Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Ni ushetani wa mipango ya jk na majini yake

Dada naona umepanic unafoka mpaka utando mweupe unatoka..

Tulia punguza jazba mwenzio keshapata zingine kelele za mlango tuu njoo unywe Pepsi bariiidi nakuchanganyia na chumvi presha ipoe
 
Hakuna kitu hapo ni ufisadi kwa kwenda mbele; alikuwa CEO wa Barclays Bank wakati walipotoa mkopo wa kununua RADAR kwa bei ya kuruka na nduguye Idris Rashid akiwa BOT gavana!!!

And he is so poor in leadership,hawezi uongozi,na tatizo nadhani ni kua na akili nyingi sana so hua hajui kuishi na wafanyakazi vizuri na haambiliki.
 
Barclays kulikua na wezi sio mchezo,credit hasa corporate credit & recovery,finance na huyu bade,akili jamaa anayo ila ni kweli mwiziiiiii......
Angalia ulivyokuwa punguani unajua kisa cha Barclays au unaropoka tu.
 
Duuuh msharukia kwenye hukumu kabla ya utendaji?

Mkuu una chuki sana.

Unasemaje kabla ya utendaji kwani hii ni kazi yake ya kwanza? Uliyemquote amerefer utendaji wa Barclays unataka utendaji gani mwingine?

Lakini pia mm nawashangaa wanaomlaumu Kikwete kwani hii ni surprise yake ya kwanza? Integrity ya mtu kwa awamu hii ya uongozi tuliyonayo si kigezo cha kuteuliwa au kutokuteuliwa hata kwa sensitive positions kama hii.
 
Mna chuki binafsi hasa mkifikiria hatoki kanda yenu
 
Unapoandika maneno km haya inapendeza kuweka na takwimu za hio hasara waliopata barclays!

Kuropoka bila ushahidi ni sawa na wale waimba mchiriku na maneno yao ya mipasho!

Hapa hatuko lango la jiji!

Ukiwa na mipasho nenda chit chat utawakuta wazee wa mipasho huko kina Matola na Remote!

Utakimbia mwenyewe!

Are you sure kuwa naropoka au unadhani sijui hiyo hasara au unadhani ni siri kuwa zaidi ya bil 8 za mikopo hewa zilipotea pale hiyo miaka tajwa hapo juu, unadhani wote humu tumekuja kuchamba taarabu..

Unajua how hard ile bank mpk sasa ina try kucover ile loss na reputation kwa ujumla kwa branch walizofunga...

Mbona kama na wewe unajibu kishabiki bila kufatilia details zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu, hata mimi nawashangaa sana wanaomtetea huyu kilaza wakati amechangia kwa kiasi kikubwa kuiua benki ya Barclays. Huyu ni mtendaji wa ovyo kuliko mnavyomsoma kwenye CV yake, subiri muone majanga yake--mtajuuuuta kumfahamu!

Ukiangalia wateteaji wengi wamekaa kwa maslai ya kichama zaidi humu hasa sisi tusio na vyama tukisema tutaambiwa waongo...

Thats my opinion but kuna mijitu imesha kurupuka huko na kumwaga mapovu yao we angalia hata huko akiba miaka hii ndo inafanya vizuri kuliko zamani.
 
Kwa sasa siwezi kutoa maoni yoyote juu ya huu uteuzi kwa sababu simfahamu vizuri bwana Bade, ila kilichonisukuma kuweka maoni yangu hapa ni jinsi ambavyo mwandishi wa Raisi (aliyeandika taarifa ya uteuzi) alivyo mbulula katika uandishi. Taarifa kutoka ikulu imechanganywa kiswahili na kiingereza? Ni kwamba kiswahili hakijitoshelezi?
 
Ww pimbi hujui ninaeandika ni nani na nipo wapi ninafanya nn,mm sio mwanasiasa na sishindi jf kama ww, pumb... ...... ako.......

Yani mkuu ukibishana na wanasiasa humu utaonekana punguani tu, hao akili zao zimekaa kwa maslai ya vyama vyao zaidi hata kama ukweli wanaujua wanafumbia macho tu.
 
Are you sure kuwa naropoka au unadhani sijui hiyo hasara au unadhani ni siri kuwa zaidi ya bil 8 za mikopo hewa zilipotea pale hiyo miaka tajwa hapo juu, unadhani wote humu tumekuja kuchamba taarabu..

Unajua how hard ile bank mpk sasa ina try kucover ile loss na reputation kwa ujumla kwa branch walizofunga...

Mbona kama na wewe unajibu kishabiki bila kufatilia details zaidi.

Wewe ndio uliotoa habari hapa kuwa huyo muheshimiwa kaisababishia Barclays hasara!
Nakuomba takwimu! Badala ya kuleta ushahidi Unamwaga povu!

Huko ndiko tunakokuita Mipasho!

We km una hakika na ulichokiandika kuna ugumu gani kuweka ushahidi??

Au uloripoka bahati mbaya km wale waimba mchiriku!?
 
Teh teh teh

Watu wamepanic Mkuu utawaua kwa presha maana maana ufalme wao umetikiswa
 
Kwani msomali Ana kasoro gain. Marehemu Inspector of police alikuwa msomali, Agostino mrema mi msomali ,
 
Wewe ndio uliotoa habari hapa kuwa huyo muheshimiwa kaisababishia Barclays hasara!
Nakuomba takwimu! Badala ya kuleta ushahidi Unamwaga povu!

Huko ndiko tunakokuita Mipasho!

We km una hakika na ulichokiandika kuna ugumu gani kuweka ushahidi??

Au uloripoka bahati mbaya km wale waimba mchiriku!?

na wewe skunk una ushahidi gani kwamba hajaisababishia hasara bank ya barclays! unakurupuka kama ulikuwa umedondokea kwenye septic tank!
 
Back
Top Bottom