Jaribisha tu mkuuKwa nn mkuu
Wiki hii iliyoisha. Watu wamekuita sana kwenye ule uziMmh lini hii?
Noma,Jaribisha tu mkuu
Sanaa ya mapenzi ina faida kuliko uchawi.Haya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Mkuu umenikumbusha kisa cha jamaa mmoja kule kanda ya ziwa, jamaa kaenda kujipima uwezo wa kujigeuza kama mshana jr anavyo twambia basi alivyofika akafanya yake akafaulu kajigeuza fisi. Alicho kosea nikujigeuza katika umbile la fisi jike kimbembe kikaanzia pale jamaa anaona kwapembeni kuhamaki kuna bonge la fisi Dume likataka mzigo.jamaa kaangaika huku nakule kumbia lakin wap hatimae lika mkamata kilicho fatia hapo sijui ila cha ajabu mpaka leo jamaa nishoga.

Asante huku kuna baridi kali na wameshaoga sasa ivi,, ntafanya kesho kakaWapake kitunguu saumu kwenye paji la uso kifuani na kwenye viganja vya miguu na mikono.. Lakini kabla ya hilo waogeshee maji uliyochanganya na chumvi kidogo.. Jaribu hii hata usiku wa leo. Kesho nipe mrejesho
Duuuh, nilikuwa nawaza kama huyo uliyemjibu.Utaishia kuwa mwendawazimu utaona wengine wasivyoona na utaanza kupiga kelele
Toa elimu ya kutoa kichapoHahahahahaha kuna mzee mmoja hapa mtaani alikuwa anakuja kuniwangia anajigeuza paka siku nikamtegeshea akapigwa dafrau akaugulia kwake akawa ananiulizia mbona siend kumuona ajab siku nimeenda kumuona asubuh jion akapona hakukoma akaja tena akachezea vitasa sasa anaugulia ndani pamoja na kuniulizia sijaenda kumuona
Huwa yana madhara nikitaka nijue (kiasili)?Haya mambo nimefanya sana nikaona yatanitia uchizi nikaacha,
Nikahamia kwenye mapenzi.
Kijijin kwetu kuna mzee alikuwa na desturi ya kujigeuza nguruwe. Alipigwa mshale mmoja tu aliugua hadi mauti
Usiombe uwe na jicho la tatu kwani utashindwa kuishi kwa amani. Utaona mambo mengi katika ulimwengu wa roho. Unaweza ukaona mtu yupo uchi huku anauza chakula, unaweza kupanda gari lenye fisi ndani, je utahimili?

okay mkuu but link haifungukiKitakachokudhuru ni hayo mapicha utakayoona mengine utayakimbia kisha watu watadhani zimekuruka.. Utamuona fisi halafu unajaribu kuwaambia watu huyo ni fisi wao wanaona ni mtu utapelekwa mirembe... Soma hiije vichaa wana jicho la tatu?
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
asante ngoja nifanye hivyo ntakupa mrejeshoJitahidi hata kwa kuwakanda na maji ya moto yenye chumvi