MAANA YAKE ATAKUFA AU ITAKUWAJE MAANA ATAKUMBUKA KILA KITU LAKINI HATAWEZA KUSIMULIA WALA KUANDIKA KWA NINI?Simple, chukua mwiko uliosongewa ugali halafu haujaoshwa, lala nao kitandani ukiwa umeukumbatia kichwani. Ila baada ya hapo utakumbuka kila ulichokiona lakini hautaweza kusimulia kamwe wala hata kuandika ulichokiona
Hautakufa ila utatamani ufe.MAANA YA
MAANA YAKE ATAKUFA AU ITAKUWAJE MAANA ATAKUMBUKA KILA KITU LAKINI HATAWEZA KUSIMULIA WALA KUANDIKA KWA NINI?
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu..MKUU NAONA LEO ULOZI NA UCHAWI MAPEMA TU.MAANA NILISHAZOEA ILE MIDA YAKO YA WANGA
Ngumu kumeza?
Ngumu wapi comrade, ujue kuna siku pusi a.k.a paka alizama ndani room kwangu, nikawashakurunzi kuangalia ni nini nikamuona, damu ilichemka nikawaza ule msemo paka huwezi kumuua.
Mzee nikala yamini nikasema aliyemtuma ahadithie asubuhi kibano nitakachompa, kwa ufupi nilimuua asee.





Elezea vizuri wengi hatujakuelewaKuna jamaa alichanjiwa dawa kule bariadi nasi kila akitembea barabarani masela wanamfuata hadi yanakuwa maandamano ffu wanakuja kumfyatulia risasi hadi kakimbia nchi
How mkuu au ndo unabanduana na majini dadavua basi Sakasaka MaoSanaa ya mapenzi ina faida kuliko uchawi.
Unaweza ukapata faida3 kwa mkupuo, ie: mahusiano(urafiki), raha na uzazi.
Lakini uchawi faida yake ni kusanifu watu wasiokuwa na uwezo wa kichawi na kudhuru, basi hakuna kingine akipatacho.