SLAVE SEX(mtumwa wa ngono)…….(31)
MTUNZI…EMMANUEL F.KWAY
Contact….+255718 862176
AGE….(18+)
ILIPOISHIA.
“Pepo la kiburi lishindwe katika jina la Yesu Shindwa katika jina la Yesu,huna mamlaka ya kunijibisha”
Mchungaji Patrick alizidi kuomba na wenzake wakazidi kulitaja jina la Yesu,Kwa upande wa Nickson hakuihi chochote, alivyozidi kuongea ndipo walizidi kupaza sauti wakisali, wakidhani kwamba wanabishana na pepo.
SONGA NAYO.
“Mchungaji,naomba mniachie niende bwana nina majukumu mengi sana ya kufanya,mimi sina mapepo”
Hilo ndilo kosa alilofanya Nickson la kupaza sauti huku akisimama,wakamtuliza kwenye kiti na kuzid kumshushia maombi,wachungaji wakazidi kuingia ndani kwa nia ya kutoa msaada baada ya kusikia kelele zinazidi!
“Pepo hili sugu Mchungaji,embu mwite Mchungaji Onesmo aje mara moja nayeye”
Wachungaji wakazidi kujazana na baadhi ya waumini waliokuwa kanisani siku hiyo wakisikiliza semina,Nickson akazidi kuombewa ilimbidi tu akae kimnya sababu alishaelewa kwamba akiendelea kupiga kelele wangezidi kumuombea.
“Sasa hivi unajisikiaje?”
Mchungaji Patrick alimuuliza Nickson baada ya kumuona yupo kimnya anawatizama.
“Niko sawa,naombeni niende”
“Hapana Nickson,huwezi kuondoka bila mke wako ni wazi kuwa unahitaji maombezi ya kina.Gloria amenieleza kila baya alilokufanyia hapo nyuma lakini hupaswi kufanya hayo mambo, inakubidi umsamehe”
“Mchungaji siwezi,nishasema”
Gloria aliangua kilio kwa sauti alivyosikia Nickson ametamka sentensi hiyo,akadondoka kwa magoti mpaka miguuni kwa Nickson akatubu dhambi zake zote.
“Nic..ckson mume wangu nisamaheee nakupenda bado, Yule ni shetani tu ali..kuwa nda..ni yangu”
Gloria alilia kwa kwikwi.
“Sio shetani,wacha kumsingizia shetani ni wewe mwenyewe, mara ngapi ulikuwa ukiniomba msamaha kama hivi mimi nakubali,mimi si uliniona fala nakupenda sana,eti”
“Usiseme ivyo Nickson,Mimi ni Gloria wa Tofauti,sio Yule tena”
“Acha unafki,kwanza naomba niondoke.Ahsanteni kwa maombi”
Nickson alivyosimama Gloria akawa ameushika mguu wa Nickson na kumfanya asiweze kutembea, kila alipotaka kujivuta alishindwa,Gloria aliung’ang’ania mguu wa Nickson huku akilia machozi kama mtoto mdogo, ni kweli moyoni alihisi anahitaji msamahaa na alielewa kuwa ni shetani ndiyo aliyempitia, akaapia kuwa hatorudia tena,hata wachungaji pia walikuwa kimnya wametulia wakawa kama watu wanaongalia sinema ya kuigiza tu.
Machozi ya Gloria na jinsi alivyokuwa akiomba msamaha ghafla Nickson akawa amerudisha moyo wake nyuma akaingiwa na huruma,picha ya mtoto wake Sonia ikamjia kichwani dakika hiyohiyo alishaelewa kwamba angeteseka bila ya kupata mapenzi ya Mama,hilo ndilo likamfanya amuinue Gloria taratibu juu ya sakafu!
“Gloria”
Nickson akaita huku akimfuta machozi mke wake akitumia viganja vyake.
“A..be …eee”
“Nimekusamehee mke wangu”
“Haleluyaaaaa”
Wachungaji wote wakakenua meno yao,huo ulikuwa ushindi mkubwa sana kwao.Nickson na Gloria wakakumbatiana, kabla ya kuondoka mchungaji aliomba wasali kwa pamoja wakimshukuru Mungu,baada ya sala fupi Nickson na Gloria wakatoka nje.
“Nickson nakupenda sana,naomba nikuhaidi kwamba sitorudia tena na kwa kukudhihirishia hili nimeamua kumpokea Yesu Kristo awe mwokozi wa maisha yangu,tafadhali naomba nawewe uokoke”
Gloria akawa anamshawishi Nickson ajaribu kulifuata neno la Mungu, hakuelewa kwamba haongei na mtu,mawazo ya Nickson yalisafiri maili nyingi akawa anamuwaza Rukia,ni jinsi gani atalifaidi penzi lake ni kweli alishaanza kumpenda Rukia kupita kiasi.
