Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Hahaa. Mshana andaa na somo la wagindu. Wagindu ni sawa na wachawi?

Mgindu anasema anaweza Kuala na mwanamke Au mwanaume na akasex bila
Mtendewa kujua. How inatokea?
 
Wewe Mkuu ushawahi kujigeuza Paka au Panya? Ni mazingira yepi yalisababisha ujigeuze mnyama kati ya hao wawili. Acha tu niendelee kuyachukia mapaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahaa. Mshana andaa na somo la wagindu. Wagindu ni sawa na wachawi?

Mgindu anasema anaweza Kuala na mwanamke Au mwanaume na akasex bila
Mtendewa kujua. How inatokea?
inawezekana asili ya popo bawa ilianzia kwao
 
Hahaa. Mshana andaa na somo la wagindu. Wagindu ni sawa na wachawi?

Mgindu anasema anaweza Kuala na mwanamke Au mwanaume na akasex bila
Mtendewa kujua. How inatokea?
Wagindu ndio wanakaa magindu?
 
Hahahahahahaha lol! Mshana jr anakatiza mitaani kama paka dah! Kuna siku nilikutana na paka kaka katikati ya barabara. Ilikuwa Upanga. Mtaa umetulia hauna vurumai na paka mweusi. Basi juhudi zangu za kujifanya kama namrushia jiwe yule paka ili aondoke hazikufua dafu. Nikasema ebo hanijui huyu mie navyoyachukia mapaka. Nikaokata bonge ya mawe kama matatu kichwani nimeshapanga nisogee pale alipo nikamtwange kumbe wakati mie naokota mawe jamaa kasepa. Nachukia sana mapaka. Kumbe unaweza kuwa unampiga mtu eh! Sasa ukijigeuza kuwa paka au panya unaweza kupiga siku ngapi kama mnyama!? Dunia hii dah!

session moja haimalizi masaa 12,... Kwakuwa mhusika halisi itabidi abaki ndani kwakuwa kivuli hakipo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Ish.....!
 
Mh! Umenifanya nizidi kuyachukia mapaka. Session ikizidi masaa 12 labda kutokana na mazingira ya kurudi kuwa binadamu yameshindikana ndiyo inakuwaje?

session moja haimalizi masaa 12,... Kwakuwa mhusika halisi itabidi abaki ndani kwakuwa kivuli hakipo
 
Ish.....!
.
downloadfile-6.jpg
dpostz544f3.jpg
 
Mkuu kuna hizo dawa za kua na jicho la tatu nataka nione hayo ambayo wataalam wanayaona.Huwa natembelea sana hayo maneo uliyoyataja.
Mbona rahisi tu;Chukua machozi ya Mbwa jipake chini ya macho yako kwenye ukope wako was chini na juu. utaoñ
 
Wagindu wale wanaoiba vyakula, kichawi
Hata pesa ukimpatia chenji zinahamia kwake
Duu nimepanua maarifa ni kina chuma ulete sio... Yani kesho nilikuwa najiandaa kwenda magindu sio mbali na Chalinze
 
Mkuu kuna hizo dawa za kua na jicho la tatu nataka nione hayo ambayo wataalam wanayaona.Huwa natembelea sana hayo maneo uliyoyataja.
Mbona rahisi tu;Chukua machozi ya Mbwa jipake chini ya macho yako kwenye ukope wako was chini na juu. utaoñ
 
Mkuu hii mada yako imenifanya nianze kufikiri kitu. Kila nikitoka kwenda kwenye kinywaji ninapokua narudi kuna sehemu huwa namkuta mbwa jike ananisindikiza mpaka home. Wife alikua anamwogppa sana Mara ya kwanza lakini kwa sasa anamsifia sana kwamba anatulinda. Na huwa tunamkuta sehemu ile ile moja. Sasa ninawasiwasi asije kuwa ni mchepuko wangu ana fani ya kujibadili. anatusanifu tunavyoongea
JF!
 
Mh! Umenifanya nizidi kuyachukia mapaka. Session ikizidi masaa 12 labda kutokana na mazingira ya kurudi kuwa binadamu yameshindikana ndiyo inakuwaje?
Anaweza kuwa hivi... Au afe
hqdefault.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom