Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,881
- 60,307
Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
Hebu tuambie babu yako alitokea wapi mbaguzi mkubwa wewe,
Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
Mabadiliko gani TRA yapo mdau sana sana EFD na kulipia road licence kwa M-PESA mengine yale yale faili lako lipo bado halijasainiwa hapo ushapiga mguu Long room miezi kibao.Huyu anastahili kabisa nafasi hiyo,toka ameingia tra binafsi nimeshuhudia mabadiriko makubwa ya kiutendaji katika taasisi hiyo.
Naamini uzoefu wake huko nyuma haukuwahi kumpa fursa ya kujifunza mazoea ya rushwa,hivyo sababu kapewa rungu kabisakabisa nategemea kuanza kuona tra inayojiweka mbali na rushwa.
Ile collection target anazowapa manager zitakuja kuleta matatizo huko mbeleni,yaani unakutana na ofisa wa tra akiwa yuko nyuma sana ya target mpaka anampigia magoti mlipa kodi alipe tu hata azididhe kidogo next quarter watabalasinsha. I like the pessure.
Tatizo liko wapi kuulizwa ulijengaje? Lazma tuwaulize, haiwezekani msababishe barabara ziwe mbovu simply kwa nyinyi wachache kujenga maghorofa yenu kwa fedha za wizi. Kwa taarifa nilizonazo, hili suala litapewa msukumo wa aina yake. Ukihamisha umiliki haiondoi swali hilo kuulizwa huyo binti yako. Alijengaje? Kwa kipato gani. Tumechoka kuwa viongozi wa watu maskini hata kwa kula yao.Hongera sana,...Lakini huu utaratibu wa kufuatafuata watu ambao tumejenga majumba ya ghorofa miaka zaidi ya mitatu nyuma na kuanza kuuliza pesa tumetoa wapi kwa kweli si utaratibu mzuri,ni kutengeneza mianya ya watendaji wako kula rushwa tu. Hatukatai kuulizwa chanzo cha pesa,lakini si kwa majumba ya zamani...angalau mfanye kwa vibali vipya vya ujenzi.
jina lako ni pichu ambayo ni chupi, sasa sijui unataka nikuvuwe chupi?
Tatizo liko wapi kuulizwa ulijengaje? Lazma tuwaulize, haiwezekani msababishe barabara ziwe mbovu simply kwa nyinyi wachache kujenga maghorofa yenu kwa fedha za wizi. Kwa taarifa nilizonazo, hili suala litapewa msukumo wa aina yake. Ukihamisha umiliki haiondoi swali hilo kuulizwa huyo binti yako. Alijengaje? Kwa kipato gani. Tumechoka kuwa viongozi wa watu maskini hata kwa kula yao.
Lazima atuwekee mahali pa kusalia pale long roomMapunguani kama nyie uwa hamkosi sababu tumewazoea sasa huyu mama anamzidi nini Bade.
Nimeambiwa rais kateua mtu huyu leo, hivi ni nani, sio blandina nyoni kweli kama mfumo ulivyokuwa una vuma.
===========================================================
Sasa unataka miaka yote tuache tu mambo yajiendee. Kutokuwa ktk ujamaa haina maana kutokuwa na utaratibu au kuruhusu ubabaishaji. Kwani ukiwaambia vyanzo vya mapato yako cilivyosababisha kujenga ghorofa lako ttzo liko wapi?Miaka yote mlikuwa wapi hata mujekuuliza sasa?? Kama ni sheria mpya kwanini isitumike kwa majengo mapya tu? Jengo na barabara kuwa mbovu vinauhusiano gani? Kwanini uniulize nimejengaje,kwani bado tupo kwenye ujamaa? Mkuu huoni aibu kusema wewe kiongozi wa watu maskini katika nchi yenye ardhi ambayo ina utitiri wa utajiri?
Mara zote uwa nina mashaka na umakini wa Premmy Kibanga kwenye taarifa anazozitoa kwenye public. Kutokana na CV ya huyu Bwana inaelekea alikuwa anafanya kazi kwenye ofisi mbili kubwa kwa wakati mmoja mwaka 2010 na 2011.
Desemba, 2009 2012 Chief Financial Officer, (East and West Africa Cluster) Barclays Bank
Plc Emerging Markets.
Novemba, 2010 Septemba, 2012 Chief Executive Officer, Tanzania Mortgage Refinance
Company.
Tiba
...du!! kweli nchi hii tuna kazi....huyu Bade ni sehemu ya mtandao mpana ulioundwa TZ kupitia BOT kwa ajili ya ufujaji wa fedha za umma...huyu Bade ana ukaribu mkubwa na kina Idris Rashid...na walipata kuwa pamoja BOT wakati wa uchotaji wa fedha za dowans na richmond...na hata EPA kutoka BOT....JK kumteua Bade kuwa mkuu wa TRA ni sehemu tu ya mkakati wa kuhakikisha misamaha ya kodi TZ haisitiswhi....na huu ni sehemu ya mtandao wa JK kulinda network yake aliyounda tangu aingie madarakani.....jambo ambalo litamuhakikishia 10% hata atakapoacha urais (maana wanaosamehewa kodi wanatoa 10% kwa watawala)......Hii ni strategy ya kulinda maslahi ya mtandao wa JK kifedha.....
Ukitaka kumjua Bade uzuri soma uzi huu wa Halisi wa mwaka 2012...https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/325971-rished-bade-kumsaidia-kitillya-tra-2.html
jina lako ni pichu ambayo ni chupi, sasa sijui unataka nikuvuwe chupi?