Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Ripoti zote za CAG, siuoni ufisadi wa Lowassa

Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii

Wa monduli + wa msoga = Richmond
Sahau hiyo [emoji23]
 
Daaah!! Kaskazini Sudan au?
Divide n' Rule imekuteka tayari, hangaika na dunia utapata utakacho.
Nyerere alikuwa ananyonga watu kama nyie
Kama kusema ukaskazini ni Divide and Rule, basi kazi hiyo aliifanya Chacha Wangwe. Unamkumbuka?!
Yeye ndiye alifafanua dhana ya Ukanda ilivyo active Chadema..
Bahati mbaya hakudumu baada ya hapo!
 
Kama kusema ukaskazini ni Divide and Rule, basi kazi hiyo aliifanya Chacha Wangwe. Unamkumbuka?!
Yeye ndiye alifafanua dhana ya Ukanda ilivyo active Chadema..
Bahati mbaya hakudumu baada ya hapo!
Kwhiyo alivyoongea Chacha na wewe ukabeba ukajaza kichwani ndiyo unatembea nayo kila kona. Jitahidi

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Aisee na hii nayo ni hoja? we have a very ,long way to go, ni sawa na kutaka kuuliza ufisadi wa mwinyi au mkapa kwenye ripoti za mwaka jana awamu ya 4,
Wewe wacha kujiondoa ufahamu kisa kutetea ccm, unataka kutwambia kuwa hii nafasi ya CAG imeanza jana au juzi?
 
LEMA na LISSU nao ni mazuzu? au kwenye video hiyo umemuona Katibu Mkuu wenu aliye likizo?
Acheni majungu msaidieni ngosha,Huwezi kumuelewa Lissu na Lema kama hauijui political science! Nenda kasome utawaelewa tusichoshane mkuu
 
lowasa ameifisadi sana hii nchi Richmond kwa siku analipwa tsh milioni 152 na tanesco pesa zake ameinunua Chadema hatimiliki ya Chadema ipo nyumbani kwake Monduli
Mbona husemi pia alivyo tumia fedha hizo kuiunua familia yako yoote na kuipeleka monduli?mbona unaongea kama upo zizini?
 
Nani alikwambia RIPOTI ya CAG ya mwaka jana inamtafuta LOWASSA? LOWASSA ni KING FISADI, hii ripoti ya leo haimhusu maana RICHMOND ilishamuweka pembeni.

Hizo zote zibasalia kuwa ni tuhuma tu ,tuufuate utawala wa Sheria.Angalikuwa ni fisadi tungeona mahakama ikilithibitisha hilo ,tuzungumze ukweli na tuache tabia za unafiki usiompendeza anaekupa pumzi.
 
Mpaka sasa sijafanikiwa....bado naendelea. Nachotaka ni kumpata Lowasa ili nimlipue atumbuliwe na Magufuli. Nalazimika kutumia ripoti hii maana Richmond inayosemwa hawamchukulii hatua yeyote nguli huyu, ni maneno maneno ya kanga tu toka Lumumba na vibaraka wao. Ina maana huyu "fisadi" kaweka mamlaka zote mfukoni? Mpaka Ikulu? Majipu yanatumbuliwa, mengine yanatajwa lakini yanashindikana, lakini Lowasa jiiiii
HIYO NI RIPOTI YA 2014/2015. UFISADI WA LOWASSA UMESHATAJWA KWENYE RIPOTI ZA NYUMA NA HAZIJAFANYIWA KAZI.
WE UNATAKA UFISADI GANI.?
 
Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......

Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??

Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Kwa sasa mmesha chelewa sana maana habari ya MUJINIIIII kwa sasa ni wabunge wa ccm waliofikishwa mahakamani kwa tuhuma za rushwa, na kutumbuliwa kwa Kabwe,na ngoma ya lugumi na kutumbuliwa kwa jamaa wenu wa tcra
 
Weka kumbu kumbu sahihi Mwakyembe ndiye alizuka na hoja hii tena kwenye mkutano wa hadhara (BUNGE) na kuhusu kuwa mtaji wa wanasiasa ni team Lumumba ndiyo imejitoa akili na kuamua kushabikia chochote kinachofanywa na watawala hata kama ni cha kishenzi e.g. KUZIMA MIJADALA YA BUNGE LIVE

Kumbukumbu zilizo sawa ni kwamba list of shame ilitoka September 2007 na report ya kamati teule ilisomwa bungeni na Mwakyembe tarehe 06 February 2008

Kwa hiyo hoja yako haina mashiko.
 
siku lowasa akitumbuliwa na kupelekwa gerezani ufisadi ndio utafikia tamati..Watanzania tunasubiri kwa hamu sana kumuona lowasa magereza kwa kuhujumu uchumi
Akili zako naona bado zipo chumba na 5 hapo lumumba
 
Aisee, ukawa si wanasema kua kila ccm ni fisadi isipokua lowasa? ukizingatia kwamba lowasa alipokua ccm, mlimuiuta fisadi lakini kwa sasa sio fisadi maana yupo chadema?
Maradhi yoote ugua lkn usiombee kuumwa stroke
 
Tunawangoja viongozi wetu wa CHADEMA watuambie kuwa ule uzushi wa kusema Lowasa fisadi waliutoa wapi......

Na ule ushahidi waliosema kuwa wanao juu ya ufisadi wa Lowasa umeyeyukia wapi.....??

Au waitishe mkutano wa waandishi wa habari wakiri kuwa walimsingizia mzee wa watu....na wamuombe msamaha kwa kumchafulia jina lake.......
Waliomsingizia EL walijitoa ndani ya chama i.e SLAA
 
Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na malumbano ya kisiasa huku jina la Lowassa likitumika kama mtu fisadi na aliyehujumu sana uchumi wa nchi hii.
Kauli hizi zimetumika sana sio kwa wapiga debe na mavuvuzela tuu bali hata viongozi wa vyama na serikali.
Lakini wakati Lowassa akiomba kujiunga na Chadema alijieleza kuhusu kashfa zake anazopewa ikiwemo ya Richmond na mwisho alijitoa muhanga kwa kusema yuko radhi kwa yeyote au taasisi yeyote yenye ushahidi impeleke mahakamani. Huo ni ushujaa.
Sasa tuwaombe na wengine ambao kwa bahati mbaya wanalindwa na sheria yakinga kwa vile wanatajwa kwa makosa ya jinai wajitokeze nao watake kuwa kama kuna ushahidi kinga zao ziondolewe na washtakiwe ili kusafisha majina yao. Maana kama hakuna wa kukushtaki basi wewe ni safi na hayo maneno ni majungu na fitina tuu kama ilivyojidhihirisha kwa Lowassa kuwa ni maneno tuu ya kisiasa kwani DP,PCCB, Time ya maadili hata CAG hawajawahi kumgusa.
Tuwaombe JK, Ben, hata aliyepo wajitokeze kwa nia njema waombe kinga ziwekwe kando kama ilivyo nchi nyingi tuondoe haya maneno maneno
Daaaaaaaa!!!!!!!,akijitokeza mtu yeyote basi ujue ndio kihama kinaaza siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom