nini?”
“Wewe njoo ni muhimu sana,ni kuhusu mkeo Gloria!”
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
(kwa hadithi nyingi za kusisimua fuata hii link www.facebook.com/STORYZAKWAY.)
[10:28, 2/28/2016]
 
RIWAYA: SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)……(30)
MTUNZI…EMMANUEL F.KWAY
Contact..+255718 862176
AGE…..(18+)
ILIPOISHIA.
Simu ya Mchungaji Patrick ilimshtua Nickson,alitafakari kwa muda akiwa anafikiria hiyo ni siku gani akatizama kalenda iliyokuwa mbele yake ukutani, akajua ilikuwa ni Jumatano,akashindwa kuelewa mchungaji Patrick anamuitia nini wakati haikuwa Jumapili.
“Mchungaji kuna nini?”
“Wewe njoo ni muhimu sana,ni kuhusu mkeo Gloria!”
SONGA NAYO.
Ilikuwa ni kama Mungu vile kwa Gloria kuonana na Mchungaji Patrick,alishateseka sana jijini Mwanza hakuna hata mtu aliyeweza kumsaidia,hakuelewa kwanini jambo hilo lilikuwa linamtokea,katika kipindi alichokuwa amepata shida hakuna hata mwanaume mmoja aliyemjali,kutokana na jinsi alivyokuwa mchafu sura yake nzuri ikapotea,haikuwekwa vipodozi tena kama hapo awali,Sauti ya Mchungaji Patrick ndiyo ikamshtua siku hiyo alivyokuwa akipita kandokando ya uwanja,akasogea karibu ya mkutano uliokuwa unaendelea.Watu walikuwa wamejazana wanamsikiliza Mchungaji Patrick.
“Naomba kupita kaka”
Gloria aliomba upenyo.
“Unatapita kwenda wapi?huku hakuna nafasi”
“Ni hapo tu napita, huko nyuma sisikii vizuri”
“Aya pita basi”
Kijana alionekana kukerwa na kumpisha Gloria njia.Kwa upenyo upenyo na kwa shida akafika mahali ambapo hakuweza kupita tena kwenda mbele,watu walikuwa wamejazana na hakukuwa hata na nafasi ya kunyanyua mguu,uwanja ulishona!Gloria hakuwa na namna nyingine akasimama ili tu mahubiri yaishe na kumwendea Mchungaji Patrick,moyoni alifurahi sana na alijua fika kuwa hiyo ndiyo ingekuwa tiketi yake ya kurejea jijini Dar es salaam na huko angeomba msamahaa Kwa mume wake Nickson,ili maisha yao ya ndoa yaweze kuendelea, alijilaumu sana kwa mambo aliyokuwa anafanya na simu alizokuwa akipigia kwa Nickson hazikupokelewa kabisa iyo ilimuuma zaidi,kwa sababu hiyo alitaka afike Dar es salaam na akutane na Nickson ili wayamalize.Nusu saa baadaye mkutano ukawa umeisha Mchungaji Patrick akashuka kwenye madhabau na hapo ndipo fujo ilipoanza, kila mtu alitaka kumshika mkono mchungaji Patrick,Gloria akajitahidi na kusukumiza watu mpaka akafika mbele ya gari la mchungaji.
“Bwana asifiwe mchungaji”
Gloria alipaza sauti na kutoa mkono kwa Mchungaji Patrick,kutokana na umati wa watu wengi na jinsi Gloria alivyokuwa katika hali ya uchafu hakuweza kumtambua kiurahisi, akampa mkono na kumuitikia kama alivyofanya kwa waumini wengine,lakini alivyotaka kuutoa mkono wake akashindwa Gloria alikuwa ameung’ang’ania, hapo ndipo akatupa jicho ili kutaka kujua ni kitu gani kilichomfanya muumini huyo amvute!
“Mchgungaji Patrick,Mimi ni Gloria Mke wa Nickson nahitaji maombi yako tafadhali,Mume wangu Nickson nataka kurudiana naye nimemkosea sana nahitaji kutubu Mchungaji tafadhali usiniache Mchungaji”
Mchungaji Patrick alisimama na jopo la wenzake wakabaki kumuangalia mwanamke anayelia machozi huku akipiga magoti,alimtizama kwa umakini kama mtu anaye fananisha kitu kisha kumuinua.
“Kwa Yesu mambo yote yanawezekana Gloria simama twende nyumbani,Mchungaji Charles naomba huyu dada aingie ndani ya gari la mbele”
Mchungaji alitoa kauli hiyo akaendelea kuagana na watu kisha kuingia ndani ya gari,msafara wa magari ukaanza kuondoka huku waumini wakiendelea kupunga mikono.Gloria akiwa ndani ya gari alizidi kulia machozi huku akitaka kuonana na Mchungaji Patrick ili atubu dhambi zake.
“Dada umefika mahali patakatifu,sisi ni watumishi wa Mungu dhambi zako zimesamehewa”
“Kweli,Na..omba tu ndoa ya..ngu irudi nampemda sa..na mume wangu,Mchungaji Patrick yuko wapi?”
“Yupo kwenye gari la pili kutoka hili”
“Kweli,ataniombea na ndoa yangu itarudi na mtaibariki?”
Lilikuwa ni swali lingine kutoka kwa Gloria.
“Ndio kazi yetu,Mungu ndiyo ametutuma duniani kufanya vitu kama ivyo”
“Nataka kuokoka namimi”
“Upo tayari kumpokea bwana Yesu awe mwokozi wa Maisha yako?”
“Ndio nipo tayari”
Wachungaji na waumini wa Mungu walishangilia na kuanza kuimba nyimbo za kuabudu humo humo ndani ya Costa,Waliamini kwamba malaika waliokuwa mbinguni walikuwa wakiimba na kufurahia.Kwa mwendo wa dakika kumi wakawa wameingiza magari yao ndani ya Hoatel iliyoitwa Gold crest Hotel.Costa zote zikazama ndani Gloria akashuka na Mchungaji Patrick ndipo alipotokeza.
“Mchungaji Charles na Muinjilisti Naike njoeni na huyo binti”
Jambo hilo likafanyika mara moja wakaenda mapokezi kuchukua funguo, wakaingia mpaka chumbani kwa Mchungaji Patrick,Gloria akapewa chakula ale na akaoneshwa chumba cha kuoga,akanawa kisha akapewa nguo nyingine mpya za kuvaa.
“Gloria Shayo,nini tena kimekutokea katika maisha yako?”
Hilo ndilo lilikuwa swali kutoka kwa Mchungaji Patrick.
“Mchungaji,Mungu anisamehee nimemkosea sana Nickson.Sidhani kama nitasamehewa”
“Nieleze tu,ilikuwaje”
Bila kuficha kitu chochote Gloria alianika kila kitu wazi,akaongea mambo yote yaliyomtokea katika maisha yake, jinsi alivyomkosea Nickson,alimwaga machozi na kulia kwa Kwikwi ni kweli alidhamiria kutubu dhambi zake zote.Ni wazi kwamba alijuta na alimuhitaji Nickson kwa garama yoyote ile,Mchungaji Patrick aliguswa akamwangalia Gloria usoni.
“NAWAAMBIA,KUNA FURAHA MBELE YA MALAIKA WA MUNGU KWA AJILI YA MWENYE DHAMBI MMOJA ATUBUYE,fungua Luka 15;10 bwana asifiwe sanaa”
Mchungaji Patrick alisema mistari hiyo kisha kusimama na Biblia akafungua akaendelea kusoma.
“Simama Gloria,tuombe kwa pamoja”
Kuanzia hapo kilichosikia ni kelele za ‘SHINDWA SHETANI KATIKA JINA LA YESU’.
“Rakaraba shikaraba shikarababorite…..”
Mchungaji Patrick akazidi kusema na roho mtakatifu na maneno aliyokuwa anayaongea aliyaelewa mwenyewe.Baada ya lisaa limoja maombi yakawa yamekwisha na Gloria akapewa chumba akapumzike,tangu siku hiyo Mchungaji Patrick akawa anazunguka naye Mwanza kuhubiri injili na akafundishwa neno la Mungu,akawa anajua Biblia na baadhi ya mistari.
“Midomo ya uwongo ni chukizo kwa BWANA….”
“Bali watendao uaminifu ndio furaha yake”
Gloria alijibu na Mchungaji Patrick akatabasamu.Biblia ilikuwa imemuingia karibia yote kichwani akawa ameimeza.
“Kwenye maombi yako usije kusahau kuwaombea Mama wajane”
“Amen Mchungaji”
“Usiku mwema”
Mchungaji Patrick akatoka chumbani mwa Gloria saa saba za usiku akaingia chumbani kwake.Pamoja na kumfanyia mambo yote hayo mchungaji Patrick alikuwa ana mahesabu yake makali kupita kiasi kwa asilimia Fulani ilikuwa teyari amejipa matumaini.
“Huyu ngoja nizidi kumuweka karibu,Mimi ndiyo Mchungaji Patrick huyu atakuwa nyumba yangu ndogo,simba mwenda pole ndiyo mla nyama siku zote”
Maneno aliyokuwa akiyatamka Mchungaji Patrick kama kuna mtu angeyasikia asingeweza kuamini hata kidogo kama ndiye huyu mtumishi wa Mungu aliyekuja Duniani kutangaza habari nzuri za neno la bwana.
****
Mchungaji patrik na team yake nzima walizunguka karibia jiji zima la Mwanza walianza na Igombe,Kayenze,Karumo,Busisi wakamalizia Capri point,Jiji zima la Mwanza lilizizima kila mtu alitaka kumuona Mchungaji Patrick cha kushangaza siku za mwishoni Mchungaji Patrick alipenda sana kuwahi kulala,saa moja jioni tu aliwaaga wenzake na kuingia chumbani kwake akidai kwamba anaenda kuongea na roho mtakatifu.
