mmeishiwa hoja nyie.....jaribuni tena wakati mwingine,na ule utawala wa makosa mliokuwa mnautegemea sasa mtatafuta kwa tochi hayo makosa,mlitafuta udhaifu wa lowassa mkaupata mkafanya mwimbo wa taifa na mkapata kiki kweli kwa ngoma yenu ile,leo mnatuambia aliye na ushahidi ampeleke mahakamani.yani kusema mseme nyie,nyie ndo mliotutangazia kuwa huyu jamaa yupo hivi leo hii nyie ndo mtuambie tena tupeleke ushahidi sisi mashabiki??
shame on you,bora natumiwa kama kondom atleast napunguza kuzaliwa vizazi vibovu vya kisiasa kama vya chadema.......vizazi vya kinafiki na uongo,