Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,739
- 5,703
Mtasubiri sana na bado...siku lowasa akitumbuliwa na kupelekwa gerezani ufisadi ndio utafikia tamati..Watanzania tunasubiri kwa hamu sana kumuona lowasa magereza kwa kuhujumu uchumi
Mtasubiri sana na bado...siku lowasa akitumbuliwa na kupelekwa gerezani ufisadi ndio utafikia tamati..Watanzania tunasubiri kwa hamu sana kumuona lowasa magereza kwa kuhujumu uchumi
Wacha waisome namba maana hao ndio wanao kwamisha maendeleo ya taifa letuMkuu Lumumba kumekauka siku hizi hiyi buku saba wanafanya kuisikia humu
Endelea kusubiri kwa hamu sanasiku lowasa akitumbuliwa na kupelekwa gerezani ufisadi ndio utafikia tamati..Watanzania tunasubiri kwa hamu sana kumuona lowasa magereza kwa kuhujumu uchumi
Mambo yanabadilika katika ulimwengu huu. Marafiki wanageuka maadui, maadui wanapatana. Yaliyofichika yanawekwa wazi na mengine yanafichwa zaidi. Siasa ni power play. Propaganda kwa wingi. Wanasiasa wenye akili zao wana hakikisha hawavuki mpaka. Wanatuongoza sisi to jump to conclusion.Mwakyembe ndie alieweka List of shame yenye jina la Lowassa kwenye tovuti ya chadema?
Mwakyembe ndie alieandika Lowassa kamhonga Zitto 200 Mil aivuruge Chadema?
Hilo ni lenu hangaikeni nalo wenyewe, Mlimwita Fisadi kwa hiyari yenu na Mnamwita Mkombozi kwa hiyari yenu!
Ok. Tufanye hivi. The coin has two sides.kwahiyo mnyika na wenzake kabla walikuwa wanadandia gari kwa mbele sio??
mnyika aliposema anaoushahidi juu ya lowassa kuhusika na richmond tundu lissu alikuwa wapi muda huo??kubenea na gazeti lake walipokuwa wanamnanga lowassa tundu lissu alikuwepo wapi muda huo??
kaa ujue hao viongozi wako ni wanafiki na waongo,kama walikuwa wanajua hii ishu inamuhusu jk walikuwa wapi kusema badala yake kumtupia mzigo lowassa ili iweje,kwa madhumuni gani,walikuwa wanaficha kwa ajili ya nani??baada ya miaka saba tena baada ya kumchukua lowassa ndo lissu anajitokeza anasema ni ya jk kwelii halafu unaniambia mimi et stuka,mimi nilishastuka muda nikaona hao viongozi wako ni wanafiki kama wanafiki wengine tu.maana kama waliweza kunihadaa na nikahadaika tena wakaniambia wanao ushahidi leo wananiambia sio huyo ni mwingine niwaamini kwa lipi haswa??
Nakubaliana na weweInawezekana Lowassa ana yake lakini siyo Richmond.
Halafu sijui kwann mkulu hafanyi ziara ya kushtukiza pale, hizi buku saba zilikuwa zinatoka wapiWacha waisome namba maana hao ndio wanao kwamisha maendeleo ya taifa letu
mmeishiwa hoja nyie.....jaribuni tena wakati mwingine,na ule utawala wa makosa mliokuwa mnautegemea sasa mtatafuta kwa tochi hayo makosa,mlitafuta udhaifu wa lowassa mkaupata mkafanya mwimbo wa taifa na mkapata kiki kweli kwa ngoma yenu ile,leo mnatuambia aliye na ushahidi ampeleke mahakamani.yani kusema mseme nyie,nyie ndo mliotutangazia kuwa huyu jamaa yupo hivi leo hii nyie ndo mtuambie tena tupeleke ushahidi sisi mashabiki??Ok. Tufanye hivi. The coin has two sides.
One side of the coin ni kwamba:-
Cdm waongo wa mdomoni. Kwa kukuaminisha EL ni fisadi kumbe sio. Cdm chama cha waongo.
2nd side of coin:-
Na ccm wamekupiga kura yako.( umeliwa pesa zako/ umetapeliwa/ wamekutumia kama kondom.. ukaamini EL ni fisadi na sasa wameachama naye . Anakula Bakta mtaani
Wewe uko kwenye dustbin unasifia majipu hewa.
Huku wahusika halisi wa richmond epa,escrow wanakula kuku pamoja na akina mwakyembe, jk dk slaa yuko ughaibuni anakula pension yake. Mission accomplished.[emoji108] rip what you sawed.
Stop bitching
Sasa report ya Richmond si ilishajadiliwa bungeni?Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Aaaaaah,yaani unafikiri hajui?Halafu sijui kwann mkulu hafanyi ziara ya kushtukiza pale, hizi buku saba zilikuwa zinatoka wapi
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Hapa huwezi ukaniona mkuuAnzisha thread nyingine, uziseme hizo hoja ulizonazo japo kuwa sijawahi kukuona wala kukusikia ukiongrlea vya maana zaidi ya kuhemkwa kikada tu,
Nimeona nondo zako kule,Hapa huwezi ukaniona mkuu
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malumbano ya kisiasa huku jina la Lowassa likitumika kama mtu fisadi na aliyehujumu sana uchumi wa nchi hii.
Kauli hizi zimetumika sana sio kwa wapiga debe na mavuvuzela tuu bali hata viongozi wa vyama na serikali.
Lakini wakati Lowassa akiomba kujiunga na Chadema alijieleza kuhusu kashfa zake anazopewa ikiwemo ya Richmond na mwisho alijitoa muhanga kwa kusema yuko radhi kwa yeyote au taasisi yeyote yenye ushahidi impeleke mahakamani. Huo ni ushujaa.
Sasa tuwaombe na wengine ambao kwa bahati mbaya wanalindwa na sheria yakinga kwa vile wanatajwa kwa makosa ya jinai wajitokeze nao watake kuwa kama kuna ushahidi kinga zao ziondolewe na washtakiwe ili kusafisha majina yao. Maana kama hakuna wa kukushtaki basi wewe ni safi na hayo maneno ni majungu na fitina tuu kama ilivyojidhihirisha kwa Lowassa kuwa ni maneno tuu ya kisiasa kwani DP,PCCB, Time ya maadili hata CAG hawajawahi kumgusa.
Tuwaombe JK, Ben, hata aliyepo wajitokeze kwa nia njema waombe kinga ziwekwe kando kama ilivyo nchi nyingi tuondoe haya maneno maneno
Waulizwe Chadema ....kwanini walimchafua EL kiasi kile?