Hakuna mtu aliyeweza kutegua kitendawili hicho kila mtu aliamini kwamba Mchungaji yupo kwemye maombi ya kiroho kwa msisitizo aliwaambia kuwa hata wasiwe wanamgongea chumbani.
“Wacha mimi nikalale ndiyo mida yangu ya kufanya maombi,msisahau kusali unakumbuka Bwana Yesu alivyowaambia wanafunzi wake alivyoenda kusali katika milima ya Yordan?”
“Ndio mchungaji”
“Wacha mimi niende chumbani kwangu,Amani ya bwana iwe nanyi”
Mchungaji Patrick aliwaaga wenzake kisha yeye kupandisha ngazi,mpaka gorofa ya nne badala ya kuingia chumba chake namba 104 yeye alizama chumba namba 106 karibu kabisa na chumba chake,hicho chumba ndiyo siku zote kilimfanya awahi kulala.Mchungaji alipata mwanamke wa Kitanga katika kuhubiri kwake siku za mwishoni.Wakapanga njama mwanamke huyo nayeye akawa amepanga ndani ya Hotel hiyohiyo.
“Karibu Baby”
Msichana mrembo aliyekuwa amelala na Kanga moja,alimkaribisha Mchungaji Patrick chumbani kimahaba.
“Darling,umenisubiri sana eeh?”
“Ndio,wewe si unajifanya unasali sana”
“Lazima nitengeneze mazingira kidogo ya kuwazuga si unajua mambo Fulani tena”
Mchungaji Patrick akasogea mpaka kitandani akapanda na kuanza kumla Denda msichana huyu wa kitanga aliyekuwa amekamilika kila idara.
“Fatma”
“Abee”
“Wewe unayaweza sana,mimi nilikuwa nikisikia kuhusu Tanga,aisee”
“Mchungaji tulia mimi ndio Fatma binti Hassan”
Fatma alimvuta mchungaji Patrick na kumtupa chali,akaanza kumtoa nguo moja baada ya nyingine taratibu huku akimshika kila sehemu ya mwili wake,Mchungaji Patrick alikamatika akawa anahema tu asemi kitu.Lisaa limoja baadaye mchungaji Patrick alichomoa laki moja na kumkabidhi Fatma baada ya mchezo kuisha,saa kumi na moja asubuhi akanyata mpaka chumbani kwake na kuingia bafuni kuoga.
****
Baada ya wiki moja kutimia ziara ya Mchungaji Patrick ikawa imeisha wakawa wapo njiani kurudi jijini Dar es salaam usiku sana,waliwasili mkoani Dar es salaam saa saba ya mchana na kitu cha kwanza kukifanya Mchungaji Patrick ni kumpigia simu Nickson baada ya kufika kanisani kwake.
“Ndio uje hapa Kanisani”
“Sawa mchungaji”
Simu ikakatwa Gloria akawa ana hamu ya Kumuona Mume wake tena.Lisaa limoja baadaye mlango wa ofisi ya mchungaji ukagongwa na Nickson akaingia ndani,Moyo wa Gloria ukapiga kwa nguvu akapiga magoti hapo hapo na kuanza kulia akiomba msamaha ili asamehewe.
“Mchungaji,naomba unisamehe kwa hilo sitoweza kumsaheme huyu mwanamke Mungu atanisamehee”
“Nickson embu kaa kwanza chini”
Nickson akawa amekaa kwenye kiti hakutaka hata kumtizama Gloria, sababu alimtia kichefuchefu kila alipokuwa anamuangalia.
“Huyu ni nani yako?”
“Mchungaji ndiyo swali gani hilo?”Nickson alijibu kwa swali.
“Ni swali,naomba unijibu”
“Ni Gloria, Mke wangu”
“Kanisani mliweka kiapo gani?”
“Hata kama,lakini mchungaji hivi unajua kuwa shetani nayeye alikuwa malaika?”
“Sisi wakristo hatupo ivyo”
“Mchung…”
Mchungaji Patrick akasimama na kuwaita wachungaji wenzake wote, wakajazana ofisini,wakaanza kuimba nyimbo za kusifu na kuanza kusali,huku Mchungaji Patrick akimshika Nickson kichwani.
“Baba wa Majeshi,naomba shetani aliyekuwa ndani ya kijana huyu ashindwe katika jina la Yesu,Pepo shindwa,pepo baya nakutoa katika jina la yesu”
Mchungaji Patrick alidondosha maombi.
“Oyaa Mchungaji eeh,mimi sina mapepo,embu niacheni niende zangu…”
“Pepo la kiburi lishindwe katika jina la Yesu Shindwa katika jina la Yesu,huna mamlaka ya kunijibisha”
Mchungaji Patrick alizidi kuomba na wenzake wakazidi kulitaja jina la Yesu,Kwa upande wa Nickson hakuihi chochote, alivyozidi kuongea ndipo walizidi kupaza sauti wakisali, wakidhani kwamba wanabishana na pepo.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
(kwa hadithi nyingi za kusisimua fuata hii link www.facebook.com/STORYZAKWAY.)
 
