Tunaweza tukakubaliana kwamba EL and the Co wameshacheza michezo michafu mingi sana. Lakini hatuwezi kukubaliana kwamba EL ni msafi na yote haya anasingiziwa tu.
Leo tukiamua kusema tuseme yote.. Tusiwe wabinafsi kwa kuwa tuna maslahi na makundi yetu. Ni unafiki na hatari sana..
Tuaminiane pia nikisema uchafu/mashaka kwa huyu mzee wetu una historia ndefu.. Mbio za Urais ni ndefu kwake na washirika wake. Mwalimu mwaka 95 aliona hatari ya kutumia mbinu chafu zisizohojika..
'Baada ya kifo cha Mwalimu' siasa kwa upande wa mzee zikawa huru zaidi. Akajipanga na marafiki zake kutumia mbinu zozote ili kutimiza azma yao, wakawa smart, wakamtanguliza JK na lengo likatimia.
Tujiulize, kwanini JK leo hii amemgeuka?!
Maslahi ya taifa ni bora zaidi bandugu..
Tukiamua tupige kelele, inawezekana kwa kuwa gharama zake ni BURE!
Tatizo ninaloliona ni wewe kupoteza focus kwenye big picture. Ahead of you.. Uko too biased na unayejidanganya.
Fahamu kua wakati wa jk hata mizengwe alinusurika zaidi ga mara mbili kung'olewa u prime minister. Na pengine hii haikufanyi uone kua kulikua na tatizo kwenye kiti cha urais.
Kwasababu unaamini mighty is always right. Hii ni mentality ya tawala za kifashisti. Sio kwenye free and democratic government
Unajiaminisha kua;-
Jk kamgeuka EL kwenye Urais eti kwakua sio msafi?
Je magu ni msafi?.rejea na CAG report.
Jk naye ni msafi?
1. Hutaki kukubali kua ndani ya Fisiemu kila mgombea alikua mchafu na Ananuka ufisadi. Akiwemo mzee wa msoga familia yake
Plus baadhi ya viongozi wa dini na taasisi za dini.
2. Pia unajisahaulisha ukweli mchungu kua, naye Mzee wa msoga alikua na ndugu yake aliyetaka kumweka awe urais baada yake, lakini kwa bahati mbaya akapigiwa kura ya kutoka na team EL. Wakati ule wa mchakato dodoma. You name it... mbona hili hulisemi?
3. Unamtaja nyerere kama yeye ni Mungu anayejua mioyo ya watu sahii. by using a baseless allegation... Eti alimkataa EL mwaka 95." Kingunge mwenyewe alikanusha hii story unayoiamini.
Kwahiyo unataka tuamini kua hata wanaccm wote waliokatwa dodoma mwaka2015 sio wasafi.kama Wakina Nchemba, pinda, A. Ramadhani, kigwangwala, etc kwasababu tu JK na team yake aliwakataa. Sio?
Tukirudi kwa nyerere..
Ajabu huyo ambaye nyerere Alimteua mwaka 95, amefisadi sana hii nchi. Na kujenga mahotel ya nyota tano, ambayo hata mandela aligoma kwenda kuifungua huko south afrika.
kajimilikisha migodi yake nk.k.umeshau kisanga cha bulyakhulu. Radar, gulf stream plane..na ndiye huyo anayedaiwa kumsapoti huyu wa sasa mpaka kupitishwa na Jk.
Hilo ndio chaguo la nyerere. Ambaye alikiri CCM inanuka rushwa.
Na yeye nyerere amefanya nini cha maana mpaka akaiacha wananchi wake kua masikini sana duniani. choka mbaya hata nguo hawana.
Alitumia rasilimali zetu kwa njia gani?
Zilitusaidia au zilitumika kufanya ugaidi barani afrika na kuiteka ardhi ya zanzibar.?
Mbona katuacha hoehae?
CCM ndiyo tatizo la hili taifa for 50 years.
You should be thankful kuona kua kitendo cha chadema kumchukua lowasa. Kimepelekea watanzania hata wa hali ya chini kua na fikra za mabadiliko..hatuwezi kutoka kama fikra zetu ni zilezile.
Sasa wewe unayetaka kuwaona wana cdm kua wabaya. Wewe for fiftii yiazz umefanya nini?. Nyie ndiyo chanzo cha watizedi wengi kukataa kupiga kura kwasababu hawaoni uhusiano wa kura na maisha yao. Mwaka jana fikra za mabadiliko zemewafanya waanze kuona umuhimu.n
Wanaharakati kibao wameteswa na hili li chama unalolisifia hapa.
Akiwemo augustine mrema, kombe, kolimba, ulimboka, kibanda Dr. Slaa.mpaka mkono wake umelemaa. ...Just to mention the few....
Bado we umekaa unaimba EL fisadi. Stop bitching, if you got proof nenda mahakamani.
Mahakama si zipo au huziamini
.coward.
Msitupotezee focus.
Wazanzibar wamedhulumiwa kwenye urais mbona hamsemi?
Mighty is right. Knucklehead.