Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

Unapiga kivuli... Hicho kivuli kimebeba roho yake huyo mnyama ni coumaflage Tuu... Unatandika huku maumivu anayapata huko aliko
Hebu niweke Sawa hapa bro, hivi kivuli kinabeba nafsi au roho kwa sababu ninavyojua roho ikiacha mwili tu uhai hakuna
 
vipi kuhusu wale wanaolinda nyumba zao au maduka kwa uchawi unakuta wezi wanapoenda kuiba hawaioni nyumba au duka inakuwa imebadirika kuwa kichuguu au bahari
Wasukuma wanatumia san kulinda ng'ombe
Yalishanikuta shinyanga vijijini

Nilikua mkulima wa mpunga,sasa wasukumu kumbe lile eneo kwa usiku wana lifunga hakuna mgeni kutoka mpaka asubuh na mimi nilichelewa site maana machine za maji zilikua zinasumbua
Baada ya hapo Mungu anajua
 
Subiri siku utakayoamka juu ya mbuyu
Hahaha mimi nilishawahi kutangaza kwenye community niliokuwepo ina watu kawa 500.. nikawaambia kama kuna mchawi anilaze nje yani mimi nilale room na funguo nifunge flesh halafu asubuhi nijikute nje... nilitangaza dau la hela lkn hakuna kilichonitokea...

Uchawi ni story tu..
Kama wanaweza hata leo niko tayari mchawi yeyote aje kunilaza nje
 
Sawaaaa kwa tulioyaona acha tuamini tu upoooo.... Babangu mwenyew mchawi namtafutia site tu nimtangulize
 
Sawaaaa kwa tulioyaona acha tuamini tu upoooo.... Babangu mwenyew mchawi namtafutia site tu nimtangulize
Wewe ulishaushuhudia kwa macho yako???
Let's say unamshuhudia mtu anapotea mbele yako au umelala ndani kesho yake unajikuta juu ya mti??

Uchawi ni fix tu
 
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai

Aisee Kweli. Kuna mgahawa pale kariakoo.. Mmmh wale wahudumu siwaelewi hata kuelezea nashindwa
 
mshana jr
Niambie nifanyeje kuna kibibi kinanisumbua hapa kitaa. Leo uliposema kuwa huwa wanauwezo wa kujifanya panya ghafula nikakuta nimepata ufumbuzi wa hili tatizo langu. Kuna kapanya kamo humu kwangu sasa ni zaidi ya miezi. Wenzake woote waliokuja kabla na baada yake weshakula sumu na kufa. Ila haka hakafi wala hakali sumu kabisaaa.
Sasa nipe maarifa mshana jr. We ndugu yangu aisee tumetoka kumoja sitaki haka kabibi kanihamishe nyumbani kwangu.
 
Aisee Kweli. Kuna mgahawa pale kariakoo.. Mmmh wale wahudumu siwaelewi hata kuelezea nashindwa
Hata wachina ni kiboko. Wakiona sehemu inawasumbua wamuagiza mzee kutoka kwao ( kigagu) anakuja na kukaa wiki 1au 2 na mambo yao yanafanyikausiku. akiondoka tu wanapiga kazi kama kawaida
 
mshana jr
Niambie nifanyeje kuna kibibi kinanisumbua hapa kitaa. Leo uliposema kuwa huwa wanauwezo wa kujifanya panya ghafula nikakuta nimepata ufumbuzi wa hili tatizo langu. Kuna kapanya kamo humu kwangu sasa ni zaidi ya miezi. Wenzake woote waliokuja kabla na baada yake weshakula sumu na kufa. Ila haka hakafi wala hakali sumu kabisaaa.
Sasa nipe maarifa mshana jr. We ndugu yangu aisee tumetoka kumoja sitaki haka kabibi kanihamishe nyumbani kwangu.
Aisee hilo la panya unaishi Tabata nini?? Kule kutumiana panya ndio wenyewe.. Kuna siku kama tatu hivi walituvamiaga yaan tulisali mpaka basi.... Panya wanasimama kwenye vitasa wanacheza... Asubuhi tunakuta damu inayonuka ajabu... Ukiangalia panya aliyekufa huoni.. Walidumu for three days.... Kilichotuokoa ni chumvi, mafuta na maombi ya haswa
 
Hata wachina ni kiboko. Wakiona sehemu inawasumbua wamuagiza mzee kutoka kwao ( kigagu) anakuja na kukaa wiki 1au 2 na mambo yao yanafanyikausiku. akiondoka tu wanapiga kazi kama kawaida
Duuh inatisha... Sitasahau mauzauza niliyoona pale kwenye ule mgahawa... Wale wahudumu si watu kabisaaa
 
Back
Top Bottom