Juzi nilienda tra mwenge kuomba karatasi ya tin tu dah hayo maswali niliyopigwa na mama mmoja anaonekana mnoko mnoko tu kwanza akaniambia wapo busy nirudi kesho ila nikabembekeza nikaambiwa nitoe hela nikaaambiwa nisubiri kidogo kuna kodi nadaiwa nifanyiwe hesabu na mwenzie ambae akaitwa akasema nina kazi nyingi kama ni msaada , yeye yupo busy na hanifahamu kwahiyo hawezi kunisaidia nikapata hiyo karatasi yangu ya tin nikasema ---- off, hakafu hawa ndiyo wanasema wanahitaji tulipe kodi na mazingira yenyewe ndiyo haya, I feel ashamed kuzaliwa kwenye nchi hii