Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Haleluya...nitakuarika Hemani mwa Wana wa Mungu uje utoe fundisho
Moja siku...nikiwa off.
Mana kazi hii ya ulinzi du...mapumziko ni kuumwa na kilazwa wodini.

Uki mkiri....
Ukimwamini

Unachokitu. Cha Mungu ndani yak Mshana ingawa watu wanakuona mwanga mchawi.
Mimi nakuhesabu kama mbeba maarifa ya Dunia hii.....umenifundisha mengi sana kwavmiaka2 nimekuwa nakufuatilia mafundisho yako humu
Aaamen barikiwa zaidi na asante sana.. Niko tayari kwa mwaliko nafasi ikiwepo
 
The only solution ni kusimama na Mungu kupitia maombi... Kuna nguvu katika kuomba.... Maombi yana nguvu sana
Thanks, though mtu kama mimi nafanya yanayopingwa na imani kama kula mitungi na ngono na naona ka ma raha iliyokamilika zaidi, dah thanks anyway akili yangu ilishawaza solution za ki practical kama kula kitimoto na kuweka mkaa mfukoni hahaha, hii knowledge ni ngumu
 
Kama Mungu angehesabu maovu yetu ni nani angesimama!? Lakini Kumbuka kwake kuna msamaha.... Endelea na hizo dhambi ni vigumu kuacha lakini usiache maombi.. Yana nguvu sana...
 
Kama Mungu angehesabu maovu yetu ni nani angesimama!? Lakini Kumbuka kwake kuna msamaha.... Endelea na hizo dhambi ni vigumu kuacha lakini usiache maombi.. Yana nguvu sana...
Hv mshana samahani naomba kupata elimu juu ya hizi dawa za kufukiza huwa kuna nn kinafanyika wew kufukiza moshi unatoka unanuia kitu then kinakuwa kama ulivyo sema na kinyume cha hizo dawa huwa ni nn.2,kuna elimu ya.jinsi ya.kutoa mikosi kwa njia ya chunvi na nimeona post kibao humu watu wakileta mrejesho sasa swali ni ukisha ogea mala 1 ndio basi tena au ndio inakuwa kama sabuni kila.ukienda kuoga lazima ubebe??nipe majibu tafadhali mshana jr..
 
Hahahahahaha kuna mzee mmoja hapa mtaani alikuwa anakuja kuniwangia anajigeuza paka siku nikamtegeshea akapigwa dafrau akaugulia kwake akawa ananiulizia mbona siend kumuona ajab siku nimeenda kumuona asubuh jion akapona hakukoma akaja tena akachezea vitasa sasa anaugulia ndani pamoja na kuniulizia sijaenda kumuona
Dafrau ndo nn
 
Hv mshana samahani naomba kupata elimu juu ya hizi dawa za kufukiza huwa kuna nn kinafanyika wew kufukiza moshi unatoka unanuia kitu then kinakuwa kama ulivyo sema na kinyume cha hizo dawa huwa ni nn.2,kuna elimu ya.jinsi ya.kutoa mikosi kwa njia ya chunvi na nimeona post kibao humu watu wakileta mrejesho sasa swali ni ukisha ogea mala 1 ndio basi tena au ndio inakuwa kama sabuni kila.ukienda kuoga lazima ubebe??nipe majibu tafadhali mshana jr..
Elimu ya kufukiza ni kualika mapepo na majini ili yakutatulie matatizo yako... Chumvi ni tiba ya asili isiyo na chembe ya uganga na unaweza kuogea kwa wiki moja mbili au hata mwezi
 
Elimu ya kufukiza ni kualika mapepo na majini ili yakutatulie matatizo yako... Chumvi ni tiba ya asili isiyo na chembe ya uganga na unaweza kuogea kwa wiki moja mbili au hata mwezi
Kwa hiyo mkuu mshana ukifukiza dawa umekalibisha majini na tayal unakuwa katika familia ya majini haya haya tunayo yasikia katika story???samahani lakini na risk yake vp??
 
Kwa hiyo mkuu mshana ukifukiza dawa umekalibisha majini na tayal unakuwa katika familia ya majini haya haya tunayo yasikia katika story???samahani lakini na risk yake vp??
Ndio lakini si lazima yakae
 
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi.

Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...

Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa.

Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu..

Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha..

Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari..

Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone..

Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai!
Kumbe akifa mnyama inakuwa ni uhalisia?
 
Back
Top Bottom