Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

lowasa ameifisadi sana hii nchi Richmond kwa siku analipwa tsh milioni 152 na tanesco pesa zake ameinunua Chadema hatimiliki ya Chadema ipo nyumbani kwake Monduli
wewe unaona Milion 152 TZS ni issue sana?
 
Viongozi wa chadema walipata ushahidi kwa mwakyembe amabae aliwaaminisha kuwa Lowasa ni fisadi, lakini baada ya Lowasa kuuona na KUUKANA NA KUOMBA APELEKWE MAHAKAMANI akajitete huko tumeona Mnafiki yule Mwakyembe akichekacheka tu kwenye vyombo ya habari badala ya kuongoza mahakamani, so usiwalaumu chadema maana huo msemo ulitoka ndani ya ccm, nyumbani kwako wakikutuhumu wewe mwizi jirani atakana? Itakuja kujulikana kuwa ulisingiziwa baada ya wewe kusema si kweli na kuwaita wa kwenu waje watoe ushahidi lakini wanajifungia ndani, hata jirni lazima awapuuze kwa kuropoka.
Asante sana
 
Lowassa ndo anainyosha nchi mpaka sasa iende sawa

Lowasa ndo kaanza kuilalamikia serikali dhaifu

Lowassa ni msafi na mzalendo wa nchi hii
Viva Lowassa tunayaona sasa Matunda yako
 
Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......

Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??

Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Hivi mkuu mpaka leo hujui siasa ni mchezo mchafu? Mtu huzushiwa ili mradi watu wamwone hafai kua chochote
 
Hii nchi asingekuwa lowasa ilikuwa inaelekea kuwa Dangulo la machokola
 
lowasa ameifisadi sana hii nchi Richmond kwa siku analipwa tsh milioni 152 na tanesco pesa zake ameinunua Chadema hatimiliki ya Chadema ipo nyumbani kwake Monduli
Symbion ndiyo Richmond?ilikuaje Obama na JK wautembelee mtambo huo?
 
Lowassa ndo anainyosha nchi mpaka sasa iende sawa

Lowasa ndo kaanza kuilalamikia serikali dhaifu

Lowassa ni msafi na mzalendo wa nchi hii
Viva Lowassa tunayaona sasa Matunda yako
Mkuu maneno yako ni machache lkn yenye ujumbe mkubwa sana wenye thamani kwa yote haya tunayo yashuhudia leo hii,lkn wanaelewa watu wachache wenye uelewa wa kutosha
 
Unajua sababu za kutimuliwa kwake na Mwl Nyerere, asigombee urais mwaka 1995? Je unajua alitimuliwa kazi ya uwaziri wa ardhi enzi za Mwinyi?

Umdogo sana kwenye siasa
Siasa anazijua zzk tu ndio maana chama chenu kina wabunge wengi bungeni
 
Mkuu maneno yako ni machache lkn yenye ujumbe mkubwa sana wenye thamani kwa yote haya tunayo yashuhudia leo hii,lkn wanaelewa watu wachache wenye uelewa wa kutosha
Mkuu hili taifa bado tunasafari ndefu coz bado linawafata upepo wengi [emoji1] [emoji1]

Kuna watu wanauchikia upinzani pasipo kujiuliza bila upinzani nchi ingekuwaje?[emoji117] [emoji65]
 
Mimi nangoja ushahidi wa kitaalamu wa CAG na sio maneno ya wanasiasa.
Lowasa fisadi.....teheteheteheeeee.......thibitisha
Hayo ndio mawazo ya kisomi na siyo hawa mazwazwa
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Kwani CAG alikagua DOWANS aka RICHMOND ?
 
kwani CAG hakuliona hilo?
Mbona kwenye rport yake halimo?
Wana ccm wanakosa usingizi juu ya lowasa,hizi mbwembwe zoote ni sababu ya lowasa anawapelekesha kama muarabu alivyokuwa anawapelekesha watumwa
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
yule wanamzunguka tu,wakija kumrukia msilalamike,angalia miradi yote tata imeshaguswa mpaka mabilioni ya JK
 
Mkuu hili taifa bado tunasafari ndefu coz bado linawafata upepo wengi [emoji1] [emoji1]

Kuna watu wanauchikia upinzani pasipo kujiuliza bila upinzani nchi ingekuwaje?[emoji117] [emoji65]
lowsa amejenga upinzani upi Zaidi ya kufisadi taifa
 
Lowassa tapeli tu kama matapeli wengine.

We Chakaza hebu jiulize. Endapo huyo tapeli angegombea kupitia CCM, na akajisafisha kuwa mwenye ushahidi aende mahakamani, bado mngemtetea?

Magufuli tu huyu mnamwandama kwa kesi ya nyumba za serikali, kesi ambayo lilishawahi kufafanuliwa vizuri na Sumaye (campaign manager wa Lowassa) lakini mnajisahaulisha na kurudia rudia kila uchwao, seuze huyo mamvi?

Ni wenu tu huyo, pigeni nae picha!
Tapeli mkubwa ni yule aliye iba fweedha za escrow na kugawana na wana ukoo wake
 
Back
Top Bottom