Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Sisi atatulipa mwenyezi mungu,nyie mnalipwa posho zenu za buku 7 kutoka lumumba
Mungu awalipe kwa kudanganya watu, kwenye daladala na kwa mama lishe na kwa ufisadi?
 
lowsa amejenga upinzani upi Zaidi ya kufisadi taifa
Ukitamka tu lowasa fisadi basi basi ccm ni chuo cha mafisadi na Lowassa ni mhitimu je hilo unalijia?[emoji117] [emoji65]

Tafakari kabla ya kusema

Hakuna fisadi mkubwa kama ccm ccm ndo mzazi wa Damu wa Ifisadi
 
na ziko wapi nyaraka za ushahidi walizodai wakina mnyika na wenzie wanazo??
Ushahidi wa akina mnyika una elements za kisiasa zaidi. Dhidi ya serikali nzima ya CcM na mfumo wake. Kumbuka kile ni chama cha siasa(stuka).
Tundu lisu alisema fisadi wa richmond ni JK. Jk hakujibu neno hata tone(stuka).
Na jk siku anamaliza kampeni kule mwanza angali akijua ni siku ya mwisho na hakutakua na kampeni nyingine za kufanya wapinzani wajibu hoja akasema EL anahusika na richmond (stuka).

So DETAILS ZOTE WATAKUA NAZO HAO CCM ESPECIALLY MwaKYEMBE, PLUS DR. SLAA. Walioongea bungeni akamtuhumu el waziwazi.mpaka akajiuzulu.
Kisha akarudi tena bungeni kumsafisha el. aliposema kua EL hana kosa bali ameangushwa na makatibu wake. Akaufunga mjadala.

Tena akarudi wakati wa kampeni akasema anazo documents zote. Akishirikiana na dk.slaa.

Na vilevile mazingira yanaonyesha kua:- HAWA CCM WAMEKUA WAKISHIKWA NA UFISADI NA MAMBO WAKAYAZIMA KIMYAKIMYA. KAMA ESCROW, EPA, RADAR M, NDEGE YA GHULF STREAM, NK. Kwakua yanagusa wale untouchoubles.

Sana sana ubuyu ulikua unaonyesha kuna mahusiano mabovu kati yake na jk aliyekua mkuu wa nchi. Ndio chanzo cha yeye kukatwa. Na asilimia 75%ya ubuyu kwenyw.organization.yoyote.kina ukweli.

EL ALIhoji ikiwa yeye ndiye fisadi je hizo hela MILIONI 150(Round figure) zinazoendelea kulipwa. Ni nani anazichukua?

CCM hawajajibu. Wamefanya kupotezea. Kama wafanyavyo kule kwingine. Thats why i hate politics.
Unafiki juu ya unafiki.

Nashangaa waliomtuhumu EL wakati wa kampeni na sasa wameshika mamlaka na wamekaa kimya kama hakuna walichokisema Plus dk Slaa. Mmetumiwa kama kondom.... mmeshatupwa.
Na sasa mnazimiwa bunge maninerrr.. msisikie tena.
Na bado mnahangaika na wasio na Dola kama Lowasa.
Aibu yenu.

My take:-.kumtusi EL kwa kumwita fisadi haina tija na ni dhambi, Njia sahii ni kuwa simamia wale wenye mamlaka wamshtaki EL kwa ushahidi waliomtuhumu mkawaamini na kuwapa dhamana. So far mpaka leo majipu yanatumbuliwa sijasikia el akitumbuliwa popote.

Na kama waliomtuhumu hawamshtaki tena basi mmetapeliwa. Mmefanywa malofa kwelikweli. Mmelamba garassa.

Mwajifanya mwajua kumbe mnaungua jua.Nuff said.

Nahop nimejifafanua vya kutosha.
Wabongo waliandamana eti hawali mapanki ili kumfurahisha jk
Wakati wanakula. Leo mnaimba nyimbo za kujikomba kwa dola lakini nyie ndio imekula kwenu.
 
Kasome ripoti maalum ya Kamati ya kudumu ya Bunge, Kamati ya Mwakyembe, utaona ametajwa, baada ya kupeleka vimemo kwa watu wa chini
 
Sisi atatulipa mwenyezi mungu,nyie mnalipwa posho zenu za buku 7 kutoka lumumba
Mungu anakuona ujue! Haya lakini. Nyie sio wa kulaumiwa coz hamjui mlitendalo. Zidumu fikra za familia ya Mtei!
 
