Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Yeah ....binafsi kila nikisoma nyuzi zako ....na vile wajib swali la kama vp waendlea na hayo ...cku zote jibu limkuwa ni no!! Hku ukisisitza wamtegmea mungu ....through Jesus Christ ....wafanya imani yangu izidi imarika juu yke ....haiwezekani na ugwiji wote huo na bdo wamtegmea mungu !! Ukiamin yy ndo kila kitu afu mwingine hajui chochote kutwa kiguu na njia kwa waganga !! ..thanks max melo kwa jamii forum ....thanks God kwa kutupa mshana asiye mnyimi wa maarifa haya ...ya kiroho ...
 
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Kuna mwaka mmoja bana,kijijini kwa bibi nakumbuka ilikua usiku kuna paka akawa anasumbua sana dirishani sa braza angu alikua mtu wa bange sana akaanza kutukana "we mzee wewe ntakuvunja kichwa hicho Ku#$&@%Ko ondoka hapo,sa mi nilikua jank halaf dontown flan hiv nikawa sielewi daah jamaa katoka nje kavizia kamtandika mwichi yule paka asee asubuh tunaskia yule babu kavunjika mguu hahahaaa tangu siku hiyo nikaelewa somo kwamba paka wanasumbua usiku asilimia kubwa ni binadamu.
 
Yeah ....binafsi kila nikisoma nyuzi zako ....na vile wajib swali la kama vp waendlea na hayo ...cku zote jibu limkuwa ni no!! Hku ukisisitza wamtegmea mungu ....through Jesus Christ ....wafanya imani yangu izidi imarika juu yke ....haiwezekani na ugwiji wote huo na bdo wamtegmea mungu !! Ukiamin yy ndo kila kitu afu mwingine hajui chochote kutwa kiguu na njia kwa waganga !! ..thanks max melo kwa jamii forum ....thanks God kwa kutupa mshana asiye mnyimi wa maarifa haya ...ya kiroho ...
 
Kuna mwaka mmoja bana,kijijini kwa bibi nakumbuka ilikua usiku kuna paka akawa anasumbua sana dirishani sa braza angu alikua mtu wa bange sana akaanza kutukana "we mzee wewe ntakuvunja kichwa hicho Ku#$&@%Ko ondoka hapo,sa mi nilikua jank halaf dontown flan hiv nikawa sielewi daah jamaa katoka nje kavizia kamtandika mwichi yule paka asee asubuh tunaskia yule babu kavunjika mguu hahahaaa tangu siku hiyo nikaelewa somo kwamba paka wanasumbua usiku asilimia kubwa ni binadamu.
 
ukapotea nini umenichekesha sana kwani nina kijana anachunga mbuzi wangu toka kanda hizo muda wote ananiambia kuna mbinu za kulinda mbuzi waende kula na warudi wenyewe hata wakiibiwa sasa huwa nacheka sana namwambia huo ujinga uishie kwao shinyanga
Wasukuma wanatumia san kulinda ng'ombe
Yalishanikuta shinyanga vijijini

Nilikua mkulima wa mpunga,sasa wasukumu kumbe lile eneo kwa usiku wana lifunga hakuna mgeni kutoka mpaka asubuh na mimi nilichelewa site maana machine za maji zilikua zinasumbua
Baada ya hapo Mungu anajua
 
Mbona unabania maneno.. niandikie PM basi kizaidi
Yani havielezeki kwakweli
Jikoni utakuta kima ndio wapishi
Wahudumu wote wako uchi
Maharagwe ni mavi ya mbuzi
Nyama ni ya fisi
Kuku ni kunguru.... Ni mengi sana
 
Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Mkuu umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja kule kanda ya ziwa, jamaa kaenda kujipima uwezo wa kujigeuza kama mshana jr anavyo twambia basi alivyofika akafanya yake akafaulu kajigeuza fisi. Alicho kosea nikujigeuza katika umbile la fisi jike kimbembe kikaanzia pale jamaa anaona kwapembeni kuhamaki kuna bonge la fisi Dume likataka mzigo.jamaa kaangaika huku nakule kumbia lakin wap hatimae lika mkamata kilicho fatia hapo sijui ila cha ajabu mpaka leo jamaa nishoga.
Uongo
 
Poa poa. Nimeona kuna ktk post zimezungumzia mbwa kudhurika na wachawi. Je, mbwa si suluhu kwa 100%? Vipi kuna njia za kumuongezea nguvu apambane na wachawi?
Vita na wachawi ni vita ya kiroho kwahiyo tumia kila nyenzo uwezayo..
 
Mmh Sidhani nipe muda kwenye hili ila hebu pitia hii mada lifahamu gugu chawi
Poa. Nadhani hili linaweza kuwa swali la mwisho kwa leo mkuu .

Huwa nina tabia ya kuhisi mapema kama jambo baya halijanitokea na huwa nikipuuzia nakutana na balaa. Pia ktk biashara za watu hasa sokoni nilishaambiwa kama mara tatu kuwa nikiwa wa kwanza kununua basi huyo mtu huuza sana. Vipi hii hali unaweza kuizungumziaje?
 
Yani havielezeki kwakweli
Jikoni utakuta kima ndio wapishi
Wahudumu wote wako uchi
Maharagwe ni mavi ya mbuzi
Nyama ni ya fisi
Kuku ni kunguru.... Ni mengi sana

Awuuuuuuuuuuuuuuuu
Nini!!!!! Kweli duniani kuna mambo.

Ndio ile ukiingia kinyumenyume basi unatoka kama ulivyoingia.. au watu wakifanya hivyo wanageuka kutembea kawaida baada ya kuingia?
 
Back
Top Bottom