Du ngoja ni subscribe ili hisije nipita Huu mchapo asee
 
Wakuu samahani kama nimeingilia kati kuchezesha ngoma zisizonihusu, ila najua adha ya kusubiri, hii story ninayo hadi sehemu ya 50, naweka kama tatu hivi, kama mtaridhia nitazimwaga zote. Sorry mkuu Vin
asante sana mkuu, naomba utupie tena hii kitu maaana inaleta raha hatari
 
Wakuu samahani kama nimeingilia kati kuchezesha ngoma zisizonihusu, ila najua adha ya kusubiri, hii story ninayo hadi sehemu ya 50, naweka kama tatu hivi, kama mtaridhia nitazimwaga zote. Sorry mkuu Vin
Asante sana mkuu kwa kusongesha gurudumu
 
Gulo hko maeneo atakuwa ka chapati mana kina nyagogo wamekanda tani yao... Nick achana na mchngaji tapeli Rukia c ypo anakpa hadi za kweny kochi.. teh teh!
 
hivi kwa umalaya wote huo huyu Glory hajatoa ile kitu haramu?071.......
 
Gulo hko maeneo atakuwa ka chapati mana kina nyagogo wamekanda tani yao... Nick achana na mchngaji tapeli Rukia c ypo anakpa hadi za kweny kochi.. teh teh!
Hahahaa, rukia katisha sana
 
Wakuu samahani kama nimeingilia kati kuchezesha ngoma zisizonihusu, ila najua adha ya kusubiri, hii story ninayo hadi sehemu ya 50, naweka kama tatu hivi, kama mtaridhia nitazimwaga zote. Sorry mkuu Vin
We kaka ningekuwa glory ningekupa zawadi lol...
 
Back
Top Bottom