Why do you love him so much that you would put Nations stake at the expense of his remedials???!!!
Wewe ndio uliotoa habari hapa kuwa huyo muheshimiwa kaisababishia Barclays hasara!
Nakuomba takwimu! Badala ya kuleta ushahidi Unamwaga povu!
Huko ndiko tunakokuita Mipasho!
We km una hakika na ulichokiandika kuna ugumu gani kuweka ushahidi??
Au uloripoka bahati mbaya km wale waimba mchiriku!?
where did I say I love him? I can't recall saying that....what I wanted to say is that, sometimes getting the right person for the post is not easy...this country kila mtu ni mjanja mjanja. Tunashida ya watu wenye uwezo wa kuendesha mambo, period!
Reductionism is not so sweet,especially when the intentions are obvious; either ways why are you seriously joking?????!!!!!
Did you say it is not easy to fish a right person????!!!!
Since when we run short of experts???!!!
What are the qualifications for the post? ????!!!!
Are you approving this from the backdoor by using these weak complains????!!!!!
Please Ndahani! !!!!!!
Ndio mnavyosema kila siku na kila siku tunaishia kwenye majanga...Eti tuna wataalamu wa kutosha. Wakufanya nini? Kuiba fedha za umma? By the way, nani safi katika sisi tuliosimama anayestahili kubeba mikoba yote....
Sidanganyiki! Njaa zetu zinatupa tabu sana...na wanaoboronga sio kwamba hawajasoma au sio ma expert!
[h=1]Tanzania: Barclays Bank Suffers 6.3 Billion/- Loss[/h]
BARCLAYS Bank (Tanzania) Limited has posted a net loss of 6.29bn/- in the second quarter of this year, months after closing dozens of its branches and laid down workers in what it called "restructuring". The bank in the similar quarter last year made a net profit of 1.63bn/-.
According to the bank's financial statement released, the losses are attributed to the amount set aside for impairment losses on loans and advances of 2.34bn/- in the said quarter.
The impairment and non-interest expenses amount reduces Barclays' net interest and non income earning of 5.42bn/- and 6.0bn/- respectively.
This also affected the bank's earning per share after dropping to negative 118/- against 31/-. The non-interest expenses climbed up from 11.63bn/- of last year's second quarter to 15.37bn/- in this year, mainly pushed by other operating expenses that consumed 8.51bn/- in just three months.
In May, Barclays was forced to close 10 branches and retrenched 100 workers countrywide in a move the bank termed as "restructuring" but analysts said was due to stiff competition and poor expansion plans. Barclays Tanzania Managing Director Mr Kihara Maina said then that closing and merging the branches decision would enable the bank to invest more effectively in other opportunities.
"This is part of the organization's strategy to realign their geographical presence in the country," the Barclays MD said in a release.
Commenting on the restructuring process, Bank of Tanzania's Director of Banking Supervision, Mr Agapiti Kobelo, said that the bank balance sheet is sound, healthier and there is nothing to worry it "is merely restructuring".
The Director said the statement to close branches was basically on the restructuring side after a cost benefit analysis which shows that the expansion, which was done at a go at late 2000s, was not paying. Up to the end of first half of this year, Barclays total assets grew slightly less to 513.27bn/- from 570.33bn/- while its customer deposits also slid to 402.08bn/- from 471.29bn/- of similar half of last year.
Last year, Serengeti Advisers' banking survey shows that Barclays is the fourth biggest bank in the country, with a workforce of 668, in term of employment controlling 6 per cent of total bank's staff of 11,208 at the end of 2010. But the number of workers has dropped in the second quarter to 586.
Tatizo lako unatumia matusi na jazaba na hata mnachokitetea hamkijuiWe kweli kichwa chako kinazunguka kama Magurudumu na ndio maana unafikiri kwa kutumia maka.lio! Siku nyengine ficha upumbuvu wako kwa kuwacha kuandika uharo! Dr Maundumula wachana na hao wasaka tonge!
Wasikushughulishe hao wendawazimu!
4660084 said:Mzalendo wapi wewe uliza wafanyakazi wa barclays alivyowanyonya,iweje yeye anachukua bonus hadi za mil500 wakati kina William solez,Nyaki,Simon Ngowi,Sister Halima na Heri Sijaona hawaambulii kitu? Mtafute mtu wa barclays akwambie acha porojo za vijiweni,kichwa kichwa ndio nini? Kuna vichwa tumeviona mtu ana A 10 olevo na A 3 alevo na GPA 4.9 lakin wanafundisha twishney hawana kazi sema yeye ana connection na mafisadi ndio maana amebebwa wala sio ukichwa! Kichwa gani ambaye hajawai kua Tanzania One?
Sikutegemea ingeisha mapema hivi????!!!
Tufanye nini kama Taifa?????!!!!
Mkuu, uvivu ni hulka. Ufisadi na rushwa ni ukosefu wa uzalendo na utamaduni unaotokana na kila mtu kutaka kuishi kiujanjaunjanja.Tatizo la Tanzania sio ubora wa CV za watu bali ni mfumo unaochochea uvivu, ufisadi, rushwa na uzembe.
Rais JK kamteua Bwn RISHED BADE kuwa kamishina mkuu wa TRA Tanzania leo
===========================================================
Mara zote uwa nina mashaka na umakini wa Premmy Kibanga kwenye taarifa anazozitoa kwenye public. Kutokana na CV ya huyu Bwana inaelekea alikuwa anafanya kazi kwenye ofisi mbili kubwa kwa wakati mmoja mwaka 2010 na 2011.
Desemba, 2009 2012 Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank
Plc Emerging Markets.
Novemba, 2010 Septemba, 2012 Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance
Company.
Tiba
Hiyo miaka aliyokaa Barclays Bank ndiyo miaka ambayo bank ilikuwa na worse perfomance na wizi wa mikopo hewa na kusababisha loss kubwa na kufungwa kwa branch zao kumi hadi leo, alafu ndo alikuwa operation manager..... Mhhhh
Baki nazo uone penalties ukibainika.
Unuza kiatu 100,000 utatozwa na TRA 3,000,000 kama fine ya kukwepa kodi la sivyo majembe wanakuhusu.
Huyu jamaa mwiziiiii basi tu watu hawajui...ulizeni barclays walimtoa kwa nini?vetting ya jk mbovu sanaa
Hongera sana bwana Bade.
TRA inahitaji mtu kama huyu ambaye anatokea kwenye Private Sector na sio mwenyeji wa ndani ya TRA.
Nategemea mabadiliko makubwa ya kiutendaji humo ndani.