Tangu mwanzo nilikwambia badala ya ww kumshambulia mtoa post basi ungeliwasiaidia watu kuijua Uwaridi App nikakwambia pia mimi nimewasiadia watu kujua App waliokuja inbox nikawambia pia mimi ni mwanachama
Kitu pekee ambacho ningekuona muungwana ni we kuuliza uanachama wangu umekamilika au bado,unakatiba ama la upo ndani ya Dar au nje ya Dar kisha hap ungeniprove wrong na si kama ulivyofanya kwa kunitolea lugha zisizo za kiungwana hiyo si busara but najua nachosema Chief hivyo na tufunge tu mjadala mana malumbano hayatusaidii kwa sasa ila nguvu hizi zielekeze kule kwenye ile blog