Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,545
Sampuli za kina Ashumta utazijua tu ... kama hujui, hujui tu acha kulazimisha!huwezi kuona hoja kwa sababu akili zako zimeshikiliwa na lowasa
Sampuli za kina Ashumta utazijua tu ... kama hujui, hujui tu acha kulazimisha!huwezi kuona hoja kwa sababu akili zako zimeshikiliwa na lowasa
Umetoa jibu la algebra kwenye mtihani wa trigonometry!Aisee, ukawa si wanasema kua kila ccm ni fisadi isipokua lowasa? ukizingatia kwamba lowasa alipokua ccm, mlimuiuta fisadi lakini kwa sasa sio fisadi maana yupo chadema?
Unawezaje kuuona ufisadi wa Lowasa wakati wewe mwenyewe ni fisadi kwa maana ya kwamba wewe ni mtoto wa Lowasa so ninyi wote ni mafisadi.Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea.Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli.Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu,ni maneno maneno ya kanga.Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni?Mpaka Ikulu?Majibu yanatumbuliwa,mengine yanatajwa lakini yanashindikana,lakini Lowasa jiiiii
Kwa mujibu wa ripoti wa yule Dk. wenu wa kichina (Mwakyembe) ..Aisee, ukawa si wanasema kua kila ccm ni fisadi isipokua lowasa? ukizingatia kwamba lowasa alipokua ccm, mlimuiuta fisadi lakini kwa sasa sio fisadi maana yupo chadema?
Viongozi wa chadema walipata ushahidi kwa mwakyembe amabae aliwaaminisha kuwa Lowasa ni fisadi, lakini baada ya Lowasa kuuona na KUUKANA NA KUOMBA APELEKWE MAHAKAMANI akajitete huko tumeona Mnafiki yule Mwakyembe akichekacheka tu kwenye vyombo ya habari badala ya kuongoza mahakamani, so usiwalaumu chadema maana huo msemo ulitoka ndani ya ccm, nyumbani kwako wakikutuhumu wewe mwizi jirani atakana? Itakuja kujulikana kuwa ulisingiziwa baada ya wewe kusema si kweli na kuwaita wa kwenu waje watoe ushahidi lakini wanajifungia ndani, hata jirni lazima awapuuze kwa kuropoka.Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......
Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??
Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Lowasa hajawahi kuwa fisadi, rich mond ilikuwa na baraka za rais, kama ni fisadi nendeni mahakamani.Unawezaje kuuona ufisadi wa Lowasa wakati wewe mwenyewe ni fisadi kwa maana ya kwamba wewe ni mtoto wa Lowasa so ninyi wote ni mafisadi.
hao ni kati ya wale wehu 46 wanaokiwakilisha chama kwenye mitandao .. kinachowajia kichwani ndicho wanachokiandika..Lowasa hajawahi kuwa fisadi, rich mond ilikuwa na baraka za rais, kama ni fisadi nendeni mahakamani.
Mkuu wamebaki 44, sasa ndio kila mtu anaonesha upuuzi wake kwa kiwango cha juu ili awe wa 3 kuteuliwa wameanza kuona kama wanashaulika vile.hao ni kati ya wale wehu 46 wanaokiwakilisha chama kwenye mitandao .. kinachowajia kichwani ndicho wanachokiandika..
Mbona Mbowe anagoma account za vyama zisikaguliwe? Ruhusu mwaka huu wafanye audit chadema uone madudu yaliyofanyika mwaka jana kipindi EL anaingia UKAWAMpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Kama muna kinga dhidi ya cyber crime! Basi nyie vijana wa lumumba hii kinga yenu ni zaidi ya ile ya mkuu wa kaya kutoshitakiwa.Endeleeni kula enzi bt yanamwisho haya.lowasa ameifisadi sana hii nchi Richmond kwa siku analipwa tsh milioni 152 na tanesco pesa zake ameinunua Chadema hatimiliki ya Chadema ipo nyumbani kwake Monduli
Ulishaambiwa Richmond ni ya Kikwete sasa hayo mamilioni unayosema lowassa analipwa kila mwezi kama ushaidi unao si uende mahakamanilowasa ameifisadi sana hii nchi Richmond kwa siku analipwa tsh milioni 152 na tanesco pesa zake ameinunua Chadema hatimiliki ya Chadema ipo nyumbani kwake Monduli
weka ushahidi wa maandishi kama kweli aliyasema hayo.Mbona Mbowe anagoma account za vyama zisikaguliwe? Ruhusu mwaka huu wafanye audit chadema uone madudu yaliyofanyika mwaka jana kipindi EL anaingia UKAWA
Timu ya mkwere iliwahi kumuomba lini msamaha hadharani Slaa kwa muliyowahi kumtendea akiwa CHADEMA kabla ya kumsajili na kuwa mchezaji wenu anayelipwa zaidi hapo buku7 fc,Acha uzuzu mkuu ili walau hadhi ndogo uliyonayo isimalizike kupitia keyboard za computer na bandle ambayo sidhani kama hata bei yake unaijua.Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......
Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??
Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Mwakyembe ndiye aliyetengeneza uongo wa kumchafua..
Umemjibu vema.Aisee na hii nayo ni hoja? we have a very ,long way to go, ni sawa na kutaka kuuliza ufisadi wa mwinyi au mkapa kwenye ripoti za mwaka jana awamu ya 4,