Ushahidi wa akina mnyika una elements za kisiasa zaidi. Dhidi ya serikali nzima ya CcM na mfumo wake. Kumbuka kile ni chama cha siasa(stuka).
Tundu lisu alisema fisadi wa richmond ni JK. Jk hakujibu neno hata tone(stuka).
Na jk siku anamaliza kampeni kule mwanza angali akijua ni siku ya mwisho na hakutakua na kampeni nyingine za kufanya wapinzani wajibu hoja akasema EL anahusika na richmond (stuka).

So DETAILS ZOTE WATAKUA NAZO HAO CCM ESPECIALLY MwaKYEMBE, PLUS DR. SLAA. Walioongea bungeni akamtuhumu el waziwazi.mpaka akajiuzulu.
Kisha akarudi tena bungeni kumsafisha el. aliposema kua EL hana kosa bali ameangushwa na makatibu wake. Akaufunga mjadala.

Tena akarudi wakati wa kampeni akasema anazo documents zote. Akishirikiana na dk.slaa.

Na vilevile mazingira yanaonyesha kua:- HAWA CCM WAMEKUA WAKISHIKWA NA UFISADI NA MAMBO WAKAYAZIMA KIMYAKIMYA. KAMA ESCROW, EPA, RADAR M, NDEGE YA GHULF STREAM, NK. Kwakua yanagusa wale untouchoubles.

Sana sana ubuyu ulikua unaonyesha kuna mahusiano mabovu kati yake na jk aliyekua mkuu wa nchi. Ndio chanzo cha yeye kukatwa. Na asilimia 75%ya ubuyu kwenyw.organization.yoyote.kina ukweli.

EL ALIhoji ikiwa yeye ndiye fisadi je hizo hela MILIONI 150(Round figure) zinazoendelea kulipwa. Ni nani anazichukua?

CCM hawajajibu. Wamefanya kupotezea. Kama wafanyavyo kule kwingine. Thats why i hate politics.
Unafiki juu ya unafiki.

Nashangaa waliomtuhumu EL wakati wa kampeni na sasa wameshika mamlaka na wamekaa kimya kama hakuna walichokisema Plus dk Slaa. Mmetumiwa kama kondom.... mmeshatupwa.
Na sasa mnazimiwa bunge maninerrr.. msisikie tena.
Na bado mnahangaika na wasio na Dola kama Lowasa.
Aibu yenu.

My take:-.kumtusi EL kwa kumwita fisadi haina tija na ni dhambi, Njia sahii ni kuwa simamia wale wenye mamlaka wamshtaki EL kwa ushahidi waliomtuhumu mkawaamini na kuwapa dhamana. So far mpaka leo majipu yanatumbuliwa sijasikia el akitumbuliwa popote.

Na kama waliomtuhumu hawamshtaki tena basi mmetapeliwa. Mmefanywa malofa kwelikweli. Mmelamba garassa.

Mwajifanya mwajua kumbe mnaungua jua.Nuff said.

Nahop nimejifafanua vya kutosha.
Wabongo waliandamana eti hawali mapanki ili kumfurahisha jk
Wakati wanakula. Leo mnaimba nyimbo za kujikomba kwa dola lakini nyie ndio imekula kwenu.

Sina shaka na maelezo yote hayo. Lakini swali langu ni je, Lowassa angebaki CCM na kueleza aliyoeleza, mngemuelewa?!
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Inawezekana Lowassa ana yake lakini siyo Richmond.
 
Aisee na hii nayo ni hoja? we have a very ,long way to go, ni sawa na kutaka kuuliza ufisadi wa mwinyi au mkapa kwenye ripoti za mwaka jana awamu ya 4,
Wewe ulitaka hoja gani? Zinduka bwana alaaa
 
Ushahidi wa akina mnyika una elements za kisiasa zaidi. Dhidi ya serikali nzima ya CcM na mfumo wake. Kumbuka kile ni chama cha siasa(stuka).
Tundu lisu alisema fisadi wa richmond ni JK. Jk hakujibu neno hata tone(stuka).
Na jk siku anamaliza kampeni kule mwanza angali akijua ni siku ya mwisho na hakutakua na kampeni nyingine za kufanya wapinzani wajibu hoja akasema EL anahusika na richmond (stuka).

