Kawekee mfupa wa nguruwe uliojaa chumvi na ndimumshana jr
Niambie nifanyeje kuna kibibi kinanisumbua hapa kitaa. Leo uliposema kuwa huwa wanauwezo wa kujifanya panya ghafula nikakuta nimepata ufumbuzi wa hili tatizo langu. Kuna kapanya kamo humu kwangu sasa ni zaidi ya miezi. Wenzake woote waliokuja kabla na baada yake weshakula sumu na kufa. Ila haka hakafi wala hakali sumu kabisaaa.
Sasa nipe maarifa mshana jr. We ndugu yangu aisee tumetoka kumoja sitaki haka kabibi kanihamishe nyumbani kwangu.
Funguka tupate mwanga mkuuDuuh inatisha... Sitasahau mauzauza niliyoona pale kwenye ule mgahawa... Wale wahudumu si watu kabisaaa
Siku hizi sithubutu kuingia mgahawa ule... Ooh.....Kesho nenda vaa ndala kwa kubadili miguu na ukiweza fanya kama unaingia kinyumenyume
Ataona nn bro ?Kesho nenda vaa ndala kwa kubadili miguu na ukiweza fanya kama unaingia kinyumenyume
Nilipoingia pale nilikuwa naona watu si wa kawaida, mwili ukaanza kunisisimka, kila Nikitaka kunyanyua soda ninywe mkono unakuwa hauna nguvu....Umegundua kitu? Kuna nguvu umeanza kuzimiliki
Hahhahaha...Funguka tupate mwanga mkuu
Kwa nn ujue anatusumbuaaaa balaaa ni story ndefuuu watoto hawaishi kuumwaaaa...... Anafuga majini yanadai nyama balaaa vituko tupu home![]()
![]()
![]()
please don't try this
Yaani nikaanza kuishiwa nguvu mwilini, akili ikazubaa moyo unaenda mbio... Sijui ikawaje nikapata akili nikalipa na kusepa hata chenji sikumbukagi kama nilichukua... Sikugeuka hata nyuma break ya kwanza nikatafuta open space nikakaa ku cool down...
Kawekee mfupa wa nguruwe uliojaa chumvi na ndimu
Si wa kawaida ki vipi ? au hata kuhadithia unaogopa ? si umesema huendi tena ? tuelezee hayo maajabu basi nduguNilipoingia pale nilikuwa naona watu si wa kawaida, mwili ukaanza kunisisimka, kila Nikitaka kunyanyua soda ninywe mkono unakuwa hauna nguvu....
Mbichi ndio wenyewe.. Fanya mambomshana jr; Elezea vizuri kuna tofauti ya mfupa wa nguruwe na mfupa wa kitimoto. Mfupa wa nguruwe waweza kuwa nikaokote pale machinjioni lakini wa kitimoto ni baada ya mimi kula ule utamu wake nimwekee huo mfupa. Kachawi kenyewe ni ka ile pande ya pili isiokula kitumoto
Mkuu elewa hivyo tu but wale wahudumu si watu wa kawaida hata Kidogo.. All in all tusali sana hii ndio silahaSi wa kawaida ki vipi ? au hata kuhadithia unaogopa ? si umesema huendi tena ? tuelezee hayo maajabu basi ndugu
Yes ni mzaziiiiMmmh baba mzazi kabisa!?
Hii ni kaliba iliyojaa upweke na mateso japo kuna watu eti wanatamani wanatamani kuwa wachawi...
Mojawapo ya advertise ya kuwa mchawi ni uwezo wa kujigeuza umbo la kibinadamu na kuwa mnyama... Na binadamu wengine wasikujue kabisa kama wewe sio mnyama halisi.. Japo wanyama huwa wana hisia na maranyingi watajitenga na wewe ama kukufukuza...
Unapokutana na kundi la wanyama lakini kuna mmoja kajitenga na wenzake... Tambua tu kwamba huyo si mnyama halisi kwa asilimia kubwa
Kwenye mikusanyiko ya watu ukifanikiwa kuwa na jicho la tatu utaona mengi sana.. Pale kariakoo pale Ilala sokoni, buguruni nknk kuna wanyama wengi sana katikati ya makundi ya watu
Kujigeuza umbo la kibinadamu kuwa mnyama ni uthubutu wa hali ya juu japo ni sifa kwa mtendaji ila anapaswa kuwa na msingi mzuri kwenye taaluma yake kwakuwa akikutana na nguvu kubwa kuliko yeye atapigwa dafrau na kupoteza maisha
Kuna wanga hupenda kujigeuza paka na kuingia kwenye majumba ya watu, sometimes panya au hata nyoka nk.. Sasa hawa ukiwavizia ukawalia timing ukawapa mkong'oto... Asubuhi yake utapata tu habari
Utasikia mzee fulani kaumia bega au kichwa au mkono nknk.. Na ukija kurudisha kumbukumbu nyuma unakuta pale ulipompiga yule mnyama ndio hapo hapo anapoumwa huyo mzee.. Na haendi hospital ataugulia nyumbani mpaka apone...
Risk kubwa ni pale wanapopata kipigo mpaka kupoteza maisha. Siku ya pili mtaani utaona turubai
Asante MkuuMkuu elewa hivyo tu but wale wahudumu si watu wa kawaida hata Kidogo.. All in all tusali sana hii ndio silaha