Risasi yangu ya mwisho

Pamoja mkuu, ila ungekuwa unaweka link ingependeza zaidi kwa sisi ambao hatupendi kusoma comments za kijinga. Japo comments zinamtia moyo mtunzi kujua kuwa tunafatilia story yake. Asante
Mkuu mimi sifanyi biashara huu uandishi, hivyo huo ujinga kwenye comment ndiyo furaha yangu.

Asante kwa ushauri lakini kama nitaamua kuwa mwandishi nitakuwa nafanya hivyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…