So DETAILS ZOTE WATAKUA NAZO HAO CCM ESPECIALLY MwaKYEMBE, PLUS DR. SLAA. Walioongea bungeni akamtuhumu el waziwazi.mpaka akajiuzulu.
Kisha akarudi tena bungeni kumsafisha el. aliposema kua EL hana kosa bali ameangushwa na makatibu wake. Akaufunga mjadala.

Tena akarudi wakati wa kampeni akasema anazo documents zote. Akishirikiana na dk.slaa.

Na vilevile mazingira yanaonyesha kua:- HAWA CCM WAMEKUA WAKISHIKWA NA UFISADI NA MAMBO WAKAYAZIMA KIMYAKIMYA. KAMA ESCROW, EPA, RADAR M, NDEGE YA GHULF STREAM, NK. Kwakua yanagusa wale untouchoubles.

Sana sana ubuyu ulikua unaonyesha kuna mahusiano mabovu kati yake na jk aliyekua mkuu wa nchi. Ndio chanzo cha yeye kukatwa. Na asilimia 75%ya ubuyu kwenyw.organization.yoyote.kina ukweli.

EL ALIhoji ikiwa yeye ndiye fisadi je hizo hela MILIONI 150(Round figure) zinazoendelea kulipwa. Ni nani anazichukua?

CCM hawajajibu. Wamefanya kupotezea. Kama wafanyavyo kule kwingine. Thats why i hate politics.
Unafiki juu ya unafiki.

Nashangaa waliomtuhumu EL wakati wa kampeni na sasa wameshika mamlaka na wamekaa kimya kama hakuna walichokisema Plus dk Slaa. Mmetumiwa kama kondom.... mmeshatupwa.
Na sasa mnazimiwa bunge maninerrr.. msisikie tena.
Na bado mnahangaika na wasio na Dola kama Lowasa.
Aibu yenu.

My take:-.kumtusi EL kwa kumwita fisadi haina tija na ni dhambi, Njia sahii ni kuwa simamia wale wenye mamlaka wamshtaki EL kwa ushahidi waliomtuhumu mkawaamini na kuwapa dhamana. So far mpaka leo majipu yanatumbuliwa sijasikia el akitumbuliwa popote.

Na kama waliomtuhumu hawamshtaki tena basi mmetapeliwa. Mmefanywa malofa kwelikweli. Mmelamba garassa.

Mwajifanya mwajua kumbe mnaungua jua.Nuff said.
kwahiyo mnyika na wenzake kabla walikuwa wanadandia gari kwa mbele sio??
mnyika aliposema anaoushahidi juu ya lowassa kuhusika na richmond tundu lissu alikuwa wapi muda huo??kubenea na gazeti lake walipokuwa wanamnanga lowassa tundu lissu alikuwepo wapi muda huo??
kaa ujue hao viongozi wako ni wanafiki na waongo,kama walikuwa wanajua hii ishu inamuhusu jk walikuwa wapi kusema badala yake kumtupia mzigo lowassa ili iweje,kwa madhumuni gani,walikuwa wanaficha kwa ajili ya nani??baada ya miaka saba tena baada ya kumchukua lowassa ndo lissu anajitokeza anasema ni ya jk kwelii halafu unaniambia mimi et stuka,mimi nilishastuka muda nikaona hao viongozi wako ni wanafiki kama wanafiki wengine tu.maana kama waliweza kunihadaa na nikahadaika tena wakaniambia wanao ushahidi leo wananiambia sio huyo ni mwingine niwaamini kwa lipi haswa??
 
Hoja za msingi kuhusiana na namna tunavyoweza kuboresha maisha ya wananchi wa kawaida, kukuza pato la taifa na kuinua uchumi wetu.
Anzisha thread nyingine, uziseme hizo hoja ulizonazo japo kuwa sijawahi kukuona wala kukusikia ukiongrlea vya maana zaidi ya kuhemkwa kikada tu,
 
Mkuu huyo stroke ni kati ya mazumbukuku wa lumumba, unategemea hiyo hoja ya kimaendeleo aipate wapi?
 
Back
Top Bottom