Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Naona salam zatumwa kwa wakwepa kodi. Hii panga pangua hatari sana.
 
Dr Ritz habari za siku nyingi mwenzako bado naugulia maumivu ya kichapo cha uchaguzi.Vipi nasikia Magufuli anaendelea kumagufulika kutumbua majipu mwambie achukue tahadhari unajua majipu mengine makubwa haswa ukiyatumbua kwa papara usahaa unaweza kuingia mdomoni mwa mtumbuaji.

CCM mbele kwa mbele wapinzania wataisoma namba mweheeeee.

Kwa style hii lazima pro-Chadema wote warudi CCM.
 
Last edited by a moderator:
ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa.

Hahaaaa aisee kuna watu mnamaono lakini sijui kwa nini .
 
Hahaa brother vipi tenaa yaliyomo yamo. . Mchapakazi wenu chali. .. mjifunze kuannalyse output siku nyingine. Sio mnasifia tu kila kitu, lazima uwe na mashaka kana mtu rekodi yake ya nyuma sio nzuri bado unabishaaaa . Poleni aisee nadhani mmejifunza sasa
I ain't your brother galatia women.
So don't even think about it.

Nyie waefeso roho korosho km skunk. Jitu zima unaleta habari ya doubts! Huna wazee kweni wewe?
 
SAWA

ofisi tunayo sisi sasa wavaa vipedo kama inakuuma jinyonge basi.

Nssf kuna Alhaj Ramadhani Dau Mvaa vipedo na mambo yanakwenda muruwa kabisa.

Na huku TRA sasa tuna mvaa vipedo mwingine mtatuambia nini?

Si mnasema wavaa vipedo hatuna shule??haya semeni na sasa tuskie..!!

Mkuu,unaweza kurudia kusoma ulichoandoka huko nyuma?
 
Huyu Ramadhani Dau wa NSSF lazima tumwandame kazidi na uislam maana hata Clecentius Magoli ni Muislam (aibu yetu).

Hatuna shida na Wiliam Erio maana yeye kajaza WAKRISTO WATUPU, hajachanganya kama Dau.

PPF hatuna Mkurugenzi muislam hata mmoja- hili hatulioni ila Dau ndio mdini (Wakurugenzi 9 wakristo na SIFURI ni Waislam)

PPF kati ya mameneja 20, wawili tu ndio waislam, mmoja makao makuu na mmoja ni wa kanda, bado tunaona Dau ni dini

Hii ina maana, PPF katika viongozi wakuu 29, 27 wakristo na 2 waislam. PPF tulikuwa na Mkurugenzi muislam, tukamtimua kisiasa kwa kuunganisha Idara"

Hii utakuwa fundisho kwa wadini wote wenye kuuchukia Uislam,tusimchukie mtu kwa Uislam wake tumchukie mtu kwa utendaji wake!

viambatanisho ni cv.biblia na kuran?
 
Hahaa brother vipi tenaa yaliyomo yamo. . Mchapakazi wenu chali. .. mjifunze kuannalyse output siku nyingine. Sio mnasifia tu kila kitu, lazima uwe na mashaka kana mtu rekodi yake ya nyuma sio nzuri bado unabishaaaa . Poleni aisee nadhani mmejifunza sasa

Two CEOs down, eight more to go!!!! Let us wait and see!!! Mwaka huu vibosile wa Tanzania lazima waisome namba!!!

Na pro ccm waanzishe upinzani

Nimeusoma uzii....watu tuwe na akiba ya maneno....Hongera rais kwa maamuzi magumu...sio mwenzako alikuwa anateua tume kuchunguza wizi wa waziwazi kabisa.....!!!

Ahahahahaaaaaaaa ulimwaga misifa mingi, Mara ooh mchapa kazi, Mara hongera za kumwaga Leo umekuwa mpole kama kifaranga cha Kuku Mtaisoma namba

Ha ha ha wafuasi wa JK akina Ritz magu atawanyoosha

like mia 2 chukua

nahis alijitahidi sana sema nd ivo tena hapa nd kazi tu

bado yule wa nssf

yaani nina hasira na wezi wa hii nchi mpaka natetemeka, kumba.vu zao. kumba.aavu.

inaonyesha ulimfahamu kitambo sana.

muwe mnaweka akiba ya maneno!!

Upuuzi mtupu, udini huu unakusaidia nini?

Ningekua Mimi nisingejibu, ningebaki Na aibu yangu....nakumbuka comment yako ya mwaka Jana! Kumbe huna hats aibu!!?

Nimeisoma hii thread toka mwanzo, ni nzuri nawasifu wachangiaji.
Namsifu JPM

100 kwako mkuu uliona mbali.

masalia yote ya kikwete yaondolewe,sasa waende na nssf ambako upigaji umekithiri

Mkuu, uliona mbali,leo yametimia.

Rejeeni huko nyuma tuliwahi kulalamikia uteuzi wa huyu jamaa tukabezwa lakini leo Jpm amethibitisha kuwa kulalamika kwetu tulikuwa sahihi

Tunachotaka utendaji c kuwa na elimu nzr!!!! wako wengi wenye elimu nzuri lkn maboya tu kiutendaji!!!! twende kazini bade

Hongera Bade,
Jamaa nakumbuka hata shule alikuwa vizuri, O'Level alipata Div One ya 7 points. Sielewi performance yake kazini as shule na utendaje ni vitu viwili tofauti.

Mkuu Ngatele performance ya jamaa imewekwa ya kutosha kwenye huu uzi unless hujausoma vzr na just for info habari zilizoko humu khs performance ya jamaa nyingi za ukweli. Kifupi ni kwamba hizo points 7 za O level zilibadilika kuwa division 0 alipokuwa MD Barclays na bado magogoni ndio wameona ni mtu sahihi kuongoza mfumo wa damu wa uchumi wa nchi hii.

Moja ya vitu vigumu sana kwangu kuvielewa kwenye awamu hii ya uongozi ni vigezo vinavyotumika kuteua viongozi. Ni shida kwa kweli kuweza kung'amua ni nini hasa mkuu wa nchi huwa anaangalia kwa wale anaowateua, im sure ni yeye peke yake ndio anaweza kueleza hakuna mwingine.


Wengi tulishangaa
 
Back
Top Bottom