yupo nigeria kwenye WEFKwani mkulu ayupo Tanzania?
Kivipi fafanua?rushwa itapungua sasa tra
kama mwanaume unakubali kuvaa pedo,kesho utaanza kuvaa vikuku na kuanza kata mauno,kesho kutwaa utakuwa mliberali kabisaSAWA
ofisi tunayo sisi sasa wavaa vipedo kama inakuuma jinyonge basi.
Nssf kuna Alhaj Ramadhani Dau Mvaa vipedo na mambo yanakwenda muruwa kabisa.
Na huku TRA sasa tuna mvaa vipedo mwingine mtatuambia nini?
Si mnasema wavaa vipedo hatuna shule??haya semeni na sasa tuskie..!!
Huyu anastahili kabisa nafasi hiyo,toka ameingia tra binafsi nimeshuhudia mabadiriko makubwa ya kiutendaji katika taasisi hiyo.
Naamini uzoefu wake huko nyuma haukuwahi kumpa fursa ya kujifunza mazoea ya rushwa,hivyo sababu kapewa rungu kabisakabisa nategemea kuanza kuona tra inayojiweka mbali na rushwa.
Ile collection target anazowapa manager zitakuja kuleta matatizo huko mbeleni,yaani unakutana na ofisa wa tra akiwa yuko nyuma sana ya target mpaka anampigia magoti mlipa kodi alipe tu hata azididhe kidogo next quarter watabalasinsha. I like the pessure.
Hivi kunywa kahawa ni unafiki?
Nakereka sana anapo chaguliwa Mwislam,kejeli na matusi yanakuwa mengi,juzijuzi wamechaguliwa Mabalozi 4 wote wakristu,kukawa kimya pongezi nyingi, ila mwislam NONGWA,sisi wote ni ndugu moja,tujenge Nchi yetu.
Ila anaonekana ana asili ya nchi ya al shabab.
Pamoja na hayo, hongera kwa kuwa kamishna mkuu - TRA.
Mimi sipendezwi na Teuzi za aina hii, Teuzi za uvunguni la hasha!. Ebu eneo nyeti kama TRA, na Taifa hili lina vijana wasomi wengi kwa nini nafasi kama hii isitangazwe na vijana wahojiwe live waeleze namna watakavyo thibiti ukusanyaji wa kodi na kuongeza mapato kwa Taifa. Na watu wanaowafahamu uadilifu au ukanjanja wao wawaulize maswali?
Hata ukusanye kodi kiasi gani, zinaenda kuchezewa na ma-CCM.
Bora tubaki nazo tu
Muongo.
He is smart lakini........
Nakereka sana anapo chaguliwa Mwislam,kejeli na matusi yanakuwa mengi,juzijuzi wamechaguliwa Mabalozi 4 wote wakristu,kukawa kimya pongezi nyingi, ila mwislam NONGWA,sisi wote ni ndugu moja,tujenge Nchi yetu.
Shikamoo sana Kigogo!!! Zilipigwa za kufa mtu hadi akapata demotion na akachukia ndiyo maana aliamua kuondoka!!! Hapo juu nimesifia kinafiki tu niwe mkweli!!!! Aliipatia benki hasara sana kwa upande wa Tz kwa mapigo yale!!!! Na ni mjanja hakamatiki!!! Tusubiri tuone.Huyu jamaa mwiziiiii basi tu watu hawajui...ulizeni barclays walimtoa kwa nini?vetting ya jk mbovu sanaa