Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,533
- 1,936
Story ni nzr ila mpangilio ni wa hofyo sana, kwan umeshindwa kuupanga kwenye palandesi?
Story ni nzr ila mpangilio ni wa hofyo sana, kwan umeshindwa kuupanga kwenye palandesi?
Mkuu unajua tofauti ya bure na parandesi?Hapo Mmewekewa bure
Mfadhili Mbuzi....
Mkuu unajua tofauti ya bure na parandesi?
Asante mkuu, neno hovyo ni isiyo sahihi, isiyo na mpangilio, na kinyume cha neno hlo ni nzri sana,Kwani Nawe wajua Maana ya Neno
"Hovyo sana"
Asante mkuu, neno hovyo ni isiyo sahihi, isiyo na mpangilio, na kinyume cha neno hlo ni nzri sana,
Kwa hyo ikiwa mwandishi angalitumia mpangilio sahihi wa parandesi, hii hadithi ingesomeka vizri na kuvutia,
Sasa hatukuwa tunazungumzia pesa, yaana kaweka bure, kama angetaka pesa pia angepata ila lazima mpangilio mzri ulihitajika
Oooo sana imetumika kama kivumishi, ila nlikuwa na maana kuwa mpangilio haukuwa mzri kabisa, huenda nlitumia lugha ambayo si rafiki, nisamehe bure, ila inabidi mwandishi kama anahitaji kuendeleza story asikilize pia maon ya wasomaji, aweke parandesiMkuu Hapo Umeelezea Neno "Hovyo"
Ila kuna neno "Sana" ambalo umelisahau
Isiwe kesi Mkuu
"Ajuwa"
Hivi upo mtugani
Hivi upo mtugani
Karibu sanaNipo wang ila mara chache2
Karibu sana
Hiyo wala usijal umepata sema kinginePoa niandalie Kahawa maana c kwa Mvua hiz
Hiyo wala usijal umepata sema kingine




Sema kweliI wish ningekuwa nimeambiwa mimi niombe kingine![]()
Sema kweli
Kwahiyo ungeomba nini eti
Jamani kweli story zenyewe nzuri lakiniUruhusu PM yako maana unakosa mambo mengi nina hadithi nyingi ila PM inanirestrict