Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Lowassa ndo nini? Yule Upinzani walikuwa wanamnadi kama mwizi mkuu?

Huko ndio kukosa elimu. Sawa walimnadi hivyo kwa kulingana na taarifa ya time ya Mwakyembe. Ndani ya kamati kuu ya Chadema akajitetea na kufunguka yote wakamuelewa. Sasa shida iko wapi ukisha muelewa mtu?
Kubwa zaidi kawaambia Watanzania vikiwemo vyombo vya dola kuwa mwenye ushahidi aende kwenye sheria la sivyo SHUT UP YOUR MOUTH. Na tumeona vyombo vyote vime shut up.
 
Tatizo unafiki tu.

Fine! Tuseme Lowassa siyo fisadi,sasa huoni kwamba wewe ni mpumbavu kwa kuendelea kuwaamini hao waliokukaririsha Lowassa Ni fisadi kwa miaka 8? Huoni kwamba unatutangazia kwamba hujitambui?

Kipindi bwana zenu wanatangaza list of shame mbona mlikuwa hamuwapingi badala yake mlikuwa mnakenua tu.

Kama mmeamua kushikiwa akili basi tafuteni watu wenye akili timamu ndiyo muwape otherwise kila siku mtakuwa mnaonekana wapumbavu tu.

Msiojielewa ndiyo mtaji kwa wanasiasa maanake mnakaririshwa tu kama kasuku wala hamhoji halafu mnakimbilia huku kututangazia viwango vyenu vya umbumbumbu.
 
Mwakyembe ndie alieweka List of shame yenye jina la Lowassa kwenye tovuti ya chadema?
Mwakyembe ndie alieandika Lowassa kamhonga Zitto 200 Mil aivuruge Chadema?

Hilo ni lenu hangaikeni nalo wenyewe, Mlimwita Fisadi kwa hiyari yenu na Mnamwita Mkombozi kwa hiyari yenu!
Tehe tehe tehe, hawa CHADEMA ni wajinga sana. Wanafikiri UFISADI wa LOWASSA utaondoka kwa kutumbuliwa majipu ya sasa. LOWASSA ni KING FISADI.
 
Lowasa yupo mioyoni mwa wakeleketwa wa lumumba kuliko hata ngosha,Ndo maana hakuna kati yao mwenye uwezo wa kushika computer kutwa mzima na kutochapa jina la Lowasa kiroho safi pale bt ngosha watu mpaka washinikizwe na kutishiwa kutumbuliwa ndo watamwandika kishingo upande.Hata wasiupende ndo ukweli wenyewe.
 
Tatizo unafiki tu.

Fine! Tuseme Lowassa siyo fisadi,sasa huoni kwamba wewe ni mpumbavu kwa kuendelea kuwaamini hao waliokukaririsha Lowassa Ni fisadi kwa miaka 8? Huoni kwamba unatutangazia kwamba hujitambui?

Kipindi bwana zenu wanatangaza list of shame mbona mlikuwa hamuwapingi badala yake mlikuwa mnakenua tu.

Kama mmeamua kushikiwa akili basi tafuteni watu wenye akili timamu ndiyo muwape otherwise kila siku mtakuwa mnaonekana wapumbavu tu.

Msiojielewa ndiyo mtaji kwa wanasiasa maanake mnakaririshwa tu kama kasuku wala hamhoji halafu mnakimbilia huku kututangazia viwango vyenu vya umbumbumbu.
Hujakosea kumtukana. Mleta mada na wenzake wanajiondoa ufahamu.
 
Huko ndio kukosa elimu. Sawa walimnadi hivyo kwa kulingana na taarifa ya time ya Mwakyembe. Ndani ya kamati kuu ya Chadema akajitetea na kufunguka yote wakamuelewa. Sasa shida iko wapi ukisha muelewa mtu?
Kubwa zaidi kawaambia Watanzania vikiwemo vyombo vya dola kuwa mwenye ushahidi aende kwenye sheria la sivyo SHUT UP YOUR MOUTH. Na tumeona vyombo vyote vime shut up.
Hahahahahahaaaaa. Waliomnadi ndio wanaomsafisha. Hiki ni kituko cha karne.
 
Report ya CAG miaka hiyo, Lowassa aliguswa.
Ufisadi wa huyo nduli hapo kwenye Richmond pekee. Ni toka enzi za mwinyi huyo mzee yupo.
Anajitamba kuhusu Richmond Kwa kuwa yeye na JK wote walihusika, na JK ana kinga ya kikatiba hivyo hataguswa.
Lakini muwe mnabakiza maneno, tuna Rais wa kipekee kabisa anaweza kuamka nalo hili kesho alhamis
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
Walau mioyoni nyinyi wenyewe mna duku duku la ufisadi wake.....kwa kifupi hamna amani
 
Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......

Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??

Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Kama walivyohodhi ushahidi wa bomu kule Arusha.
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii

kwa hiyo CHADEMA waliutoa wapi?
 
Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......

Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??

Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
waliisha muomba msamaa na ndio maana akakubali kuwa mgombea wao wa urais, tafuta lingine
 
Tehe tehe tehe, hawa CHADEMA ni wajinga sana. Wanafikiri UFISADI wa LOWASSA utaondoka kwa kutumbuliwa majipu ya sasa. LOWASSA ni KING FISADI.
mkuu acha povu bila hoja,Huu utoto mujadiliane na Slaa wenu huko kwenu.Sie huku tushakuwa watuwazima sasa utoto wa enzi za Slaa tushatupa kule baada ya kumrudisha kwa mazuzu wenzie huko.
 
Lowasa hajawahi kuwa fisadi, rich mond ilikuwa na baraka za rais, kama ni fisadi nendeni mahakamani.
Unajua sababu za kutimuliwa kwake na Mwl Nyerere, asigombee urais mwaka 1995? Je unajua alitimuliwa kazi ya uwaziri wa ardhi enzi za Mwinyi?

Umdogo sana kwenye siasa
 
Back
Top Bottom