Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
*Naamini kaburu ni kaburu tu! Hata akiwa raia atabaki kuwa kaburu tu!!!!
Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
Hongera kijana wa Idris Rashid!Tuone mabadiliko sasa haswa jitahidi kila kitu kiwe online ili kupunguza rushwa
I know the Guy, He is SMART. Goals orientedNimeambiwa rais kateua mtu huyu leo, hivi ni nani, sio blandina nyoni kweli kama mfumo ulivyokuwa una vuma.
===========================================================
Unadhani kwa elimu na uzoefu wake kta sekta ya fedha hastahili kupata nafasi hiyo? CV yake ni nzuri na inambeba, kafanya kazi kwenye taasisi kubwa za fedha.
Wasiwasi wangu ni umri wake tu (kwa kuangalia picha na CV ilipoanzia) anaweza kuwa bado kijana sana kwa nafasi huyo kwenye chombo kikubwa kama TRA.
Hivi kunywa kahawa ni unafiki?Wacha unafiki wewe....
Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
Nimeambiwa rais kateua mtu huyu leo, hivi ni nani, sio blandina nyoni kweli kama mfumo ulivyokuwa una vuma.
===========================================================
Siyo Msomali ni Mbulu. Sifa na uwezo anao tatizo wachapakazi wazuri kama huyu wanakwamishwa na mfumo mbovu wa utawala wa nchi na rushwa!
Pongezi nyingi mno kwako Sahib yangu kipenzi Rished!
Piga mzigo kama kawaida yako!...uwezo,nia,madhumuni mema,intellect,credibility na integrity...vyoote hivi unavyo!
Wewe ni mzalendo uliekubuhu, na ni jembe la kutisha!...endelea kupiga kazi Kaka, achana na mahasaidi,vizabizabina na wachovu wa maisha/fikra...kusema ovyo ndo maisha yao!
Wape salaam Gayle na Ilyas...tutaonana hivi karibuni!
Nakutakia kheir nyingi na salama.
Tuko pamoja!
Ahsanta.
ni Rished Bade na anamuapisha leo juu kwa juu akiwa Lagos
Huyu alitunukiwa kabla hajakaimu mkuu hakuna uhusiano wowote kati ya performance yake ya kuact na uteuzi wake. Kwa hili sijasema kwamba hajaperform bali nasema alipelekwa pale ili mzee aliyekuwepo amkabidhi period hayo mengine ni porojo tu.
Achaa ubaguzi..... Siyo msomali ni Mtanzania... Haki ya kazi haina ubaguzi !! Tuchape kazi.Sifa zooooote anazo, lakini aaah jama msomali!
Ila anaonekana ana asili ya nchi ya al shabab.
Pamoja na hayo, hongera kwa kuwa kamishna mkuu - TRA.
There goes my happiness......again