Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,967
- 831,513
- Thread starter
- #241
Kuna kitu kinaitwa machale wewe unacho na pia una ngekewaPoa. Nadhani hili linaweza kuwa swali la mwisho kwa leo mkuu.
Huwa nina tabia ya kuhisi mapema kama jambo baya halijanitokea na huwa nikipuuzia nakutana na balaa. Pia ktk biashara za watu hasa sokoni nilishaambiwa kama mara tatu kuwa nikiwa wa kwanza kununua basi huyo mtu huuza sana. Vipi hii hali unaweza kuizungumziaje?
.