“Nickson,Nickson nakuongelesha”
“Naam,Naam Mke wangu.Tunaenda nyumbani bwana asifiwe, nilikuwa nakusikiliza hapa. Sawa nitaokoka namimi wala usijali kwa hilo”
Swala la Rukia likazidi kumchanganya, akili yake yote ilihama kabisa akajisahau kuwa yupo barabarani anaendesha gari, japokuwa macho yake yalikuwa mbele,mkono mmoja ulikuwa juu ya usukani huku mwingine akiwa ameweka kwenye kioo ameukunja ameshika tama.
Dakika kumi hazikuwa nyingi wakawa wamefika nyumbani tayari,Wa kwanza kuingia akawa Gloria akakutana na Rukia mlangoni.
“Shikam..o Mama”
“Marahaba za hapa Rukia,jamani ndiyo umenenepa kiasi hiki?”
“Ndiyo Mama,karibu ndani,Shikamoo Baba”
Rukia nayeye alikuwa ana akili ya kuzaliwa, akajiongeza hakutaka kuharibu mambo, japokuwa moyo wake ulijawa wivu ajabu.Nickson na Gloria wakapitiliza mpaka chumbani kwao kisha mlango ukafungwa.
*****
“Ahhhhsssh aaaah Nic….kson ba…si aaaassh ssshsss aaaah mhhh,na…kupenda saaana mmmhh aaahshhhhs”
Sikio la Rukia lilinasa mawimbi,alikuwa mlangoni amelitega na aliweza kusikia jinsi Gloria alivyokuwa akiguna chumbani, moyo ulimuuma kupita kiasi,alishazoea kulala na Nickson chumbani humo,Gloria akawa ameingilia penzi lao ambalo lilikuwa teyari limeanza kuiva.
Alichukia na akatamani kugonga mlango nayeye aweze kuingia ndani.Sauti ya Gloria ilizidi kuamsha wadudu wake.Mambo aliyokuwa akiyasikia ndivyo yalizidi kumuumiza nafsi,akiwa ana kanga moja peke yake nayeye alijikuta anajiingiza vidole ndani ya ikulu yake na kuanza kujishika shika kila sehemu mpaka maziwa yake ili kujiburudisha lakini hiyo haikutosha,
Ivyo ndivyo Rukia alikuwa akifanya kila siku ya Mungu ikifika usiku.Siku zikawa zinaenda mawasiliano aliyokuwa nayo na Nickson yakapungua kwa asilimia sabini,moyoni aliumia akawa anamchukia mno Gloria lakini hakutaka kulionyesha swala hilo waziwazi, alihofia kufukuzwa kazi na bosi wake Nickson.
Siku hiyo asubuhi alivyokuwa akitoka chumbani alikumbana na Nickson korido.
“Nickson”
Rukia akaita kwa sauti ya chini.
“Nini?”
“Mbona unanifanyia ivyo?”
“Nakufanyia nini?”
“Hujui au?mbona hunipi huduma?”
“Si unaona mke wangu amerudi,mambo hayo tuyaache tu”
“Unasema?”
Jinsi walivyokuwa wananong’ona,mfano angepita askari angewakamata hapohapo, hawakutofautishwa na watu wahalifu wanaopanga mikakati ya kuvamia benki kuu!
“Kama ulivyosikia”
“Nina mimba yako Nickson”
“Whaaaat?”(Nini)
Nickson aliuliza kwa kimombo, kuonesha kwamba ameshtuka kupita kiasi.
“Ndio ivyo,nina mimba tayari”
“Unasema una… una sema ukweli?”
“Ndio”
“Itoe,kama kweli itoe, sitaki kabisa mambo ya kuzaa nje ya ndoa”
“Siwezi Nickson”
“Kwanini?Kwanini usiwe…ze..? embu baki nasisi hapa, sasa ukiondoka unadhani itakuwaje hata kama kuna msiba mimi nitatuma rambi rambi Sonia si unajua bado mdogo sana,usiondoke Rukia,Ongea na Ndugu zako kwanza”
Ghafla Somo likabadilika, Nickson akazuga baada ya kusikia mlango wa chumbani kwake umefunguliwa,hakuna mtu mwingine ambaye angeweza kufungua mlango isipokuwa Gloria.
“Sawa!Shikamoo Mama”Rukia nayeye akajiongeza.
Ni kweli aliyetokeza alikuwa ni Gloria,akapita mpaka seblen na kuanza kunywa chai.
“Mama Sonia,mimi naenda! baadaye basi”
“Sawa Mpenzi,baadaye”
“Atakuwa kasikia nini?tulivyoongea na Rukia”
Nickson aliwaza huku akitoka Seblen na kuelekea nje akawasha gari na kutimua mbio mpaka ofisini kwake,aliwaza vitu vingi mno aliwaza kama ni kweli Rukia alikuwa ana mimba ingekuwaje,ilikuwa ni aibu kubwa kumpa ujauzito mfanyakazi wake wa ndani,akavuta picha mpaka kwa mama yake angefanya nini endapo angebaini ukweli huo.
Akatamani ardhi ipasuke aingie ndani ili akimbie aibu.
***
Ni kweli Rukia hakutania, alikuwa amenasa. Tayari alikuwa ana mimba, dalili zilionekana baada ya wiki tatu kupita ili kudhibitisha hilo alitumia kifaa kidogo cha kupima mimba ni kweli alikuwa nayo haikuwa utani,na baba wa mtoto huyo hakuwa mwingine bali ni Nickson bosi wake!kutapika na kulala mara kwa mara kulimfanya Gloria aanze kuhisi hali ya utofauti kwa mfanyakazi wake wa ndani.
“Wewe Rukia”
Siku hiyo saa tano asubuhi Gloria hakukuta chai mezani alivyofungua mlango alimkuta Gloria amelala.
“Abee Mama”
“Mbona sikuelewi siku izi?”
“Hapana Mama”
“Hapana Mama ndiyo nini?unaumwa?”
“Mhh mhhh”
Alitingisha kichwa kukataa.
“Sasa nini tatizo?”
“Hakuna kitu Mama”
“Sasa hakuna kitu mbona sioni chai mezani?alafu Sonia mpaka sasa hivi hujamuogesha,Eiii naongea nawewe”
Gloria alifoka kwa hasira akaacha maagizo kuwa Rukia awe keshapika chai na mtoto awe keshaogeshwa muda huo huo.Kadri siku zilkivyozidi kwenda ndipo hali ya Rukia ilizidi kuwa mbaya, alishikwa na homa kali kupita kiasi lakini alijikaza,alielewa kitendo cha kusema anaumwa angepimwa mimba na alitaka swala hilo liwe siri kubwa.
Siku hiyo ya Jumamosi kila mtu alikuwepo seblen asubuhi, Rukia akawa anaandaa chai akaweka vikombe na Semosi juu ya meza.Ghafla katika hali ya kushangaza alihisi kizunguzungu puu! akadondoka hapohapo mpaka chini,Nickson na Gloria walishindwa kuelewa ni kitu gani kilichomfanya adondoke, walichokifanya harakaharaka wakamchukua na kumpakiza ndani ya Gari,safari ya kwenda hospitali ikaanza mara moja.
“Huyu binti ana mimba ya miezi mitatu”Daktari alitoa majibu.
Nickson alihisi kinyesi kinambana,jasho jembamba lilimtoka, sio kwamba habari hizo zilikuwa ngeni kwake lakini alishindwa kuelewa ataiweka wapi sura yake na jinsi alivyokuwa anaheshimika, mbali na hapo Gloria alikuwa teyari amebadilika na kuwa mke mwema tayari.
“Dokta unasema?”
Gloria akauliza kwa shauku.
“Ana ujauzito”
“Okay sawa”
Gloria akajibu kinyonge,jambo hilo likazidi kumpagawisha Nickson,wote wakatoka kwenye viti na kwenda kumchukua Rukia,kutokana na hali yake kuwa shwari,wakaondoka naye mpaka nyumbani, mpaka hapo Gloria hakutaka kuuliza chochote.Jambo hilo likazidi kumuumiza sana akili Nickson, mawazo tele yakamjaa kichwani kupita kiasi hata siku moja hakumsikia Gloria anazungumzia habari za Rukia, zaidi alimuona akiwa ana habari na Sonia tu.
“Baby”
Siku hiyo Nickson akamuita Gloria wakiwa chumbani.
“Yes Darling”
“Hivi hujawahi kufanya utafiti juu ya huyu Rukia kuhusu mimba yake,mshaongea lolote kuhusiana na hiyo Mimba yake?”
Nickson alipima maji.Badala ya Gloria kujibu alimkata jicho kali la hasira.
Sasa unaweza kusoma hadithi za mtunzi kway insta@storyzakway
ITAENDELEA.
(kwa hadithi nyingi za kusisimua fuata hii link
www.facebook.com/STORYZAKWAY.